Ndibalema
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 10,955
- 4,663
sijateta chochote hapa ila mie nimesema tu sio uungwana wala ustaarabu kutumia neno "wajinga wa kiislamu"ni neno linaloonekana linalochochea na kuleta matabaka hili huwezi kuiona kama ukiwa hujakaa muda mrefu darasani
na ni kweli sikatai kitu walichokifanya ni cha kijinga lakini huwezi kuweka dini yao mbele kwani kila mtu duniani anafanya maovu wao sio watu wa kwanza kuua
wangapi wanaua watu wasio na hatia? polisi hawauwi watu wasio na hatia tukianzia hapa Tanzania?
tena polisi wa kikristo je tuwaaite Wajinga wa Kikristo?
hakuna majambazi yanayovamia watu na kuua ovyo wakiwa ni wakristo
je tuwaite "wapumbavu wa kikristo?"
tukinzingatia Tunu zetu saba sie watanzania hatuwezi kufika kugawanyika hivyo
so nasisitiza kusema sio uungwana, sio uustarabu, sio hekima, kuwaita wenzako "wajinga wa kiislamu"
unless wewe uwe una matatizo upstairs
Wale jamaa walikuwa na Automatic Guns na zilikua na mikanda ya risasi za kutosha tu si unajua tec ya sasa? Watu wanaset tu na mabomu yanayolipuka kwa muda unaotaka kama vile unavyo set arlam ikuamshe muda gani.
Cha kushangaza maiti hawana za magaidi
Hizi propaganda za mijitu isiyo na chembe ya huruma baada ya kuua watu wakiwemo watoto wasio na hatia.
Useless'
Hizi propaganda za mijitu isiyo na chembe ya huruma baada ya kuua watu wakiwemo watoto wasio na hatia.
Useless'
Hakuna asiyepinga ugaidi na wala sifikirii kama kuna binaadamu mwenye akili timamu aliyefurahia yaliyotokea Westgate. Ila kichwa chako kimejaa mavi na chuki dhidi ya Uislam.
Wale vijana mashababi, ni hatari sana
porojo baada ya Mauaji, wale wajahedeen waliuwawa wote, hakuna mjinga wa Al Shaabab aliyetoka kule!
labda magaidi waliishikisha bunduki midoli ya ndani ya mall ikawa inapambana na askari wa kenya. hahahahaha..............
Mkuu humu watu wengi hawafikiri kabisa na kama wanafikiri sina uhakika kama wanatumia ubongo,kwani kulikuwa na majibizano ya risasi na mateka walikuwa wakishikiliwa ndani,sasa mtu unawezaji kufikiri tu eti walitoka wote?Baadhi wangeweza kutoka na raia lakini si wote.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Ndio habari inayowaumiza vichwa wana usalama wa Kenya wakisaidiwa na wale wa kutoka Nje ni kwamba baada ya kufanya lile tukio la Westgate jamaa walifanikiwa kuondoka salama salmin kwa kupitia mtaro wa maji taka ambao umeambaa mita kadhaa kutoka lilipo jengo walimofanya tukio la kufuru
Source"tbc habari sa2
HAPA lazima kuna mchezo umechezwa..kuna haja kwa wakenya kuangalia upande wa pili wa shilingi kuna amasuala ya kujiuliza tena kwa utulivu kwani kama wamechezewa na makachero wa kimarekani ...
hapa kenya waangalie upande mwengine wa shilingi.....vijana wao wanao kwenda kufundishwa kupambana na ugaidi wanaweza kuwa ndio chanzo wana tumikia mabeberu...kwa US kila kitu kinawezekana kwa lengo maaulum...mimi sijui na wewe hujui lakni wao kutoa mhanga watu wao ni jambo la kawaida......na zaidi ikumbukwe Obama ni mkenya kwa asili na amekua akilegeza kamba ya kupambana na magaidi wa kina bush...juzi tumeona alivo lipeleka suala la syria kwa congress ili lipate baraka...na mpaka sasa syria haijashambuliwa....kuna neo cons hawapendi kuona vita yao inarudi nyuma wanataka iendelee
- suala zima lime fichwa na hakuna habari ya maana
- wale jamaa wameuliwa na kwa mujibu ya habari za kipolisi 5 wameuliwa..sasa sura zao zipo wapi? sura ni muhimu sana kwa public kwani mtu akiina picha anaweza kusaidia kama aliwahi kumwona huyo gaidi
- kwa nini gorofa ziliangushwa? jee hao magaidi wote walikua kajichumba kimoja
- jee hawa sio US's alqaeda ? yaani jamii ya alqaeda wa syria wanalipwa na kupata support ya US ? sio jamii hio ? kwani hapa kun achanga la macho....
- kuna twitter fulani zikitoka ambazo zilionesha ni za alshabab.....lakini ukifuatilia twitter hizo utaona kama hao watu wanazungumza ndani ya westgate ? hii inasgangaza kidogo...
wanataka zile kambi za mateso zirudi...
wanataka kenya lazima wapitishe ile sheria ya ugaidi kuna mambo mengi....
hata kama utaona kuna al shabab wana kubali kuwa hilo wamefanya wao..lakini inawezekana ni kutaka sifa tu baada ya kuona hilo limetokea na kwa fikra zao labda wamefanya vijana wao
kenya fanyeni uchunguzi mpana...