stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Naona kapigwa Kenya mapovu yanawatoka tu ila vifo huko Syria wanaouliwa na Sumu hamvioni?
napinga ugadi. Lkn napinga pia madege yasiorubani kuwaua waislam wasio na hatiakawadanganye wadogo zako
Naona kapigwa Kenya mapovu yanawatoka tu ila vifo huko Syria wanaouliwa na Sumu hamvioni?
napinga ugadi. Lkn napinga pia madege yasiorubani kuwaua waislam wasio na hatia
Naomba wana jf mutambuwe kuwa anayoipiga kenya sio al shababi bali ni mmarecani sema anachokitumia mmarican ni kuidanganya dunia kuwa usilamu ni mbaya na haufai ni dini ya kupenda kuwa watu ,kumbe sio kabisa ni propaganda tu,,onakule iraq,afughanistani, nigeria anasingizia boko haram kumbe mwenyewe mmarikani ni mbaya sanaa tena hafai,hapa tz ameanza kutengeneza tatizo kati ya serikali na wasilamu ,serikali haitaki kusikiliza madai ya wasilamu ,inachokifanya ni kuwakandamiza tu sasa wakichoka ndipo mmaricani anapoingia kupambana na hao anao waita magaidi,ilaweze kuchukuwa gesi,dhahabu,mafuta kiulaini,mmarecani hana adui wa kudumu wala hana rafiki wa kudumu
Tatizo naloliona hapa ni shule tu, na Nyerere aliona mbali alitaifisha shule zote za dini ili watu wote waende shule lakini bado baadhi ya watu walizikataa shule zile wakaweka msingi kwenye elimu nyingine na bado hilo kosa linaendelezwa mpaka sasa,Raisi mwinyi naye kapiga kelele weee someni dunia imeingia kweye sayansi,bado watu hawasikii sasa utawasaidiaje watu wa namna hii.Kuna watu walio ona mbali wakati ule waliwapeleka watoto wao shule leo wanakula matunda ya watoto lakini walio kataa ndio hawa wanafurahia damu zikimwagika maana hawana elimu nyingine ila ni ilee moja tu Wamarekani ni wabaya dini fulani sio dini. usifanye makosa kama hayo bado nafasi ya kusoma ipo, we ulishaona mtu msomi aliye na kazi yake nzuri baba yake alimpeleka shule akashabikia udini au maandamano ya kulaani au Alshabab.WE unapsema Marekani wabaya walio soma wa itikadi yako wako huko huko, Marekani ni wabaya kwako wewe na mwalimu wako aliye kufundisha uone furaha ukiona damu. HUYO NI PEPO inabidi tukusaidie na shule tutakupeleka,usirudie kosa hii ni nafasi ya mwisho je unataka shule au hutaki?
Mnauwa watu wasio na hatia, mnauwa watoto,mnauwa wanawake. Afu Mnamshukuru Allah?
Kweli hii ndio jihad?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Tatizo naloliona hapa ni shule tu, na Nyerere aliona mbali alitaifisha shule zote za dini ili watu wote waende shule lakini bado baadhi ya watu walizikataa shule zile wakaweka msingi kwenye elimu nyingine na bado hilo kosa linaendelezwa mpaka sasa,Raisi mwinyi naye kapiga kelele weee someni dunia imeingia kweye sayansi,bado watu hawasikii sasa utawasaidiaje watu wa namna hii.Kuna watu walio ona mbali wakati ule waliwapeleka watoto wao shule leo wanakula matunda ya watoto lakini walio kataa ndio hawa wanafurahia damu zikimwagika maana hawana elimu nyingine ila ni ilee moja tu Wamarekani ni wabaya dini fulani sio dini. usifanye makosa kama hayo bado nafasi ya kusoma ipo, we ulishaona mtu msomi aliye na kazi yake nzuri baba yake alimpeleka shule akashabikia udini au maandamano ya kulaani au Alshabab.WE unapsema Marekani wabaya walio soma wa itikadi yako wako huko huko, Marekani ni wabaya kwako wewe na mwalimu wako aliye kufundisha uone furaha ukiona damu. HUYO NI PEPO inabidi tukusaidie na shule tutakupeleka,usirudie kosa hii ni nafasi ya mwisho je unataka shule au hutaki?
Kwa hiyo kwa mtazamo wa baadhi ya waislamu shambulizi la Kenya limelenga kumshikisha adabu mmarekani?
Wewe FaizaFoxy kama jina lako linavyojieleza unatamani na wewe ukalipue mlimani city ulivyo na akili ya kippuuzi
Hao wakenya wamekwenda kwenye masoko na kuua watu?
Halafu kwani al-shaabab ni jeshi la serikali ya somalia?
Wanajeshi wa Kenya wako Somalia kwa baraka za serikali ya somalia,kwanini hawa mabazazi wasiende kupambana na serikali yao?
kaa ujiulize kwanini hawa alshabab wasiende kuua msumbiji? waende kenya lazima kuna sababu tutafakari na vyanzo
"Believers, take neither Jews nor Christians for your friends." (Surah 5:51)
Dah ninapoona hili neno allah linatumiwa kwenye mambo ya mauaji napata tabu sana aisee....
Yebo yebo.... hahahahaaaaa
Leta ushahidi..
"Believers, take neither Jews nor Christians for your friends." (Surah 5:51)
"Muhammad is God's apostle. Those who follow him are ruthless to the unbelievers but merciful to one another." (Surah 48:29)