Ally Hapi, Anguko lako kisiasa umelitengeneza mwenyewe!

Ally Hapi, Anguko lako kisiasa umelitengeneza mwenyewe!

Miongoni mwa vijana wapuuzi waliopewa uongozi nchi hii Hapi ni mmoja wao. Huyu dogo hana hekima ya kiuongozi hata kidogo.
Lakini si unaelewa majukumu waliopewe na Bw Yule?? Kazi yao kubwa ni kupambana na Wapinzani kwa kuwadhalilisha akiongozwa na Bw Yule. Lengo lao nikuwashushia heshima mbele ya wananchi waliowachagua. Miaka mitatu imeyoyoma bila kufanikiwa ktk hilo. Matokeo yake wameanza kutafunana wenyewe. Bado tutashuhudia mengi zaidi.

Kuna viongozi yaani Mawaziri, Makatibu wakuu, RC pamoja na Ma DC watakaotolew kafara muda si mrefu kwa kisingizio kuwa wao ndio wameshindwa kuwajibika kwa wananchi nakuifanya ccm kukosa na serikali yake kukosa mvuto kwa wananchi. Jiulize Mzee wa Msoga alifuata nn juzi Magogoni??
 
Hakajiamini anatumia ukali na makaripio kama njia ya kuficha udhaifu wake...unawezaje kumfukuza mtaalamu mwenye taaluma adhimu bobezi ambaye anatekeleza majukumu kwa mujibu wa taratibu walizojiwekea kama taasisi?
Kuna wakati napata shida sana kuwaelewa hawa vijana. Una kuta MTU ni graduate lakini anashindwa kusoma upepo na hisia za watu amao waongoza hadi anakuwa kero kwa Jamii?
 
Kuna wakati napata shida sana kuwaelewa hawa vijana. Una kuta MTU ni graduate lakini anashindwa kusoma upepo na hisia za watu amao waongoza hadi anakuwa kero kwa Jamii?
Kiongozi asiye na diplomasia ataitwa mtawala tu...kuteuliwa kushika nafasi za kina Hapi ni jambo dogo sana na liko kwenye utashi wa mwenye mamlaka ya uteuzi lakini kumaintain nafasi husika ni suala la mhusika aliyeteuliwa! Hapi anapaswa kutambua kwamba haitumikii familia yake na kwamba hata kama ingekuwa anaiongoza familia yake mwenyewe atambue kuna miiko na maadili ya uongozi! Awaombe radhi madaktari,atuombe radhi wananchi,ajiombe radhi yeye mwenyewe kwa kutokufaulu somo la miiko ya uongozi kisha amuombe aliyemteua amtumbue ili apate muda wa kurudi kwenye taasisi ya diplomasia Kigamboni kunusuru future yake kisiasa!
 
Kuwa kiongozi ni karama ambayo ukipewa lazima uitunze na kufuata misingi yote muhimu. Wewe baada ya kupewa u RC Iringa ukadhani adui yako ni mwakilishi wa wananchi Mch.Msigwa badala ya umasikini.
Pia watumishi wa umma ukawaona kama takataka mbele yako ambao wengi wao wameitumikia nchi hii kwa miaka mingi kwa uadilifu mkubwa sana.
Sasa wewe ukaleta hayo na ona sasa yanakutumbukiza shimoni kisiasa kwa kasi usiyotegemea.
Ulipaswa kulazimishwa kuomba radhi hadharani au uwajibike. Utajikuta kama Wema.View attachment 912420
Kuna huyu hapa
IMG-20181027-WA0030.jpeg
 
Sio mara ya kwanza Jaffi kusema hivyo!Hawa vijana vijana wanalewa madaraka!Mpaka sasa vijana wote walio katika uteuzi wa kisiasa serikalini wamefeli!
Unataka kusema vijana ni taifa la kesho? Huyu ni kiongozi kijana ndio kwanza kashika wadhifa tumuunge mkono na sio kumbeza kwa kila afanyalo. Kakosea sawa siajirekebishe maisha yasonge
 
Hakajiamini anatumia ukali na makaripio kama njia ya kuficha udhaifu wake...unawezaje kumfukuza mtaalamu mwenye taaluma adhimu bobezi ambaye anatekeleza majukumu kwa mujibu wa taratibu walizojiwekea kama taasisi?
Aisee inaumiza sana
 
Kuwa kiongozi ni karama ambayo ukipewa lazima uitunze na kufuata misingi yote muhimu. Wewe baada ya kupewa u RC Iringa ukadhani adui yako ni mwakilishi wa wananchi Mch.Msigwa badala ya umasikini.
Pia watumishi wa umma ukawaona kama takataka mbele yako ambao wengi wao wameitumikia nchi hii kwa miaka mingi kwa uadilifu mkubwa sana.
Sasa wewe ukaleta hayo na ona sasa yanakutumbukiza shimoni kisiasa kwa kasi usiyotegemea.
Ulipaswa kulazimishwa kuomba radhi hadharani au uwajibike. Utajikuta kama Wema.View attachment 912420
Team Membe wamekabidhiwa mkoa wa Iringa........Ni shiiiida!
 
Uzi upo page ua tatu Kote Ni Matusi dhidi ya RC lakin hatuambiwi kafanya nini!

Pengine Kosa la Huyo Daktari Bingwa halivumiliki Au Pengine Ni la jinai kabisa lakin tumekariri

kwa hiyo mkuu unamtukana na waziri jaffo kuwa kakariri, soma tena uzi utaelewa kuwa jaffo anawaomba msamaha madaktari kwakuwa happy eagle katereza kidogo, hauhitajikuwa rocket scientist kuelewa kuwa rc kateleza pluuuuu paka maka
 
Waziri Jaffu amejua kosa la Happi, Wewe unajua kilichojiri Au umekuwa Kama bendera?, uelekeo wa Upepo unakuwa ndio wa bendera?
 
Back
Top Bottom