Alshabab walifanikiwa kuondoka

Alshabab walifanikiwa kuondoka

Status
Not open for further replies.
Usiwe muoga hao ni wajinga waache tu kwani hata kuua Hutumia udini wao kwanza kabla ya kuua sasa dini na jambo wanalolitenda huwezi litofautisha kamwe.... hata ukiwauliza wao hawajitenganishi ila wale wasio na misimamo mikali huwakana na kuwakataa na kuwaita si waislam na uislam hautaki hivyo.... Hata Muislam hawezi mswahilina hawezi kukataa kama Magaidi ni wajinga. Kuwaita wajinga neno wajinga haliwezi leta mtafaruku wowote wala matabaka kwa sababu lina ukweli ndani yake......

Ukisema Wapumbavu wakristo hilo lipo tofauti jamaa kazungumzia Ujinga nadhani neno hilo linatofautiana... Au na wewe unamatatizo kwenye Medula yako... Uoga hata mbinguni hautofika.

........hata Mndela aliitwa Gaidi na Makaburu pamoja na Wamarekani !
Hivyo inaategemea ni nani ana mwita nani !............................kafiri anamwita Muislaam gaidi, ili aendelee na udhalimu wake !
 
Kweli mkuu hakuna picha wala chochote kiluchotolewa kwenye vyombo vya habari. Matukio yote yaliotokea huku Europe kama kule london, Stockholm na pengineo wale wote walio shiriki na kujiua kwa ukaidi wao walionyeshwa picha zao majina yao kwenye vyombo vya habari tena siku ya pili tu lakini hili la Kenya tunasikia tu la black widow pekee
 
Kdf limekuwa jeshi la mboga mboga

Haloo hata mboga zinahitaji"ardhi rutuba,maji na mwanga ili zikue"lakini wale NGEDA wa kdf hapana wameua Raia wengi zaidi kuliko wale magaidi swali ni kwamba kwa nini kikosi cha usalama Kenya kiliamua kulipua Jengo? Ni nidhamu ya uoga au ni ushauri waliopewa na wataalamu kutoka US na ISRAEL? HADI KICHWA KINAUMA
 
Mbaya zaidi walikuwa wanaripoti matukio yote kwa kiingereza ili waeleweke duniani kote,baada ya kuona wanachemka wakabadilisha lugha ili waeleweke na wachache
 
Kweli mkuu hakuna picha wala chochote kiluchotolewa kwenye vyombo vya habari. Matukio yote yaliotokea huku Europe kama kule london, Stockholm na pengineo wale wote walio shiriki na kujiua kwa ukaidi wao walionyeshwa picha zao majina yao kwenye vyombo vya habari tena siku ya pili tu lakini hili la Kenya tunasikia tu la black widow pekee

Kibaya zaidi walitutangazia kwamba katika magaidi waliouawa na huyo mrembo yupo je inakuwaje hapo? Ujue ni rahisi kuvamia kwa sababu umejiandaa je wewe unaejihami umejiandaa vipi?
D.o.D
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom