Ally Hapi, Anguko lako kisiasa umelitengeneza mwenyewe!

Ally Hapi, Anguko lako kisiasa umelitengeneza mwenyewe!

Tafuta kwenye yutube ziara ya mkuu wa mkoa wa iringa Happi kukagua kazi za maendeleo ya mkoa
Ushauri mzuri,

Japo kwa kuwa habari imeletwa humu ilipaswa iwe imekamilika, ama angalau link ya hiyo video huko ilipo ingewekwa humu
 
ingekua ni maamuzi ya Jaffo angewafuta kazi wengi wa wakuu wa mikoa na wilaya, amewaonya mara nyingi sana na anaonekana kukerwa sana na mienendo yao, tatizo ni aliyewateua, ni kichaa kama alivyojinadi!
Tobaaaaa
 
Jokate anajitahidi huko Kisarawe lakini Jerry Muro is a disaster kule Aru meru eti anafunga ofisi ya Mbunge kwavile hakai ofisini!! Mbunge hatakiwi kuwa ofisini anatakiwa awe na waliomchagua!!!
Muro ha ha ha ha ha ha...!
 
Lakini si unaelewa majukumu waliopewe na Bw Yule?? Kazi yao kubwa ni kupambana na Wapinzani kwa kuwadhalilisha akiongozwa na Bw Yule. Lengo lao nikuwashushia heshima mbele ya wananchi waliowachagua. Miaka mitatu imeyoyoma bila kufanikiwa ktk hilo. Matokeo yake wameanza kutafunana wenyewe. Bado tutashuhudia mengi zaidi.

Kuna viongozi yaani Mawaziri, Makatibu wakuu, RC pamoja na Ma DC watakaotolew kafara muda si mrefu kwa kisingizio kuwa wao ndio wameshindwa kuwajibika kwa wananchi nakuifanya ccm kukosa na serikali yake kukosa mvuto kwa wananchi. Jiulize Mzee wa Msoga alifuata nn juzi Magogoni??
Unasema?
 
Kiongozi asiye na diplomasia ataitwa mtawala tu...kuteuliwa kushika nafasi za kina Hapi ni jambo dogo sana na liko kwenye utashi wa mwenye mamlaka ya uteuzi lakini kumaintain nafasi husika ni suala la mhusika aliyeteuliwa! Hapi anapaswa kutambua kwamba haitumikii familia yake na kwamba hata kama ingekuwa anaiongoza familia yake mwenyewe atambue kuna miiko na maadili ya uongozi! Awaombe radhi madaktari,atuombe radhi wananchi,ajiombe radhi yeye mwenyewe kwa kutokufaulu somo la miiko ya uongozi kisha amuombe aliyemteua amtumbue ili apate muda wa kurudi kwenye taasisi ya diplomasia Kigamboni kunusuru future yake kisiasa!
Umenena vema mkuu.
 
Tatizo la Hapi ni kuzungumzia masula proffesional kwa kutumia common. Niliposikia akimtuhumu yule MOI nilijiuliza maswali mengi sana, sijui kwa nn mtu kuzungumzia jambo usilolifaham mathalan kumshambulia Dr et kisa wagonjwa wakifika hospital wanawekewa Drips za maji hata kabla ya vipimo. Nikajiuliza, hiv hata dehydration inahitaji CT scan kuidiagnose? Wakati mwingine kukaa kimya inasaidia kuficha kiwango cha ujinga
 
kwa hiyo mkuu unamtukana na waziri jaffo kuwa kakariri, soma tena uzi utaelewa kuwa jaffo anawaomba msamaha madaktari kwakuwa happy eagle katereza kidogo, hauhitajikuwa rocket scientist kuelewa kuwa rc kateleza pluuuuu paka maka
Wise
 
Wamezoea kupewa maagizo na kuyatii pasipo kufikiri matokeo pia kujikweza kuliko walivyo na wakidharau waitwao "wapinzani" na ushauri wao.
Mh. Jaji Mfawidhi Mstaafu Chocha alichoongea katika hafla ya kuagwa natumai bongolala watakuwa wamemuelewa ili tujue mustakabali wa nchi yetu chini ya "hawa watawala wetu wapendwa"
Jaji akumbushia ugumu kesi ya Bulaya na Wasira
 
Back
Top Bottom