Alshabab Wafungua Akaunti nyingine Twitter.

Alshabab Wafungua Akaunti nyingine Twitter.

Status
Not open for further replies.
[video=youtube_share;yfhc32Pca9s]http://youtu.be/yfhc32Pca9s[/video]

Published on May 15, 2013
Dr. Zakir Naik said that historic records proved that a large number of terrorist acts in the 20th and 21st century were committed by non-Muslims. The so-called global phenomenon of "Islamic terrorism/militant Islam" was a creation of the western governments and their media outlets, he said.

"Politics lies at the heart of labeling Muslims across the globe as perpetrators of terror acts, " he added.

Dr. Zakir, who is one of the Muslim world's leading and most prolific speakers, quoted from the scriptures of other religions and proved that associating killing with Islam is incorrect.

"It says in the Book of Numbers that whoever worships other than God should be killed, " he said, referring to the Bible, yet such militant verses were conveniently ignored by the Western media.

"In every religion there are black sheep and the media keep putting these people forward. This is a media conspiracy and a way of pushing people away from Islam." he added.
Dr. Zakir Naik said, "No religion encourages terrorist acts or violence. The word 'Islam' itself means 'Peace, obtained by submitting yourself to the Almighty'. Anyone, be it Muslim or non-Muslim, who kills an innocent Muslim or a non-Muslim, kills the entire humanity. However, Islam goes a step further to say that if one saves innocent lives, the whole of humanity is saved. Injustice is the root cause of terrorism..."

He continued, "Palestinians are called terrorists just because they are fighting to get their land back." By citing examples of LTTE (in Sri Lanka), IRA (in UK), Lord's Salvation Army, which trains the young children to conduct terrorist attacks, and many other non-Muslim terrorist outfits he further said that, the lives claimed by these outfits are more than the ones by the Muslim terrorists.

Dr. Zakir said Naxalites/Maoists across India and the LTTE in Sri Lanka were non- Muslim terror organisations, which had had developed pan regional bases beyond national boundaries. Other such non-Muslim terror outfits included the United Liberation Front of Asom, National Democratic Front of Bodoland and All Tripura Tiger Force in the Northeast, Naik noted.

Drawing on international examples, Dr. Zakir said that the Japanese Red Army, Lord's Salvation Army and the ETA in Spain were also non-Islamic in character and composition.

"So nothing is more removed from truth as to suggest that Muslims have monopolized terrorism, " said Dr. Naik. He said the Irish Republican Army, which was considered to be terrorist group, has a history of 100 years of violence against the British, but the British government doesn't seem to be scared about them as they are about radical Islamic groups.

Besides, he also mentioned, "Even a single killing by a Muslim is condemned by Islam, whatsoever the reasons."

On the Media, Judiciary and Politicians

Dr. Zakir appreciated the Indian media for being unbiased and upright while reporting the communal riots. He further expressed that it is the plot of the Western media to destroy Muslims.

He also said that the media controlled by the political authorities is biased and does not portray the truth or reality. He stated, "Islam does not justify using wrong means to reach the right goals. People should not take the law in their hands."

"India has seen maximum number of communal riots in recent years. Politicians have been using the 'Divide and Rule Policy' to secure their vote banks. However, the masses should not get instigated by them. Terrorism is a monopoly of politicians. People, regardless of their religion, wish to live harmonious lives, but politicians feed the feeling of hatred amongst them, " he opined while speaking about the role of politicians in the society today.
We should learn how to turn the tables and convey the real meaning, " said Dr. Zakir, while calling on Muslims to dispel the media's vilifying of Muslims and the importance of having Muslim television channels and newspapers.

Took place in Mumbai in front of a jam packed crowd, at the Shanmukhananda auditorium on 11th Sept 2006.

Spin doctor, hana anachokijua kuhusiana na biblia.
 
Hivi dini ya islam inaruhusu kweli ugaidi huu naomba muislam mwenye uelewa mkubwa anielimisha

hairusuhu aisee this is typical terrorism na imekaa kisiasa zaid,kwa mtizamo wangu hiki ni kisasi baada ya kenya kuivamia somalia,hakuna mafundisho ya kiislamu yenye kuruhusu umwagaji wa damu za watu wasio na hatia mostly wanawake na watoto,inahuzunisha sana,
 
Baada ya kufungiwa akaunti yao ya awali na twitter, Alshabab Wamefungua akaunti nyingine.

1. Wanatoa updates za watu wao waliofanya shambulio kenya.

2. Wanamshukuru Mungu kwa tukio lilifanyikaa kenya.

3. Akaunti yao mpya ni. @hsm_press2

Hivi twitter wako wapi? Kuachia huu ujinga uendelee? Wanamshukuru Mungu kwa Mauaji?

Mungu endelea kuisaidia na kuisimamia Kenya. Tuendelee kuiombea Kenya.
Mkuu hapo ndiyo utangundua tofauti ya Mungu unayemuabudu wewe na mungu wa pande nyingine!
 
kati madhambi makubwa kwenye uislam ni kuua nafsi isiyokuwa na hatia.
Uislam hauungi mkono ugaidi wowote unaofanywa na muislam au asiekuwa muislam.

Wanachofanya alshabab ni kinyume kabisa na mafundisho ya uislam.

Hata ktk vita vya jihad, hairuhusiwi kuu watoto au wanawake.

Umejib vyema mkuu,naomba unitoe na mimi tongo tongo kwa kunielewesha namna vita vya jihad vinavyopiganwa, ni dhid ya nan? Naona jamaa wanajisifia kuwa wameua kafir ,je kama jihad ni vita dhid ya ukafri na mkristo ni kafri kwa mujib wa wauaji hao.je uislaam unasemaje juu ya hilo,ni sawa kumuua mkristo ????
 
Watu wanajitia upofu ili wanaona..wamesahau wanawake wangapi wa kisomali walibakwa na magaidi ya Kikenya..wamefunga macho yao kwa aibu ili wasione ni wasomali wameachiwa madhila ya kudumu na majeshi ya wavamizi ya wa Kenya..ulimwengu walikuwa wanaweka pamba masikioni mwao ili wasisikie vilio vya maelfu ya wasomali wanaohukumiwa ndani ya ardhi yao wenyewe..ulimwengu umewatenga..ulimwengu uliwavua utu wao....Makafiri wa kenya wametengeneza tukio ili wapate uhalali wa kwenda kumwaga damu na ubakaji kwa viumbe ni innocents..ulimwengu ulikuwa unayashudia mauaji haya na kuyashangilia mauaji haya kana kwamba wanaouwawa ni Ngedere..Mungu mkubwa leo hii kaka zao wameamua kulipa kisasi ndio ulimwengu unatoka usingizini unakuja kauli za magaidi waivamia Kenya..ulimwengu unalia eti wanaua wasio na hatia kana kwamba kuna roho zenye kustahili kufa....ulimwengu wa kinafki unashitushwa na ndoo za damu za watu ambao hawazidi hata mia eti tu kwa sababu ni wazungu na matajiri...nadiriki kumalizia kuwa kilichowapata wakenya kiliwastahili..na bado hakiwatoshi..
 
Naomba wana jf mutambuwe kuwa anayoipiga kenya sio al shababi bali ni mmarecani sema anachokitumia mmarican ni kuidanganya dunia kuwa usilamu ni mbaya na haufai ni dini ya kupenda kuwa watu ,kumbe sio kabisa ni propaganda tu,,onakule iraq,afughanistani, nigeria anasingizia boko haram kumbe mwenyewe mmarikani ni mbaya sanaa tena hafai,hapa tz ameanza kutengeneza tatizo kati ya serikali na wasilamu ,serikali haitaki kusikiliza madai ya wasilamu ,inachokifanya ni kuwakandamiza tu sasa wakichoka ndipo mmaricani anapoingia kupambana na hao anao waita magaidi,ilaweze kuchukuwa gesi,dhahabu,mafuta kiulaini,mmarecani hana adui wa kudumu wala hana rafiki wa kudumu

Unao ushahidi kuwa mashambulizi dhidi ya Kenya wanafanya Wamarekani? Propaganda nyingine zinashangaza sana.
 
Hivi dini ya islam inaruhusu kweli ugaidi huu naomba muislam mwenye uelewa mkubwa anielimisha

uislam unaruhusu marekani akapigane vita libya,iraq,misri,palestine n.k we unaangalia majibu ya alshabab lakini alichokifanya kenya huko somalia kwa alshabab hukioni.mambo yakupigwa shavu moja ukampa jingine ni upuuz hapa jino kwa jino
 
Lakini mbona kila tatizo duniani tunataka kusingiza Marekani. Ndio maana MaCain alisema anashangaa watu wanalalamika marekani ni mbaya na shetani lakini watu wanajazana kwenye balozi zake wanataka viza za kwenda marekani. Wasomali hawakimbilii Iran au Saudi wanakwenda marekani uingereza au canada.
Marekani si anazipiga nchi nyingine tu,kwani ndani mwake anavuruga,ndomana watu wanakimbilia sababu watu wanajua kwake avurugi
 
uislam unaruhusu marekani akapigane vita libya,iraq,misri,palestine n.k we unaangalia majibu ya alshabab lakini alichokifanya kenya huko somalia kwa alshabab hukioni.mambo yakupigwa shavu moja ukampa jingine ni upuuz hapa jino kwa jino

kwan wakenya huko Somalia wanavamia hadi kwenye masoko na kuua wanawake na watoto au wanapiga kambi za alshabab?au unataka kutuambia kila msomali ni alshabab.Udini umekupofua wewe
 
Nimemsikia msemaji wa al shabaab asubui hii BBC anasema Jihad is their religion akawa ananukuu vifungu vya Kitabu sina hakika kama ni Quran au la!...Hivi Jihad ni nini hasa maana yake!
 
Naomba wana jf mutambuwe kuwa anayoipiga kenya sio al shababi bali ni mmarecani sema anachokitumia mmarican ni kuidanganya dunia kuwa usilamu ni mbaya na haufai ni dini ya kupenda kuwa watu ,kumbe sio kabisa ni propaganda tu,,onakule iraq,afughanistani, nigeria anasingizia boko haram kumbe mwenyewe mmarikani ni mbaya sanaa tena hafai,hapa tz ameanza kutengeneza tatizo kati ya serikali na wasilamu ,serikali haitaki kusikiliza madai ya wasilamu ,inachokifanya ni kuwakandamiza tu sasa wakichoka ndipo mmaricani anapoingia kupambana na hao anao waita magaidi,ilaweze kuchukuwa gesi,dhahabu,mafuta kiulaini,mmarecani hana adui wa kudumu wala hana rafiki wa kudumu
Mh,mkuu hiyo sidhani kama inaukweli maana al shabaab mbona wanakiri kuhusika na hili. Hata kwa akili ya kawaida huweziwahusisha marekani na hili tukio la kenya
 
Unaongelea Biblia version ipi? Wachana na huyo dokta Naik, hiyo ni kichwa adhimu na adimu.
Dr. hawezi kupinga kwamba ugaidi mwingi unafanyika in the name of Islam,anachotakiwa kufanya Dr.sio kulaumu kwamba uislam unaonewa na western media bali kuelimisha hao waislam shallow popote duniani wanaodhani wanafanya sawa kuua kwa jina hilo wakati wanakosea,mbona vitu vipo wazi na vinaonekana tu...
 
DINI YA UISLAMU HAIRUHUSU HILI JAMBO, UISLAMU KWA TAFSRIRI NI UNYENYEKEVU. KUSALIMIKA NA NI MFUMO WA MAISHA KAMILI, NDIO MAANA KUNA MAKATAZO.(kwa mfano) usinywe pombe , usizini, natumai unafahamu madhara ya matendo hayo , ndio maana ya UISLAMU NI MFUMO WA MAISHA. hao ni wahuni wanaojificha ktk mgongo wa UISLAMU.
 
Dr. hawezi kupinga kwamba ugaidi mwingi unafanyika in the name of Islam,anachotakiwa kufanya Dr.sio kulaumu kwamba uislam unaonewa na western media bali kuelimisha hao waislam shallow popote duniani wanaodhani wanafanya sawa kuua kwa jina hilo wakati wanakosea,mbona vitu vipo wazi na vinaonekana tu...

Umeisikiliza hiyo kanda au unapayuka tu?
 
Mweupe sana tu, nimemsikiliza peace tv, hajui anachokiongea. By the way, wanaume wameahidiwa mabikira 72 kila mmoja kwa kuua watu wasio na hatia, ninyi wanawake mmeahidiwa nini kwa tendo kama hilo?

Leta ushahidi.

Huyo wanaemuelewa walio na masikio yanayosikia na macho yanayoona na mioyo isiyo na maradhi, si kama wewe, masikio unayo hayasikii, macho unayo hayaoni, moyo unao umejaa maradhi.
 
Dr. hawezi kupinga kwamba ugaidi mwingi unafanyika in the name of Islam,anachotakiwa kufanya Dr.sio kulaumu kwamba uislam unaonewa na western media bali kuelimisha hao waislam shallow popote duniani wanaodhani wanafanya sawa kuua kwa jina hilo wakati wanakosea,mbona vitu vipo wazi na vinaonekana tu...

Wakenya walioingia Somalia na kuua wanaua kwa jina la nani? au ndio kisa cha mkuki kwa nguruwe kwa binaadam mchungu?
 
Naomba wana jf mutambuwe kuwa anayoipiga kenya sio al shababi bali ni mmarecani sema anachokitumia mmarican ni kuidanganya dunia kuwa usilamu ni mbaya na haufai ni dini ya kupenda kuwa watu ,kumbe sio kabisa ni propaganda tu,,onakule iraq,afughanistani, nigeria anasingizia boko haram kumbe mwenyewe mmarikani ni mbaya sanaa tena hafai,hapa tz ameanza kutengeneza tatizo kati ya serikali na wasilamu ,serikali haitaki kusikiliza madai ya wasilamu ,inachokifanya ni kuwakandamiza tu sasa wakichoka ndipo mmaricani anapoingia kupambana na hao anao waita magaidi,ilaweze kuchukuwa gesi,dhahabu,mafuta kiulaini,mmarecani hana adui wa kudumu wala hana rafiki wa kudumu

Huu upuuzi ndio unawafanya mujiunge na hao Al shabaab. Zenji walikamatwa wakijiandikisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom