Alshabab walifanikiwa kuondoka

Alshabab walifanikiwa kuondoka

Status
Not open for further replies.
Ila wakenya wameniudhi sana kitendo cha kushindwa kupata angalau mwili wa gaidi aliyekufa!

sasa si walisema kwamba wameua magaidi wawili? ina maana baada ya kuwaua, miili ilielekwa wapi?
 
Sirikali si imesema imewaua magaidi
If they were killed and identified, ask Ole Lenku to show you their corpses! He propagate that some hostages were rescued but the parable was to show at least one of those who were rescued. Take them as mere empty words!
 
Aiseeh! Mi kitu kinaniudhi kdf baada ya kufika kismayu wamekunja 4 kama wenzao updf walivyofanya baada ya kufika mogadishu. Sijui wanafanya magendo gani! Badala ya kuwavurumisha hao magaidi wa al shabaab na kuwamaliza wanawaachia kutunisha misuli. Ona sasa ushenzi waliofanyiwa na hao wazimu.
 
sasa si walisema kwamba wameua magaidi wawili? ina maana baada ya kuwaua, miili ilielekwa wapi?

hata hao suspects 11 naamin kwa tukio lile,basi wakenya wangewapiga foto na kutoa kwa umma,ila hawajafanya mpaka leo
wamemshupalia Invisible woman 'MJANE MWEUPE'
 
Last edited by a moderator:
Ya ngoswe mwachieni ngoswe mimamv kichwan mnake nn wote hamjui mwajichetua tu hapo pafukupafu
 
we ndio kilaza maana unafuata taarifa za vijiweni, lakini taarifa kutoka serikali ya Kenya, zinasema hakuna mjinga yeyote wa kiislamu aliyetoka baada ya majeshi ya kenya kuzingira westgate! tunapinga ugaidi kwa nguvu zote!

kwa hiyo shambulizi la jana pale Wajir wakenya wamejilipua???
 
porojo baada ya Mauaji, wale wajahedeen waliuwawa wote, hakuna mjinga wa kiislamu aliyetoka kule!

warrant ya kumsaka white widow imetoka anatafutwa na kwa udi na uvumba
ikumbukwe ndio alikuwa leader wa wale majamaa

BBC kama uliangalia jumamosi kuna Mzungu alikuwa anasema alimuona mwarabu akiua watu then akabadilisha nguo na kutoka kama mateka

hao ni watu ambao waliowaona ni wangapi wametoka kama mateka bila ya kuonekana?

serikali imesema kuwa magaidi waliouawa ni 8 ila mashahidi wanakwambia ni zaidi ya watu 15 waliovamia wengine walikuwa kwenye parking juu wengine chini wengine ndani ya nakurmatt

propaganda zipo katika mambo kama haya lakini tunatupia logic katika kupambanua mambo kama haya mwisho kabisa mkuu

kuhusu kwa post ambayo uliyoitoa

porojo baada ya Mauaji, wale wajahedeen waliuwawa wote, hakuna mjinga wa kiislamu aliyetoka kule

ungeweza kuandika mjinga wa al shabab kulikuwa hakuna haja ya kuweka neno "Kiislamu" sio ustaarabu, sio burasa na wala sio uungwana
sawa wameua lakini hatuna mamlaka ya kuhukumu ila kama dini yako unayoiamini inakuruhusu kuhukumu badala ya kumuachia Muumba wako kuhukumu pia ni juu yako

ila ningekuwa wewe ningefumba macho then kwa dini yako nikamuomba mungu wangu msamaha

unaweza fanya hivyo hautapungukiwa na chochote ila utapata baraka tu
 
Aiseeh! Mi kitu kinaniudhi kdf baada ya kufika kismayu wamekunja 4 kama wenzao updf walivyofanya baada ya kufika mogadishu. Sijui wanafanya magendo gani! Badala ya kuwavurumisha hao magaidi wa al shabaab na kuwamaliza wanawaachia kutunisha misuli. Ona sasa ushenzi waliofanyiwa na hao wazimu.

wamepumbazika
 
warrant ya kumsaka white widow imetoka anatafutwa na kwa udi na uvumba
ikumbukwe ndio alikuwa leader wa wale majamaa

BBC kama uliangalia jumamosi kuna Mzungu alikuwa anasema alimuona mwarabu akiua watu then akabadilisha nguo na kutoka kama mateka

hao ni watu ambao waliowaona ni wangapi wametoka kama mateka bila ya kuonekana?

serikali imesema kuwa magaidi waliouawa ni 8 ila mashahidi wanakwambia ni zaidi ya watu 15 waliovamia wengine walikuwa kwenye parking juu wengine chini wengine ndani ya nakurmatt

propaganda zipo katika mambo kama haya lakini tunatupia logic katika kupambanua mambo kama haya mwisho kabisa mkuu

kuhusu kwa post ambayo uliyoitoa

porojo baada ya Mauaji, wale wajahedeen waliuwawa wote, hakuna mjinga wa kiislamu aliyetoka kule

ungeweza kuandika mjinga wa al shabab kulikuwa hakuna haja ya kuweka neno "Kiislamu" sio ustaarabu, sio burasa na wala sio uungwana
sawa wameua lakini hatuna mamlaka ya kuhukumu ila kama dini yako unayoiamini inakuruhusu kuhukumu badala ya kumuachia Muumba wako kuhukumu pia ni juu yako

ila ningekuwa wewe ningefumba macho then kwa dini yako nikamuomba mungu wangu msamaha

unaweza fanya hivyo hautapungukiwa na chochote ila utapata baraka tu

soon tutapata CD ZA KENYA EVENT
 
Kama walikuwa wamepanga mpaka store hapo, lazima walikuwa wanajua the ins and outs of Westgate.

"Terrorism is an exploitation of openings". And the gunmen at the Westgate siege exploited those openings to the full to mount a "spectacular" that has wounded Kenya - and left its people shaken.

That extremist gunmen could secure a base within the mall in the weeks leading up to the attack and pre-position weapons is in itself astonishing. But for many Kenyans, audacious as it is, it will come as little surprise when bribery remains the currency of everyday life.

A few "bob" - (Kenya shillings) to "look the other way" is not unusual here, despite the best efforts of many brave Kenyans to rein the problem in. Porous borders and a ready supply of weapons have long fuelled the threat of violence in Kenya - an AK-47 costs just $450 (£280) today if you know the right people.

Many Kenyans now hope the legacy of Westgate will be tougher action to tackle dodgy deals. The human cost of not doing so has already been laid bare.

BBC News - Kenya's Westgate siege: 'Militants hired shop to hide arms'
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom