Alshabab Wafungua Akaunti nyingine Twitter.

Alshabab Wafungua Akaunti nyingine Twitter.

Status
Not open for further replies.
........ikiwa huyo mtu aliyetoka anafanya fitna na kueneza maneno ya uongo ?
Kama yupo Muhubiri mmoja, anashuhuria kuwa aliikuwa Muislaam, kisha akampokea Yesu.
Anachukuwa sura na aya za Quran na anapotosha kwa makusudi kabisa.

Acha kuzuga jibu kwa nini Sharia inasema anayeacha uislamu adhabu ni kifo. hayo ya fitna na uongo yanatokea wapi. Huyo mhubiri yuko huko au Tanzania? Mimi nazungumzia nchi ya kiislamu. Mtu anachinjwa kwa kubadili dini tu bila fitna wala nini kwa nini?
 
Jikumbushe hii habari ya mwaka 2011, labda utaelewa unachokiongea baada ya hapo:

Monday 17 October 2011

Kenyan tanks, troops, trucks and air support were seen inside its northern neighbour a day after the country's Internal Security Minister labelled al-Shabaab "the enemy" vowed to set up a "buffer zone" north of its border. There were also reports of US drone attacks on suspected militant training camps in Ras Kamboni, a coastal forest near the border with Kenya.

The biggest military action in Kenya's recent history
comes five years after Ethiopia invaded Somalia with US approval and air support – an action that ended in ignominious withdrawal and helped to create al-Shabaab in its current form.

Source: Kenya sends in troops to Somalia in pursuit of al-Shabaab militants - Africa - World - The Independent

Nmekupata,lakini al shabaab sio serikali na hata Somalia kwenyewe imeshatangaza kwamba wao ni maadui..na ninavyoelewa mimi hawa jamaa ni magaidi kama wanavyojiita wenyewe,sasa concern yangu ni kwanini unawatetea hivyo na kuona wanvyofanya ni sawa? Hapo ndo bado cjakupata best
 
Wacha masoko, ni miji mizima. hebu jiulize Kismayu ina masoko mangapi na raia wangapi? na wangapi waliouliwa wakati Wakenya wanauteka huo mji? wacha kushabikia ujinga.
1. Kwako wewe ni kwa nini Kenya ina majeshi somalia? Mbona sababu ya kenya na nchi zingine za AU kupeleka jeshi somalia zinajulikana? Mbona sisi TZ tunawafundisha wanajeshi wa somalia? Na sisi magaidi?
2. Hawa al-shabab unaowaonesha kama wapigania uhuru mbona somalia kwenyewe hawatakiwi? soma habari hii kutoka somalia kwenyewe halafu uniambie hawa wasomali nao makafiri?
source: Mogadishu residents stage demonstration against Al-shabaab:

Isu_soobax_Mudullood_5.JPG

Isu_soobax_Mudullood_2.JPG


Nchini kwao somalia al-shabab ni terrorists wewe uko hapa bize kuwageuza wapigania uhuru!
 
I know, ndio maana najiuliza. Mauaji yaliyofanywa na makanisa kipindi cha zamani yalihusishwa na ugaidi? Hasa roman catholics.

Kama hayakuhusishwa kwa nini?

Tofauti yake na kinachotokea sasa hivi ni kipi? Ona hapa chini.

The Bloody History of Papal Rome - A Timeline

In 1940, French statesman Baron DePonnat stated “Roman Catholicism was born in blood, has wallowed in blood, and has quenched its thirst in blood, and it is in letters of blood that its true history is written.” Indeed, the history of papal Rome has been one of brutal torture, slaughter, and mass murder. The below list provides a sampling of papal Rome’s bloody history.
1096 Roman Catholic crusaders slaughter half the Jews in Worms, Germany.

1098 Roman Catholic crusaders slaughter almost all of the inhabitants of the city of Antioch.

1099 Roman Catholic crusaders massacre 70,000 Muslims and Jews when they capture Jerusalem.

1208 – 1226 The Albigensian Crusades in southern France. Roman Catholic crusaders slaughter approximately 20,000 citizens of Beziers, France on July 22, 1209. Both Albigensian Christians and Catholics were slain. By the time the Roman Catholic armies finished their “crusade,” almost the entire population of southern France (mostly Albigensian Christians) has been exterminated. During the six centuries of papal Inquisition that began in the 13th century, up to 50 million people were killed.

1236 Roman Catholic crusaders slaughter Jews in the Anjou and Poitou regions of western France. The Catholic crusaders trample to death under their horses 3000 Jews who refuse baptism.

1243 Roman Catholic mobs burn alive all the Jews in Berlitz, Germany (near Berlin).

1298 Roman Catholic mobs burn alive all Jews in Rottingen, Germany.

April 26, 1349 Roman Catholic mobs burn to death all Jews in Germersheim, Germany.

1348 – 1349 The Jews are blamed for the bubonic plague. Author Dave Hunt tells us, “Accused of causing the ‘Black Death’ Jews were rounded up [by Roman Catholic mobs] and hanged, burned, and drowned by the thousands in revenge.”

1389 Roman Catholic mobs murder 3000 Jews in Prague when they refuse to be baptized.

1481 – 1483 At the direction of the Roman Catholic inquisitors, authorities burn at the stake at least 2000 people during the first two years of the Spanish Inquisition.

1540 – 1570 Roman Catholic armies butcher at least 900,000 Waldensian Christians of all ages during this 30-year period.

1550 – 1560 Roman Catholic troops slaughter at least 250,000 Dutch Protestants via torture, hanging, and burning during this ten-year period.

1553 – 1558 Roman Catholic Queen Mary I of England (aka “bloody Mary”) attempts to bring England back under the yoke of papal tyranny. During her reign, approximately 200 men and woman are burned to death at the sake. Her victims include bishops, scholars, and other Protestant leaders.

1572 St. Bartholomew’s Day Massacre. French Roman Catholic soldiers begin killing Protestants in Paris on the night of August 24, 1572. The soldiers kill at least 10,000 Protestants during the first three days. At least 8000 more Protestants are killed as the slaughter spreads to the countryside.

1618 – 1648 The Thirty Years’ War. This bloody, religious war is planned, instigated, and orchestrated by the Roman Catholic Jesuit order and its agents in an attempt to exterminate all the Protestants in Europe. Many countries in central Europe lose up to half their population.

1641 – 1649 Eight years of Jesuit-instigated Roman Catholic butchery of Irish Protestants claims the lives of at least 100,000 Protestants.

1685 French Roman Catholic soldiers slaughter approximately 500,000 French Protestant Huguenots on the orders of Roman Catholic King Louis 14 of France.

Circa 1938 – 1945 Catholic dictators such as Adolf Hitler and Monsignor Tiso slaughter approximately six million Jews in Europe prior to and during World War 2.
1941 – 1945 The Roman Catholic Ustashi in the fascist state of Croatia butcher up to one million Serbian Orthodox Christians. Roman Catholic killer squads are often led by Franciscan priests, monks, and friars. This genocide is choreographed by two Jesuit prelates: Aloysius Stepinac and Ivan Saric.

Hayo watasema ni kujikomboa, lakini ngoja Msomali waliyemuulia mamake, babake, nduguze, wanawe, alipize kisasi uone anavyozozomokewa kuwa eti ni gaidi.
 
Nmekupata,lakini al shabaab sio serikali na hata Somalia kwenyewe imeshatangaza kwamba wao ni maadui..na ninavyoelewa mimi hawa jamaa ni magaidi kama wanavyojiita wenyewe,sasa concern yangu ni kwanini unawatetea hivyo na kuona wanvyofanya ni sawa? Hapo ndo bado cjakupata best

Mbona Kenya walipigana kuuana wenyewe kwa wenyewe kuna Msomali aliwaingilia?

Kenya inahusu nini kuingia na kuvamia Somalia na kiuikalia kwa kujidai eti inawapiga Alshabaab.

Sasa jiulize ikiwa Kenya inawapiga Al Shabaab ulitaka Alshabaab wakae kimya wanauliwa wasijitetee? Kumbuka kuwa ukishatangaza vita basi ujuwe na nchini mwako popote pale ni uwanja wa vita. Alshabaab wanarudisha mashambulizi tu.
 
1. Kwako wewe ni kwa nini Kenya ina majeshi somalia? Mbona sababu ya kenya na nchi zingine za AU kupeleka jeshi somalia zinajulikana? Mbona sisi TZ tunawafundisha wanajeshi wa somalia? Na sisi magaidi?
2. Hawa al-shabab unaowaonesha kama wapigania uhuru mbona somalia kwenyewe hawatakiwi? soma habari hii kutoka somalia kwenyewe halafu uniambie hawa wasomali nao makafiri?
source: Mogadishu residents stage demonstration against Al-shabaab:

Isu_soobax_Mudullood_5.JPG

Isu_soobax_Mudullood_2.JPG


Nchini kwao somalia al-shabab ni terrorists wewe uko hapa bize kuwageuza wapigania uhuru!

Nchi zingine hazijatangaza vita na Alshabaab, zimepeleka majeshi ya amani, Kenya wametangaza vita na Alshabaab kwa hiyo kinachowakuta ni hali ya kivita. Uwa, uuliwe. Kula Uliwe. Ulitakaje?
 
Msemaji: Kama Mungu akipenda, tunategemea Wakenya watapata ujumbe kwamba kama ukimwaga damu, damu yako itamwagika pia. Kwao kujua kuwa hawawezi kushikilia Kismayu, Dhobley na Afmadow na wategemee waishi kwa amani Nairobi. Huo ni ujumbe tunataka kuutuma kwao.

Kumbe na waliolipua mabomu Arusha ni al shabaab ndiyo maana rais wa Tanzania na majesji yake hajawakamata?
 
Nmekupata,lakini al shabaab sio serikali na hata Somalia kwenyewe imeshatangaza kwamba wao ni maadui..na ninavyoelewa mimi hawa jamaa ni magaidi kama wanavyojiita wenyewe,sasa concern yangu ni kwanini unawatetea hivyo na kuona wanvyofanya ni sawa? Hapo ndo bado cjakupata best

FaizaFoxy naye labda naye gaidi! Ogopa sana hao wanaojitanda ushungi!
 
Mbona Kenya walipigana kuuana wenyewe kwa wenyewe kuna Msomali aliwaingilia?

Kenya inahusu nini kuingia na kuvamia Somalia na kiuikalia kwa kujidai eti inawapiga Alshabaab.

Sasa jiulize ikiwa Kenya inawapiga Al Shabaab ulitaka Alshabaab wakae kimya wanauliwa wasijitetee? Kumbuka kuwa ukishatangaza vita basi ujuwe na nchini mwako popote pale ni uwanja wa vita. Alshabaab wanarudisha mashambulizi tu.
Pamoja na hayo, unajua Al shabaab ni kundi la kigaidi tofauti na hali iliyotokea Kenya ile baada ya Uchaguzi...na ndio maana walikua wanatishia Amani ya Dunia nzima kwa matukio ya mara kwa mara ya utekaji nyara meli bahari ya hindi hivyo kumuathiri kila mtu na ndio ubaya wa ugaidi, so si sawa kufananisha na vurugu za Kenya baada ya Uchaguzi. Wale ni Magaidi na hata wewe wanaweza kukuathiri saa yoyote popote na kwa sababu yoyote ambavyo hukutegemea
 
Dada yangu .. Ushauri wangu acha kutetea ugaidi wanaokufa ni ndugu zetu sote ambao ni wakristo, wahindu, waislamu, wabudha n.k

Na hata wale wanaokufa Somalia kwa wingi zaidi ni ndugu zetu pia, au wale si ndugu zako?
 
Pamoja na hayo, unajua Al shabaab ni kundi la kigaidi tofauti na hali iliyotokea Kenya ile baada ya Uchaguzi...na ndio maana walikua wanatishia Amani ya Dunia nzima kwa matukio ya mara kwa mara ya utekaji nyara meli bahari ya hindi hivyo kumuathiri kila mtu na ndio ubaya wa ugaidi, so si sawa kufananisha na vurugu za Kenya baada ya Uchaguzi. Wale ni Magaidi na hata wewe wanaweza kukuathiri saa yoyote popote na kwa sababu yoyote ambavyo hukutegemea

Soma kuhusu utekaji nyara meli dunini, kama Kenyea ni askari wa kusimamia utekaji nyara mbona huku hawaendi:

Acts of piracy and terrorism at sea are on the rise, but there is little evidence to support concerns from some governments and international organizations that pirates and terrorists are beginning to collude with one another, according to a RAND Corporation study issued today.
The objectives of the two crimes remain different -- piracy is aimed at financial gain while the goal of terrorism is political. Although both events are increasing, piracy is growing much faster and remains far more common than seaborne terrorism, according to the report.
"The maritime environment will likely remain a favorable theater for armed violence, crime and terrorism given its expanse, lack of regulation and general importance as a critical conduit for international trade," said Peter Chalk, author of the study and a senior political scientist at RAND, a nonprofit research organization. "While there is no quick fix for eliminating all of this, we can rationally manage the threats within acceptable boundaries."
Chalk said the study's findings suggest U.S. policymakers focus too much on responding to worse-case terrorist scenarios rather than crafting policies to combat lower consequence (but more probable) attacks that could strike cruise ships or passenger ferries. Just as seriously, the U.S. government has paid comparatively little attention to combating piracy, despite its proven cost in terms of human lives, political stability and economic disruption.
The number of piracy incidents worldwide increased 68 percent from 2000 to 2006, compared to the previous six year period, according to the study. Meanwhile, the period saw only a modest spike in terrorist attacks and plots at sea, including the 2004 bombing of the Philippine ship SuperFerry 14 that killed 116 people.
Acts of piracy -- boarding a ship to commit theft or another crime -- totaled 2,463 actual or attempted incidents between 2000 and 2006, according to the report. The overall problem is almost certainly even greater than the figures suggest as researchers suspect nearly half of all piracy attacks are not reported, usually because of fears about subsequent investigation costs and increases to insurance premiums.
Piracy remains greatest in Southeast Asia, especially around the Indonesian archipelago, the report said. The region accounted for nearly a quarter of all piracy incidents recorded during 2006. Other high-risk areas include the waters off Bangladesh, Somalia, the Gulf of Aden/Red Sea, Nigeria, Tanzania and Peru, which collectively accounted for the bulk of remaining incidents that year.
Chalk said that a number of factors have contributed to the recent growth of piracy, including: lax port security and ineffective coastal surveillance; massive growth in commercial maritime traffic; heavy use of narrow and congested chokepoints, such as the Strait of Malacca; and competing resource requirements stemming from heightened national and international pressure to enact expensive, land-based homeland security systems following the Sept. 11 terrorist attacks.
In addition, the lingering effects of the Asian financial crisis that spurred falling wages, higher food prices and job losses in the late 1990s, directly contributed to the growth of piracy in and around Indonesia by creating an incentive for many to engage in maritime (and other types) of crime.
Maritime terrorism -- attacks against vessels, sea platforms, ports or other coastal facilities -- has also experienced a modest increase, particularly over the past six years when several attacks and plots have been attributed to al-Qaeda and affiliated jihadist networks. These incidents have raised concerns in the West, especially in the United States, that terrorists are now actively seeking to extend their operational reach beyond land-based attacks, Chalk said.
While the Bush administration has been at the forefront of efforts to upgrade global maritime security through such initiatives such as the Container Security Initiative and the International Ship and Port Facility Security Code, these measures are limited in scope and lack a definitive means to evaluate and audit their overall utility and transparency, Chalk said.
The study concludes that there are at least four policy-level contributions that U.S. policymakers can make to help better safeguard the world's oceans:

  • Expand the post-9/11 maritime security regime.
  • Inform maritime security collaboration by conducting regular, focused threat assessments.
  • Redefine the mandates of multilateral security arrangements to make sure they provide for a greater role in countering maritime threats.
  • Encourage the commercial maritime industry to make greater use of enabling communication and defensive technologies, while accepting more transparency in its corporate structures.

Source: RAND Corporation
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom