Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 875
Mi nlivosikia tu interpol wametoa tangazo la kumtafuta mjane mweupe wakati kenya walisema wameua magaidi na wengine wamekamatwa nikajua kuna snema ilichezwa kudanganya watu.
Muwache aongee na Wananchi hao jamaa wanajiita waislam na wanafanya Ujinga so Kuwaita wajinga ni Haki ya Msemaji kwa Wananchi.... Usimkataze wala Kumfundisha au Umeona sawa hao jamaa kufanya hicho kitendo kilicholaaniwa hadi na Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Amina akisema huo Uislam wao ni wa aina yao na yeye hafuati mfumo wao wa hao magaidi... ni wajinga.... usitetee kilicholaaniwa na jamii yote
Kilichotokea pale mall ni kama kilichotokea katika movie ya Denzel "INSIDE MAN". Hata CNN jana usiku walisema kuhusu kutoroka kwa baadhi ya hao wasomali. Inavyosemekana wengine walitoroka kwa kujichanganya na wananchi waliokuwa wakiokolewa
Ndugu yangu mi siwatetei ila ninachotaka kusema sisi kama Wadanganyika tumejifunza nin?
Jee, mnajuwa Insurance ya hilo jumba la maduka ni kiasi gani?
nawakubali sana...watu wanapothubutu na kuweza..ila ingekuwa njema wasingeua ila kuonyesha wanaweza
Ndio habari inayowaumiza vichwa wana usalama wa Kenya wakisaidiwa na wale wa kutoka Nje ni kwamba baada ya kufanya lile tukio la Westgate jamaa walifanikiwa kuondoka salama salmin kwa kupitia mtaro wa maji taka ambao umeambaa mita kadhaa kutoka lilipo jengo walimofanya tukio la kufuru
Source"tbc habari sa2
Unakuja sasa kwenye point, kuna conspirancy inaendelea ambayo ina link magaid wa somalia na insurance industry ,nadhan haupo mbali sana na ukweli
Mmeanza tena porojo za osama hajafa
mkuu jirekebishe. watu wa mungu awako hivyo. Napata tabu kukutofautisha wewe na washabiki wa simba na yanga
Hii nadhani kila linapotokea tukio. Hata Tupac na Kanumba wapo wanaoamini hawajafa. Ila "uzushi" huu ulianzia hapa, ingawa suala la msingi na la kujiuliza, je waisrael ambao ni wamiliki-wenza wa Jengo hilo hawakujua ramani inayounganisha jengo hilo na mtaro huo?Mmeanza tena porojo za osama hajafa
Ndugu yangu mi siwatetei ila ninachotaka kusema sisi kama Wadanganyika tumejifunza nin?
Sirikali si imesema imewaua magaidi
Hii nadhani kila linapotokea tukio. Hata Tupac na Kanumba wapo wanaoamini hawajafa. Ila "uzushi" huu ulianzia hapa, ingawa suala la msingi na la kujiuliza, je waisrael ambao ni wamiliki-wenza wa Jengo hilo hawakujua ramani inayounganisha jengo hilo na mtaro huo?
DAILY POST: SHOCKING: AL SHABAAB may have escaped through an underground tunnel; KDF never killed any TERRORIST.
kafiri ni wewe unayeabudu mashetani bila kujijua na uombe sana upate neema ya kuijua kweli, watoto walikosa nn hadi kustahili ukatili ule??