Ally Hapi, Anguko lako kisiasa umelitengeneza mwenyewe!

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,026
Reaction score
74,704
Kuwa kiongozi ni karama ambayo ukipewa lazima uitunze na kufuata misingi yote muhimu. Wewe baada ya kupewa u RC Iringa ukadhani adui yako ni mwakilishi wa wananchi Mch.Msigwa badala ya umasikini.

Pia watumishi wa umma ukawaona kama takataka mbele yako ambao wengi wao wameitumikia nchi hii kwa miaka mingi kwa uadilifu mkubwa sana.

Sasa wewe ukaleta hayo na ona sasa yanakutumbukiza shimoni kisiasa kwa kasi usiyotegemea.

Ulipaswa kulazimishwa kuomba radhi hadharani au uwajibike. Utajikuta kama Wema.
kwinyara___BpaCG55BnqI___.jpg
 
Kuwa kiongozi ni karama ambayo ukipewa lazima uitunze na kufuata misingi yote muhimu. Wewe baada ya kupewa u RC Iringa ukadhani adui yako ni mwakilishi wa wananchi Mch.Msigwa badala ya umasikini.
Pia watumishi wa umma ukawaona kama takataka mbele yako ambao wengi wao wameitumikia nchi hii kwa miaka mingi kwa uadilifu mkubwa sana.
Sasa wewe ukaleta hayo na ona sasa yanakutumbukiza shimoni kisiasa kwa kasi usiyotegemea.
Ulipaswa kulazimishwa kuomba radhi hadharani au uwajibike. Utajikuta kama Wema.View attachment 912420

jamaa kaboa sana
 
Sijaelewa,
Huyu Ally Hapi alifanyeje kwani kwa Huyo Daktari Bingwa?
 
Kuwa kiongozi ni karama ambayo ukipewa lazima uitunze na kufuata misingi yote muhimu. Wewe baada ya kupewa u RC Iringa ukadhani adui yako ni mwakilishi wa wananchi Mch.Msigwa badala ya umasikini.
Pia watumishi wa umma ukawaona kama takataka mbele yako ambao wengi wao wameitumikia nchi hii kwa miaka mingi kwa uadilifu mkubwa sana.
Sasa wewe ukaleta hayo na ona sasa yanakutumbukiza shimoni kisiasa kwa kasi usiyotegemea.
Ulipaswa kulazimishwa kuomba radhi hadharani au uwajibike. Utajikuta kama Wema.View attachment 912420
Mkuu hawa ndio Viongozi wa Mwendokasi wa CCM..
Hawana akili kabisa..
Njia ile ile aliyopita DC wa Iringa Richard Kasesera ndio huyu mjinga RC Hapi anapitia ya kufikiri mwiba wa matatizo ya Iringa ni kupambana na Mb Msigwa..
Haya sasa kauvaa mkenge kwa watu wenye taaluma zao..Madaktari.
 
Ajitokeze mwenyewe aombe msamaha ..sio aombewe na waziri. Kukaa kwake kimya bado anaonyesha kiburi
Kuwa kiongozi ni karama ambayo ukipewa lazima uitunze na kufuata misingi yote muhimu. Wewe baada ya kupewa u RC Iringa ukadhani adui yako ni mwakilishi wa wananchi Mch.Msigwa badala ya umasikini.
Pia watumishi wa umma ukawaona kama takataka mbele yako ambao wengi wao wameitumikia nchi hii kwa miaka mingi kwa uadilifu mkubwa sana.
Sasa wewe ukaleta hayo na ona sasa yanakutumbukiza shimoni kisiasa kwa kasi usiyotegemea.
Ulipaswa kulazimishwa kuomba radhi hadharani au uwajibike. Utajikuta kama Wema.View attachment 912420
 
Kuwa kiongozi ni karama ambayo ukipewa lazima uitunze na kufuata misingi yote muhimu. Wewe baada ya kupewa u RC Iringa ukadhani adui yako ni mwakilishi wa wananchi Mch.Msigwa badala ya umasikini.
Pia watumishi wa umma ukawaona kama takataka mbele yako ambao wengi wao wameitumikia nchi hii kwa miaka mingi kwa uadilifu mkubwa sana.
Sasa wewe ukaleta hayo na ona sasa yanakutumbukiza shimoni kisiasa kwa kasi usiyotegemea.
Ulipaswa kulazimishwa kuomba radhi hadharani au uwajibike. Utajikuta kama Wema.View attachment 912420
Jamani tusaidieni. Huyu Aly Happi alifanya nini kwa huyu mtaalamu?
 
Back
Top Bottom