Wapewe muda zaidi wakujifunza ...Sio mara ya kwanza Jaffi kusema hivyo!Hawa vijana vijana wanalewa madaraka!Mpaka sasa vijana wote walio katika uteuzi wa kisiasa serikalini wamefeli!
Wapewe muda zaidi wakujifunza ...Sio mara ya kwanza Jaffi kusema hivyo!Hawa vijana vijana wanalewa madaraka!Mpaka sasa vijana wote walio katika uteuzi wa kisiasa serikalini wamefeli!
Hadi wewe umeandika hivi! Basi heppy awajibishwe. Kwasavabu nyinyi ni wakuteteaga tu kila kitu hata kibaya kikifanywa na CCMjamaa kaboa sana
Huo weledi ndio ninaotaka kujua,manake huwa naona yeye na mwijage ni hakuna tofauti. Siasa na maneno mengiiiiMzee ulitaka jaffo anilete ugali hadi mlangoni kwangu..jaffo ni jembe angalia tamisemi inavyoendeshwa kwa weledi
nimesikiliza clip nzima kuhusu nini kimejili mpaka mkuu wa mkoa kutoa uamuzi ule, ni clip yenye dk 22:47. mwananch mmoja, ni mama anaitwa Eunice Mwakipesile, alikuwa na hoja juu ya pesa wanayolipishwa, sh 12,600/- kwa watoto wadogo chini ya miaka 5 kinyume na sera ya inch ambayo inasema wasilipie chochote. Aliulizwa DMO hakuwa na majibu (hajui hilo suala) . Mganga mkuu wa mkoa hakuwa na majibu pia. Ndo ikabidi aulizwe mganga Mfwawidhi wa hospitali ya mkoa ambayo ndo wanachukua hizo tozo. majibu aliyotoa ni kwamba ni kweli wanawalipisha sh 12,600/-.
Alipoulizwa ni kwa nini inapingana na sera ya inch hakuwa na majibu. alipoulizwa kama bodi ya hospitali ina taarifa ya malipo hayo hakuwa na majibu. Utetezi wake ni kwamba walikaa kama management (bila kuitaarufu bodi) wakaona waweke hiyo tozo ili kuboresha huduma za matibabu. alipoulizwa kwa nini wametengeneza utaratibu wa kulipisha watoto wadogo ambao unakiuka sera na kanuni za inch hakuwa na majibu.
Ndipo mkuu wa mkoa akamuamuru RAS aandike barua wizara ya afya kuwataarifu kwamba dactari huyo aondolewe hapo akafanye kazi za utabubi kwingine, maana management ya hospitali imemshinda.
Kosa la RC hapi liko wapi. Nionavyo mimi ni vijimaneno flan vya kumshushia hadhi dactari mbele za watu, lakin uamuzi wa suala lenyewe ulikuwa sahihi. dactari mfawidh wa hospitali ameshindwa kusimamia hoja yake ya kuwalipisha wanainch kinyume na sera ya inch. Hatua iliyochukuliwa dhidi yake ni muafaka kabisa. akafanye kazi ya kutibu sehemu nyingine. uongozi umemshinda, maana ameshindwa kusimamia maamuzi yake ya kuwalipisha watoto ili kuboresha huduma za afya.
Kongore mkuu.! Hebu oanisha hili povu la humu ndani juu ya Ally Hapi na tukio lenyewe lilivyo..nimesikiliza clip nzima kuhusu nini kimejili mpaka mkuu wa mkoa kutoa uamuzi ule, ni clip yenye dk 22:47. mwananch mmoja, ni mama anaitwa Eunice Mwakipesile, alikuwa na hoja juu ya pesa wanayolipishwa, sh 12,600/- kwa watoto wadogo chini ya miaka 5 kinyume na sera ya inch ambayo inasema wasilipie chochote. Aliulizwa DMO hakuwa na majibu (hajui hilo suala) . Mganga mkuu wa mkoa hakuwa na majibu pia. Ndo ikabidi aulizwe mganga Mfwawidhi wa hospitali ya mkoa ambayo ndo wanachukua hizo tozo. majibu aliyotoa ni kwamba ni kweli wanawalipisha sh 12,600/-.
Alipoulizwa ni kwa nini inapingana na sera ya inch hakuwa na majibu. alipoulizwa kama bodi ya hospitali ina taarifa ya malipo hayo hakuwa na majibu. Utetezi wake ni kwamba walikaa kama management (bila kuitaarufu bodi) wakaona waweke hiyo tozo ili kuboresha huduma za matibabu. alipoulizwa kwa nini wametengeneza utaratibu wa kulipisha watoto wadogo ambao unakiuka sera na kanuni za inch hakuwa na majibu.
Ndipo mkuu wa mkoa akamuamuru RAS aandike barua wizara ya afya kuwataarifu kwamba dactari huyo aondolewe hapo akafanye kazi za utabubi kwingine, maana management ya hospitali imemshinda.
Kosa la RC hapi liko wapi. Nionavyo mimi ni vijimaneno flan vya kumshushia hadhi dactari mbele za watu, lakin uamuzi wa suala lenyewe ulikuwa sahihi. dactari mfawidh wa hospitali ameshindwa kusimamia hoja yake ya kuwalipisha wanainch kinyume na sera ya inch. Hatua iliyochukuliwa dhidi yake ni muafaka kabisa. akafanye kazi ya kutibu sehemu nyingine. uongozi umemshinda, maana ameshindwa kusimamia maamuzi yake ya kuwalipisha watoto ili kuboresha huduma za afya.
Wewe ndio umenenaAjitokeze mwenyewe aombe msamaha ..sio aombewe na waziri. Kukaa kwake kimya bado anaonyesha kiburi
Hivi Msangi ni jina la Mkoa gani vile?Karma ni nyoko na malipo ni hapa hapa duniani, muda ukifika utashuhudia, nakumbuka kamanda fulani akiwa kijana mwenye nguvu kipindi cha Jk alihusishwa na ishu ya mabwepande na alipanda cheo, alikuwa karibu na ziwa victoria mara ya mwisho ila amerudishwa mjini kati pale mkabala na stesheni sasa, siku hizi anawapenda na anawanyenyekea madaktari huwezi kuamini. Sasa hivi hata wakimwambia kula kinyesi atakula tu, maisha we acha tu!!
Mihemko,tamaa,Kuwa kijana si tatizo hawa wanamuiga baba Jesca style yake pia kijana ana nguvu na akili yake ni fresh ni yeye tu kujiongeza na kuacha mihemko ya kijinga
Happy amefanya kosa gani?Mihemko,tamaa,
kupenda sifa,kujiinua,kupenda kutambulika nk.ndiyo sehemu ya ujana.Si rahisi kumtenganisha kijana na mambo hayo mkuu.Dawa ni kumpa madaraka baada ya ujana.
Na DAB?Miongoni mwa vijana wapuuzi waliopewa uongozi nchi hii Hapi ni mmoja wao. Huyu dogo hana hekima ya kiuongozi hata kidogo.
Kweli kabisaAlly Happy hana matatizo,mwenye matatizo ni aliyemteua
Kwan bashiitre si ndo mpangaji, au namim sinauhakika, lolMkuu hakulala kuchambua majina ya uteuzi akatoka na jina la huyu
Ila alivyomzalilisha yule daktari jamani... Hajui cheo ni dhamana... Leo upo kesho haupo..daktari professional amekaa darasani miaka nenda rudi...unamdhalilisha vile ili upate cheap popularity.... Kwangu naona sio sawa..huyo dogo tatizo utoto mwingi jumlisha misifa
Tafuta kwenye yutube ziara ya mkuu wa mkoa wa iringa Happi kukagua kazi za maendeleo ya mkoaMimi nashangaa hili swali hatujibiwi. Na huu ndio unapaswa kuwa msingi wa mjadala
Happy amefanya kosa gani?