Alshabab Wafungua Akaunti nyingine Twitter.

Status
Not open for further replies.
Leta ushahidi.

Huyo wanaemuelewa walio na masikio yanayosikia na macho yanayoona na mioyo isiyo na maradhi, si kama wewe, masikio unayo hayasikii, macho unayo hayaoni, moyo unao umejaa maradhi.

Unamzungumzia Dr Zakir Naik?
Yaani huyo unamuita kichwa?

Huyo ni muongo kuliko uongo wenyewe

Mtu gani anasema eti El ni Allah?
Yaani hajui hata El ni kitu gani
Jebu mtazame hapa akisambaratishwa vibaya kwa hoja zenye nguvu:

Qur’an and the Bible in the Light of Science
 
Wakenya walioingia Somalia na kuua wanaua kwa jina la nani? au ndio kisa cha mkuki kwa nguruwe kwa binaadam mchungu?

Hao wakenya wamekwenda kwenye masoko na kuua watu?

Halafu kwani al-shaabab ni jeshi la serikali ya somalia?
Wanajeshi wa Kenya wako Somalia kwa baraka za serikali ya somalia,kwanini hawa mabazazi wasiende kupambana na serikali yao?
 
Naomba wana jf mutambuwe kuwa anayoipiga kenya sio al shababi bali ni mmarecani sema anachokitumia mmarican ni kuidanganya dunia kuwa usilamu ni mbaya na haufai ni dini ya kupenda kuwa watu ,kumbe sio kabisa ni propaganda tu,,onakule iraq,afughanistani, nigeria anasingizia boko haram kumbe mwenyewe mmarikani ni mbaya sanaa tena hafai,hapa tz ameanza kutengeneza tatizo kati ya serikali na wasilamu ,serikali haitaki kusikiliza madai ya wasilamu ,inachokifanya ni kuwakandamiza tu sasa wakichoka ndipo mmaricani anapoingia kupambana na hao anao waita magaidi,ilaweze kuchukuwa gesi,dhahabu,mafuta kiulaini,mmarecani hana adui wa kudumu wala hana rafiki wa kudumu
another poyoyo
 
Hivi dini ya islam inaruhusu kweli ugaidi huu naomba muislam mwenye uelewa mkubwa anielimisha

mimi ni muislamu, sina uelewa mkubwa sana ndugu yangu lkn ukweli dini hairuhusu kabisa kuua raia au mtu yeyote asiye na hatia. kama ni kisasi basi wangeenda kuua wanajeshi wenzao na sio raia wasio na hatia. dini ya kiislam ni nyingine na ugaidi ni kitu kingine kbs..kiukweli mimi ni muislam lkn nimehuzunishwa na haya mauaji na ninayalaani kbs.
 
Hii vita itagharimu sana maisha ya watu maana kupigana na watu ambao wanalilia kufa ni hatari sana .. huku wewe ukiavoid kufa yeye anatamani kufa apate thawabu ... ni noma sana. nahofia sana vijana wetu watz wasio na kazi wanaweza kukumbwa na kusombwa na elimu hii ya kuua ... kuna siku nimepanda dala dala na dogo mmoja muda wote akawa ana browse website za magaidi na kusoma elimu za jihad ... nkamuogopa sana,ofcourse ni ka mnote na nina mfanyia intelijensia... inaonekana mbegu ishapandwa kwenye jamii na magaidi wanaendelea kuzaliana ... Mungu atusaidie ... jamani we should not sympathize with terrerists,they are good for nothing to any one ... be it a muslim or non muslim .. we should all fight the war against terror ... we should be vigilant with any one we suspect ... ukiona nyendo za mtu yeyote,kazini,jirani nyumbani,shuleni,mavyuoni etc unazitilia mashaka report suala polisi ... na pia nashauri kianzishwe kitengo cha kudeal na ugaidi na magaidi na serikali itoe matangazo ya kutosha namna ya kuripoti washukiwa .... we can defeat them if we stand as one ... sisi sote ni ndugu, mimi nyumbani kwetu tuko waislam na wakristo... watoto wa shangazi waislam,watoto wa mjomba waislam,baba zangu wadogo waislam... sikukuu tunajumuika pamoja na kusherehekea ... leo tuanze kubaguana kidini? inawezekana vipi? Tafakari ....
 
Wakenya walioingia Somalia na kuua wanaua kwa jina la nani? au ndio kisa cha mkuki kwa nguruwe kwa binaadam mchungu?

Sasa mnaanza kuonyesha rangi yenu halisi. Mnapenda muonekane wenye kulaani kilichotokea lakini katika nafsi zenu zinashangilia. Hapa ndipo napochoka kabisa nikijaribu kupima ufahamu wenu. Yaani kweli kabisa waweza kuwalaani wakenya kwa kile walichoifanyia Somalia? Majangaaa! Hivi wanajeshi wa Kenya waliua nani kwa jina la nani? Hebu tusaidie.
 
Hivi dini ya islam inaruhusu kweli ugaidi huu naomba muislam mwenye uelewa mkubwa anielimisha

Dini ya kiislaam hairuhusu ugaidi wa mauwaji, ila inaruhusu kisasi na kujilinda, kama kenya walivamia Somali na Somali (Alshabaab) wamevamia Kenya.
 
Yaap, onyesheni rangi yenu kamili!!!
 
Ngoja nije niperuzi mauaji ya Rumi miaka hiyo, je walihusisha mauaji hayo na ugaidi?

Published on May 15, 2013
Dr. Zakir Naik said that historic records proved that a large number of terrorist acts in the 20th and 21st century were committed by non-Muslims.
 
Kisasi haki,jino kwa jino
Wale mlioleta toka taifa teule wameshafeli leteni wengine,
 
Hivi dini ya islam inaruhusu kweli ugaidi huu naomba muislam mwenye uelewa mkubwa anielimisha

sio uislamu tu, hakuna dini yoyote inayoruhusu kuua nafsi bila hatia. kwenye uislam inaruhusiwa kulipiza kisasi na inaelezwa kabisa kisasi hicho mtu alipize kwa njia gani, kwa mfano mtu kwa mtu, jino kwa jino, sikio kwa sikio. hapa nadhani hata kama ni mtu akikukata mkono naye anatakiwa kukatwa mkono. ila sheria hizi zinasimama kwa misingi ya imani na kwa mzinifu ambae hajaoa au kuolewa basi apigwe viboko mia moja, na kama ameoa au kuolewa basi apigwe mawe mpaka afe, hiyo ndo sharia. kupita sharia hii angalia takwimu za nchi zinazoongozwa kwa misingi ya dini ya uislamu rate ya UKIMWI na WIZI ipo chini kuliko nchi nyingine
 
Wakenya walioingia Somalia na kuua wanaua kwa jina la nani? au ndio kisa cha mkuki kwa nguruwe kwa binaadam mchungu?
Inaonekana hata hujui nini kinaendelea,au kama unajua basi ni kiburi cha ushabiki tu... kwako ni sawa kulipiza kwa raia wasio na hatia? kweli wewe empty vessel
 
Huo ndio ukweli ijapokuwa mchungu kwenu.mtenda akitendewa hujihisi kaonewa

Aibu sana kuwa na taifa lenye watu wenye ufinyu wa fikra kama wewe. Hivi wakenya wanaposoma hoja za hovyo kama hizi wanajisikiaje. Yaani ni aibu kweli.
 
Naomba wana jf mutambuwe kuwa anayoipiga kenya sio al shababi bali ni mmarecani sema anachokitumia mmarican ni kuidanganya dunia kuwa usilamu ni mbaya na haufai ni dini ya kupenda kuwa watu ,kumbe sio kabisa ni propaganda tu,,onakule iraq,afughanistani, nigeria anasingizia boko haram kumbe mwenyewe mmarikani ni mbaya sanaa tena hafai,hapa tz ameanza kutengeneza tatizo kati ya serikali na wasilamu ,serikali haitaki kusikiliza madai ya wasilamu ,inachokifanya ni kuwakandamiza tu sasa wakichoka ndipo mmaricani anapoingia kupambana na hao anao waita magaidi,ilaweze kuchukuwa gesi,dhahabu,mafuta kiulaini,mmarecani hana adui wa kudumu wala hana rafiki wa kudumu

lakini umeona baadhi ya waislam wanavochangia humu kuhusu mauaji ya kenya??
 
Naomba wana jf mutambuwe kuwa anayoipiga kenya sio al shababi bali ni mmarecani sema anachokitumia mmarican ni kuidanganya dunia kuwa usilamu ni mbaya na haufai ni dini ya kupenda kuwa watu ,kumbe sio kabisa ni propaganda tu,,onakule iraq,afughanistani, nigeria anasingizia boko haram kumbe mwenyewe mmarikani ni mbaya sanaa tena hafai,hapa tz ameanza kutengeneza tatizo kati ya serikali na wasilamu ,serikali haitaki kusikiliza madai ya wasilamu ,inachokifanya ni kuwakandamiza tu sasa wakichoka ndipo mmaricani anapoingia kupambana na hao anao waita magaidi,ilaweze kuchukuwa gesi,dhahabu,mafuta kiulaini,mmarecani hana adui wa kudumu wala hana rafiki wa kudumu

Aiseee!!!
hivi wapo watu hawajitambui kiwango hiki...??
 
yani watu waafanya ugaidi Kenya nyie huku Tanzania mnatukawmana wakristo na waislam?
You surely have better things to do.
 
kaka acha uwongo hayo maneno ya kwenye kahawa haaaaaa haaaa so kwa uelewa wako anamtumia shekh PONDA mmmmhhhhhh MMAREKANI NOMA.....

Hili jamaa hata akili halina cjui limeishi wapi tu,waislam wanakandamizwa kwa lip hapa Tz?n matakwa yapi mlionayo ambayo din nyingne hazistahl kuyaomba kwa viongoz wao?acha kuja Jf kbwege ----- ww,
 
Naomba wana jf mutambuwe kuwa anayoipiga kenya sio al shababi bali ni mmarecani sema anachokitumia mmarican ni kuidanganya dunia kuwa usilamu ni mbaya na haufai ni dini ya kupenda kuwa watu ,kumbe sio kabisa ni propaganda tu,,onakule iraq,afughanistani, nigeria anasingizia boko haram kumbe mwenyewe mmarikani ni mbaya sanaa tena hafai,hapa tz ameanza kutengeneza tatizo kati ya serikali na wasilamu ,serikali haitaki kusikiliza madai ya wasilamu ,inachokifanya ni kuwakandamiza tu sasa wakichoka ndipo mmaricani anapoingia kupambana na hao anao waita magaidi,ilaweze kuchukuwa gesi,dhahabu,mafuta kiulaini,mmarecani hana adui wa kudumu wala hana rafiki wa kudumu

acha uzuzu wewe, unadhani ulyovitaja hapo vinapatikana kama nchi haina amani,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom