Alshabab Wafungua Akaunti nyingine Twitter.

Alshabab Wafungua Akaunti nyingine Twitter.

Status
Not open for further replies.
FaizaFoxy habari yako bhana!

Mbona umekomaa anga hii sana?

Ama tuseme unatoa somo nini?
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kufungiwa akaunti yao ya awali na twitter, Alshabab Wamefungua akaunti nyingine.

1. Wanatoa updates za watu wao waliofanya shambulio kenya.

2. Wanamshukuru Mungu kwa tukio lilifanyikaa kenya.

3. Akaunti yao mpya ni. @hsm_press2

Hivi twitter wako wapi? Kuachia huu ujinga uendelee? Wanamshukuru Mungu kwa Mauaji?

Mungu endelea kuisaidia na kuisimamia Kenya. Tuendelee kuiombea Kenya.
Nimwendawazimu pekee atakae ifanya kazi hiyo (kuiombea Kenya)
 
Hatukashifiani dini...ila ni ukweli mtupu,kwanini wakati wanaua wasort out watu katika makundi ya dini?
 
Mungu awajalie afya njema mujahidina wa Al-shabab na awatio nguvu na moyo wa kupambana na makafiri ambao wanakesha kuinyanyasa dini ya mwenyezimungu. Tena haitoshi wangekuja na huku Tanzânia japo kwa Mwezi mmoja tu.
 
Naona unapayuka na hauna zaidi. Mkanda unajieleza wazi wazi na ugaidi unaelezwa ni nini humo na ugaidi sio monopoly ilivyodhihirishwa.

Upumbavu wa watu kama wewe ni pale unaposikia Wakenya wanashambulia na kuteka miji ya Wasomali wewe unachekelea, Msomali anateka kiduka kimoja tu, wewe unapayuka na kuhusisha Waislaam wa dunia nzima. Huo ni upuuzi.
Hapo kwenye red namshako napo, hasa kwa upande wako.. maana hata majeshi ya Africa yapo Somalia yanalinda amani dhidi ya hao unaowatetea ...au Al shabaab kwako ni serikali? Jifunze kutoka nchini Mali utaelewa Ufaransa ilivyofanya
 
Mungu awajalie afya njema mujahidina wa Al-shabab na awatio nguvu na moyo wa kupambana na makafiri ambao wanakesha kuinyanyasa dini ya mwenyezimungu. Tena haitoshi wangekuja na huku Tanzânia japo kwa Mwezi mmoja tu.

Aaaah Mkuu hata wewe!!!?? inasikitisha sana 🙁
 
Hapo kwenye red namshako napo, hasa kwa upande wako.. maana hata majeshi ya Africa yapo Somalia yanalinda amani dhidi ya hao unaowatetea ...au Al shabaab kwako ni serikali? Jifunze kutoka nchini Mali utaelewa Ufaransa ilivyofanya

Ukitangaza vita hata na mtu binafsi basi ujuwe uko vitani. Majeshi ya Afrika hayakutangaza vita na Alshabaab aliyetangaza vita na Alshaabab ni Kenya, kwa hiyo wakubali matokeo. Vita ni vita na hakuna mshindi.

Ni kwanini uwaone Wakenya wameonewa wakati wao wenyewe, Wakenya ndio walitangaza vita na Alshabaab? Hivi ukitangaza vita unategemea nini? upige tu na wewe usirudishiwe?
 
mbona hawafungui facebook account au ipo ? 😱hwell:
 
Ukitangaza vita hata na mtu binafsi basi ujuwe uko vitani. Majeshi ya Afrika hayakutangaza vita na Alshabaab aliyetangaza vita na Alshaabab ni Kenya, kwa hiyo wakubali matokeo. Vita ni vita na hakuna mshindi.

Ni kwanini uwaone Wakenya wameonewa wakati wao wenyewe, Wakenya ndio walitangaza vita na Alshabaab? Hivi ukitangaza vita unategemea nini? upige tu na wewe usirudishiwe?
Vita dhidi ya ugaidi ni ya kila mtu kwa sabau madhara yake yanamlenga kila mtu na hayaangalii nani ni nani. Hata wewe ungekua na mishe zako tu Westgate siku ya tukio yangekukuta, ndio maana napata wakati mgumu kukuelewa unaposimama upande wa Al shaabab
 
Nimwendawazimu pekee atakae ifanya kazi hiyo (kuiombea Kenya)

Nakubaliana na wewe wendawazimu wa kwanza kabisa ni hawa:
[h=1]Group distances Islam from raid[/h] The top Muslim leadership in the country on Sunday condemned the massacre of innocent civilians
washu.jpg

Quote: As religious leaders, we are going to come up with plans for a national prayer rally involving all religious groups," he said.
source: nation kenya.
 
Vita dhidi ya ugaidi ni ya kila mtu kwa sabau madhara yake yanamlenga kila mtu na hayaangalii nani ni nani. Hata wewe ungekua na mishe zako tu Westgate siku ya tukio yangekukuta, ndio maana napata wakati mgumu kukuelewa unaposimama upande wa Al shaabab

Ajabu yako ni kuwa unapata wakati rahisi kuona miji mitatu ikishambuliwa na Wakenya lakini unapata wakati rahisi shopping center moja inaposhambuliwa. Unashangaza sana.
 
Wewe wakiuliwa wasomali makwao na Wakenya, wewe unaona raha na kushangilia au sio? Msomali anapolipiza kisasi unamuona mbaya au sio? Hiyo ndio nafsi yako inakwambia kuwa ni sawa?

sasa wewe mfiadini,,kama al shabab walikuwa wanalipiza kisasi kwa wakenya mbona walikuwa wanawatenganisha watu kwa DINI ZAO??inamaana waislamu walioachiwa ni waZenj au??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom