Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Mkuu kada kindakindaki huwa hana muda wa kufikiri vitu aina hiyo ila kuporojwa kinachomtoka ili atetee hata kama ni ushuzi.kwa hiyo mkuu unamtukana na waziri jaffo kuwa kakariri, soma tena uzi utaelewa kuwa jaffo anawaomba msamaha madaktari kwakuwa happy eagle katereza kidogo, hauhitajikuwa rocket scientist kuelewa kuwa rc kateleza pluuuuu paka maka
Hawa ndio wajenga nchi wanaotegemewa!!!