Alshabab Wafungua Akaunti nyingine Twitter.

Alshabab Wafungua Akaunti nyingine Twitter.

Status
Not open for further replies.

Qur'an 48:29 ni hii hapa, wacha uongo kijana:

Muhammad is the Messenger of Allah ; and those with him are forceful against the disbelievers, merciful among themselves. You see them bowing and prostrating [in prayer], seeking bounty from Allah and [His] pleasure. Their mark is on their faces from the trace of prostration. That is their description in the Torah. And their description in the Gospel is as a plant which produces its offshoots and strengthens them so they grow firm and stand upon their stalks, delighting the sowers - so that Allah may enrage by them the disbelievers. Allah has promised those who believe and do righteous deeds among them forgiveness and a great reward.
Swahili
Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano wao katika Injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake, kisha ukalitia nguvu, ukawa mnene, ukasimama sawa juu ya ubuwa wake, ukawafurahisha wakulima, ili kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri. Mwenyezi Mungu amewaahidi walio amini na wakatenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa.
​
 
Wewe FaizaFoxy kama jina lako linavyojieleza unatamani na wewe ukalipue mlimani city ulivyo na akili ya kippuuzi

Ili iweje? Wakenya walitangaza vita Alshabaab, Tanzania usiihusishe. Wakenya wanashikilia miji mingi tu ya Wasomali huko Somalia na wameua sana tu, Fikiri vifo vya kuteka miji na kuteka ka shopping centre! leo AlShabaab wanashikilia kiji shopping center kimoja tu, mnahusisha Waislaam wa dunia nzima? ujinga huo.
 
kama kupayuka basi wewe ndo unapayuka...maana inaonekana hata huyo Dr. hujamwelewa kabisa japo unamsifia,na common sense nadhani ni adimu kdogo kwako

Naona unapayuka na hauna zaidi. Mkanda unajieleza wazi wazi na ugaidi unaelezwa ni nini humo na ugaidi sio monopoly ilivyodhihirishwa.

Upumbavu wa watu kama wewe ni pale unaposikia Wakenya wanashambulia na kuteka miji ya Wasomali wewe unachekelea, Msomali anateka kiduka kimoja tu, wewe unapayuka na kuhusisha Waislaam wa dunia nzima. Huo ni upuuzi.
 
Inaonekana hata hujui nini kinaendelea,au kama unajua basi ni kiburi cha ushabiki tu... kwako ni sawa kulipiza kwa raia wasio na hatia? kweli wewe empty vessel

Jikumbushe hii habari ya mwaka 2011, labda utaelewa unachokiongea baada ya hapo:

Monday 17 October 2011

Kenyan tanks, troops, trucks and air support were seen inside its northern neighbour a day after the country's Internal Security Minister labelled al-Shabaab "the enemy" vowed to set up a "buffer zone" north of its border. There were also reports of US drone attacks on suspected militant training camps in Ras Kamboni, a coastal forest near the border with Kenya.

The biggest military action in Kenya's recent history
comes five years after Ethiopia invaded Somalia with US approval and air support – an action that ended in ignominious withdrawal and helped to create al-Shabaab in its current form.

Source: Kenya sends in troops to Somalia in pursuit of al-Shabaab militants - Africa - World - The Independent
 
Ngoja nije niperuzi mauaji ya Rumi miaka hiyo, je walihusisha mauaji hayo na ugaidi?

Hata ukiua mtu mmoja tu kwa ajili ya kutisha wengine ni ugaidi. Leo kuna ugaidi zaidi ya mataifa makubwa kuingia na kuuwa kwa midege na manowari na silaha zote kubwa za kivita, wanawake, wazee na watoto wadogo kwa kisingizio tu cha kuwa eti wana silaha za maangamizi ambazo hazijaonekana mpaka leo? Fikiri.
 
Naona unapayuka na hauna zaidi. Mkanda unajieleza wazi wazi na ugaidi unaelezwa ni nini humo na ugaidi sio monopoly ilivyodhihirishwa.

Upumbavu wa watu kama wewe ni pale unaposikia Wakenya wanashambulia na kuteka miji ya Wasomali wewe unachekelea, Msomali anateka kiduka kimoja tu, wewe unapayuka na kuhusisha Waislaam wa dunia nzima. Huo ni upuuzi.

hivi kwanini baadhi ya waislamu wahuni kama ww.. mnawasapoti magaidi hayo ya alshabaab
 
Sasa mnaanza kuonyesha rangi yenu halisi. Mnapenda muonekane wenye kulaani kilichotokea lakini katika nafsi zenu zinashangilia. Hapa ndipo napochoka kabisa nikijaribu kupima ufahamu wenu. Yaani kweli kabisa waweza kuwalaani wakenya kwa kile walichoifanyia Somalia? Majangaaa! Hivi wanajeshi wa Kenya waliua nani kwa jina la nani? Hebu tusaidie.

Wewe wakiuliwa wasomali makwao na Wakenya, wewe unaona raha na kushangilia au sio? Msomali anapolipiza kisasi unamuona mbaya au sio? Hiyo ndio nafsi yako inakwambia kuwa ni sawa?
 
Naomba wana jf mutambuwe kuwa anayoipiga kenya sio al shababi bali ni mmarecani sema anachokitumia mmarican ni kuidanganya dunia kuwa usilamu ni mbaya na haufai ni dini ya kupenda kuwa watu ,kumbe sio kabisa ni propaganda tu,,onakule iraq,afughanistani, nigeria anasingizia boko haram kumbe mwenyewe mmarikani ni mbaya sanaa tena hafai,hapa tz ameanza kutengeneza tatizo kati ya serikali na wasilamu ,serikali haitaki kusikiliza madai ya wasilamu ,inachokifanya ni kuwakandamiza tu sasa wakichoka ndipo mmaricani anapoingia kupambana na hao anao waita magaidi,ilaweze kuchukuwa gesi,dhahabu,mafuta kiulaini,mmarecani hana adui wa kudumu wala hana rafiki wa kudumu

Hayo madai ya waislamu wanayodai dunia nzima ni yepi? Maana naona unajichanganya kwani hizi gharama mnazotumia kwenye ugaidi zingetumika kuimarisha elimu kwa vijana wa kiislamu si mngeboresha maisha yenu? Kwa nini huwa mnalipua hata misikiti mnayoswalia?
 
Hao wakenya wamekwenda kwenye masoko na kuua watu?

Halafu kwani al-shaabab ni jeshi la serikali ya somalia?
Wanajeshi wa Kenya wako Somalia kwa baraka za serikali ya somalia,kwanini hawa mabazazi wasiende kupambana na serikali yao?

Wacha masoko, ni miji mizima. hebu jiulize Kismayu ina masoko mangapi na raia wangapi? na wangapi waliouliwa wakati Wakenya wanauteka huo mji? wacha kushabikia ujinga.
 
Unamzungumzia Dr Zakir Naik?
Yaani huyo unamuita kichwa?

Huyo ni muongo kuliko uongo wenyewe

Mtu gani anasema eti El ni Allah?
Yaani hajui hata El ni kitu gani
Jebu mtazame hapa akisambaratishwa vibaya kwa hoja zenye nguvu:

Qur’an and the Bible in the Light of Science

Kasome uje utueleze hiyo El ni nini. Halafu urudi na pumba zako. Mna mcho lakini hayaoni, mna masikio hayasikii, kwenye mioyo yenu mna maradhi.
 
uislam unaruhusu marekani akapigane vita libya,iraq,misri,palestine n.k we unaangalia majibu ya alshabab lakini alichokifanya kenya huko somalia kwa alshabab hukioni.mambo yakupigwa shavu moja ukampa jingine ni upuuz hapa jino kwa jino

Hapa ndiyo waislam mnapojichanganya! Kwani al shabaab ni jeshi la Somalia?
 
Unaongelea Biblia version ipi? Wachana na huyo dokta Naik, hiyo ni kichwa adhimu na adimu.

Wakati Makanisa yanachomwa moto/ yanalipuliwa kwa mabomu, Mapadre wanapigwa risasi, raia wanamwagiwa tindikali rais Kikwete hakuonyesha kujali! Lakini alipofanyiwa mambo SWAHIBA WAKE wa Home Shopping Centre ndipo alipopagawa!! HUU NDIYO UNAFIKI WA WAISLAMU!!!
 
Wakati Makanisa yanachomwa moto/ yanalipuliwa kwa mabomu, Mapadre wanapigwa risasi, raia wanamwagiwa tindikali rais Kikwete hakuonyesha kujali! Lakini alipofanyiwa mambo SWAHIBA WAKE wa Home Shopping Centre ndipo alipopagawa!! HUU NDIYO UNAFIKI WA WAISLAMU!!!

Msemaji: Kama Mungu akipenda, tunategemea Wakenya watapata ujumbe kwamba kama ukimwaga damu, damu yako itamwagika pia. Kwao kujua kuwa hawawezi kushikilia Kismayu, Dhobley na Afmadow na wategemee waishi kwa amani Nairobi. Huo ni ujumbe tunataka kuutuma kwao.
 
Hayo madai ya waislamu wanayodai dunia nzima ni yepi? Maana naona unajichanganya kwani hizi gharama mnazotumia kwenye ugaidi zingetumika kuimarisha elimu kwa vijana wa kiislamu si mngeboresha maisha yenu? Kwa nini huwa mnalipua hata misikiti mnayoswalia?

.................tofauti hazitaisha Duniani ! na Elimu ingekuwa imewasaidia sana nyie, basi mngetambua ile divai ya Dodoma si damu ya Yesu na ile Biscuti si mwili wa Bwana, na mungu hajawahi kupigwa picha !:heh:
 
I know, ndio maana najiuliza. Mauaji yaliyofanywa na makanisa kipindi cha zamani yalihusishwa na ugaidi? Hasa roman catholics.

Kama hayakuhusishwa kwa nini?

Tofauti yake na kinachotokea sasa hivi ni kipi? Ona hapa chini.

The Bloody History of Papal Rome - A Timeline
​

In 1940, French statesman Baron DePonnat stated "Roman Catholicism was born in blood, has wallowed in blood, and has quenched its thirst in blood, and it is in letters of blood that its true history is written." Indeed, the history of papal Rome has been one of brutal torture, slaughter, and mass murder. The below list provides a sampling of papal Rome's bloody history.
1096 Roman Catholic crusaders slaughter half the Jews in Worms, Germany.

1098 Roman Catholic crusaders slaughter almost all of the inhabitants of the city of Antioch.

1099 Roman Catholic crusaders massacre 70,000 Muslims and Jews when they capture Jerusalem.

1208 – 1226 The Albigensian Crusades in southern France. Roman Catholic crusaders slaughter approximately 20,000 citizens of Beziers, France on July 22, 1209. Both Albigensian Christians and Catholics were slain. By the time the Roman Catholic armies finished their "crusade," almost the entire population of southern France (mostly Albigensian Christians) has been exterminated. During the six centuries of papal Inquisition that began in the 13th century, up to 50 million people were killed.

1236 Roman Catholic crusaders slaughter Jews in the Anjou and Poitou regions of western France. The Catholic crusaders trample to death under their horses 3000 Jews who refuse baptism.

1243 Roman Catholic mobs burn alive all the Jews in Berlitz, Germany (near Berlin).

1298 Roman Catholic mobs burn alive all Jews in Rottingen, Germany.

April 26, 1349 Roman Catholic mobs burn to death all Jews in Germersheim, Germany.

1348 – 1349 The Jews are blamed for the bubonic plague. Author Dave Hunt tells us, "Accused of causing the ‘Black Death' Jews were rounded up [by Roman Catholic mobs] and hanged, burned, and drowned by the thousands in revenge."

1389 Roman Catholic mobs murder 3000 Jews in Prague when they refuse to be baptized.

1481 – 1483 At the direction of the Roman Catholic inquisitors, authorities burn at the stake at least 2000 people during the first two years of the Spanish Inquisition.

1540 – 1570 Roman Catholic armies butcher at least 900,000 Waldensian Christians of all ages during this 30-year period.

1550 – 1560 Roman Catholic troops slaughter at least 250,000 Dutch Protestants via torture, hanging, and burning during this ten-year period.

1553 – 1558 Roman Catholic Queen Mary I of England (aka "bloody Mary") attempts to bring England back under the yoke of papal tyranny. During her reign, approximately 200 men and woman are burned to death at the sake. Her victims include bishops, scholars, and other Protestant leaders.

1572 St. Bartholomew's Day Massacre. French Roman Catholic soldiers begin killing Protestants in Paris on the night of August 24, 1572. The soldiers kill at least 10,000 Protestants during the first three days. At least 8000 more Protestants are killed as the slaughter spreads to the countryside.

1618 – 1648 The Thirty Years' War. This bloody, religious war is planned, instigated, and orchestrated by the Roman Catholic Jesuit order and its agents in an attempt to exterminate all the Protestants in Europe. Many countries in central Europe lose up to half their population.

1641 – 1649 Eight years of Jesuit-instigated Roman Catholic butchery of Irish Protestants claims the lives of at least 100,000 Protestants.

1685 French Roman Catholic soldiers slaughter approximately 500,000 French Protestant Huguenots on the orders of Roman Catholic King Louis 14 of France.

Circa 1938 – 1945 Catholic dictators such as Adolf Hitler and Monsignor Tiso slaughter approximately six million Jews in Europe prior to and during World War 2.
1941 – 1945 The Roman Catholic Ustashi in the fascist state of Croatia butcher up to one million Serbian Orthodox Christians. Roman Catholic killer squads are often led by Franciscan priests, monks, and friars. This genocide is choreographed by two Jesuit prelates: Aloysius Stepinac and Ivan Saric.



Hata ukiua mtu mmoja tu kwa ajili ya kutisha wengine ni ugaidi. Leo kuna ugaidi zaidi ya mataifa makubwa kuingia na kuuwa kwa midege na manowari na silaha zote kubwa za kivita, wanawake, wazee na watoto wadogo kwa kisingizio tu cha kuwa eti wana silaha za maangamizi ambazo hazijaonekana mpaka leo? Fikiri.
 
Wakati Makanisa yanachomwa moto/ yanalipuliwa kwa mabomu, Mapadre wanapigwa risasi, raia wanamwagiwa tindikali rais Kikwete hakuonyesha kujali! Lakini alipofanyiwa mambo SWAHIBA WAKE wa Home Shopping Centre ndipo alipopagawa!! HUU NDIYO UNAFIKI WA WAISLAMU!!!

..........wakati Wamarekani wanavamia nchi za Kiislaam na kuua wanawake na watoto, na wakituma ndege zisizo na rubani kutupa mabomu mitaani na masokoni kwa ajili ya tamaa ya udhibiti wa rasilimali za mataifa mengine. Wakiristu wako kimya na wakifurahia Waislaam wanapoteza maisha na kuharibiwa uchumiwa wao na kurudishwa nyuma kimaisha.
Haki haichanganywi na batili !
 
Hapa ndiyo waislam mnapojichanganya! Kwani al shabaab ni jeshi la Somalia?

...........Al Shabab (Vijana Jasiri) wanapigana kulinda ardhi ya nchi yao Somalia kutwaliwa na Mabeberu (sovereignty)
 
Waelimishe waisilamu wasitumiwe .alshababu waisila alqueda waisilamu.boko haramu waisilamu.kwanini msijitege na ubaya .mungu hajakupa mamlaka ya kuuwa watu kwa kumtetea mungu ni upendo but shetani ndiye anapenda watu wagombane wauwane.kujitoa muhanga kwa kuwauwa watu wengine wapi na wapi ukisha uwa watu ndio kutafuta haki.rudini mumtafute mungu wa kweli alafu mtajua marekani kama ni mbaya au mzuri nyinyi mwatumika na miungu ya fremason.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom