Ally Hapi, Anguko lako kisiasa umelitengeneza mwenyewe!

Ally Hapi, Anguko lako kisiasa umelitengeneza mwenyewe!

Unataka kusema vijana ni taifa la kesho? Huyu ni kiongozi kijana ndio kwanza kashika wadhifa tumuunge mkono na sio kumbeza kwa kila afanyalo. Kakosea sawa siajirekebishe maisha yasonge
Atajirekebishaje bila kukosolewa ?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
kwa msiofahamu
hapi alifanya kama.kile alichotaka kufanya makonda juzi.
hapi alitaka kumsimamisha/kumfuta kazi dakt.nadhani wa wilaya
ni kama makondakta alipotaka kumtumbua OCD wa bugurn
 
Tunafanya makosa sana kuwapa vijana( 25-30) years majukumu ya kimaamuzi.
Ni busara tuanze kuwaandaa kidogo kidogo kwa kusimamia idadi ndogo ya watu kwanza( supervision)
Changamoto atakazopata kwa idadi ndogo haitakuwa na athari kubwa wakati huo mabosi Wa juu yake watasawazisha makosa na atajifunza zaidi.
Angalia mtu kama Mongella,Mtaka, Kebwe,Hamsini, Magoiga, hawana scandal za uongozi.
 
Sio mara ya kwanza Jaffi kusema hivyo!Hawa vijana vijana wanalewa madaraka!Mpaka sasa vijana wote walio katika uteuzi wa kisiasa serikalini wamefeli!
Tukumbuke pia kuna viongozi wa kitaaluma pia wamejifanya mangimeza katika maeneo yao ya kazi.

Hivyo, ni budi kukumbushana, katika ngazi mbalimbali za uongozi, katika nchi hii, kuwa CHEO NI DHAMANA.

Kwa msingi huo RC Hapi yawezekana alikosea, ila pia Daktari bingwa huenda pia alikuwa na mizengwe yake ya kiuongozi. Kuna ushahidi, katika hospitali za umma, madaktari hujifanya miungu watu.
 
Ndio maana tunasema utaratibu wa kisheria ufuatwe kuwawajibisha!
 
Karma ni nyoko na malipo ni hapa hapa duniani, muda ukifika utashuhudia, nakumbuka kamanda fulani akiwa kijana mwenye nguvu kipindi cha Jk alihusishwa na ishu ya mabwepande na alipanda cheo, alikuwa karibu na ziwa victoria mara ya mwisho ila amerudishwa mjini kati pale mkabala na stesheni sasa, siku hizi anawapenda na anawanyenyekea madaktari huwezi kuamini. Sasa hivi hata wakimwambia kula kinyesi atakula tu, maisha we acha tu!!
 
Kwa wanaomfahamu huyu jamaa pale udsm alitumika sana na watu wa system kutuliza maandamano, inawwzekana huyu jamaa alijiimarisha kwa kujijengea network pale idarani ndo maana anaamini yeye ni kati ya watu hatari sana(yaan ana connection)...

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo:
Hii jamii ya Happy, Magambo, Kondakta ni wale vijana waliotumiwa na watu wa system kudeal na watu waliokuwa kinyume na serikali kwa hoja mbalimbali. Kwasababu walitumiwa na system kuwa kila jambo lazima kitatuliwe kwa kuwaweka kati wahusika na kuwashinikiza wanavyotaka pale wanapokutana na watu wenye nguvu ya hoja huwa wanakosa uvumilivu wanatoa vitisho na udhalilishaji kwa kuwa wana connection na sasa wana mamlaka (wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama). Sasa ni wazi kuwa wanaweza kutoa amri kwa vyombo na idara zetu nyeti ukizingatia kuwa utendaji wa idara zetu umejengeka kwenye "matakwa ya watawala" na siyo kwa kufuata matakwa katiba na sheria za nchi.
 
Unataka kusema vijana ni taifa la kesho? Huyu ni kiongozi kijana ndio kwanza kashika wadhifa tumuunge mkono na sio kumbeza kwa kila afanyalo. Kakosea sawa siajirekebishe maisha yasonge
Hii sio mara ya kwanza Jaffo kukemea tabia ya maRC na DC's!
Kiki tu zinawasumbua!Wanatumia sheria vibaya hasa ile inayowapa mamlaka kumweka mtu ndani saa 48/24!Sheria inasema watatumia mamlaka yao kwa sheria hiyo pale tu ambapo muhusika kukaa nje atahatarisha amani,na msingi wake ni kwakuwa wao ndio wwnyeviti wa kamati za ulinzi za mkoa/wilaya!Sasa unakuta kiongozi kashindwa kutimiza wajibu wake kuwahudumia wananchi,amri inatoka anawekwa ndani kwa saa 48/24!Hapo anahatarisha vipi usalama?
 
Kati ya mawaziri ambao JPM ali wini kuwachagu Jaffo ni mmoja wapo jamaa yuko smart sana hana mihemko ya kijinga
Kati ya mawaziri........... Jaffo ni mmoja wao...... (ni mmoja wao hao mawaziri), siyo mmoja wapo. Is one of them.
 
Tunafanya makosa sana kuwapa vijana( 25-30) years majukumu ya kimaamuzi.
Ni busara tuanze kuwaandaa kidogo kidogo kwa kusimamia idadi ndogo ya watu kwanza( supervision)
Changamoto atakazopata kwa idadi ndogo haitakuwa na athari kubwa wakati huo mabosi Wa juu yake watasawazisha makosa na atajifunza zaidi.
Angalia mtu kama Mongella,Mtaka, Kebwe,Hamsini, Magoiga, hawana scandal za uongozi.
Mbona mimi nina miaka 16 tu lakini nina mibusara kedekede hadi mingine inamwagika tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
kwa msiofahamu
hapi alifanya kama.kile alichotaka kufanya makonda juzi.
hapi alitaka kumsimamisha/kumfuta kazi dakt.nadhani wa wilaya
ni kama makondakta alipotaka kumtumbua OCD wa bugurn
Nafikiri Buguruni ilifaa wamuite ni OCS siyo OCD. Buguruni ni kituo, hivyo mkuu wa kituo ni OCS. OCD ni mkuu wa polisi wa wilaya. Labda kama Buguruni imeshapandishwa na kuwa wilaya ya kipolisi maana sasahivi tuna mikoa ya kipolisi kama Kinondoni, Ilala, Temeke, ambazo kiserikali hizo ni wilaya tu. Mkuu wa kituo cha police ni OCS.
 
Back
Top Bottom