Mbona kuna sehemu wamesema ameuwawa kwa kupoteza damu nyingi baada ya kupigwa risasi na Polisi akiwa anatoroka?Nipo serious mkuu, ukute alifananishwa au labda ni yeye, ndo maana nikasema, ni vema angetiwa nguvuni, halafu afikishwe mbele ya vyombo vya sheria, haki itendeke. Hiyo mob justice, ingekuwa vema ikaelekezwa kwa wezi wa mali za umma, ambao wanajulikana na karibia kila mtanzania, ila sheria hazichukui mkondo wake, jamii ingeheshimika kuliko kumuua mtu tena yawezekana hakupewa hata nafasi ya kusikilizwa lakini ndo hivyo.
Kuna habari za watu wengi tu kuuawa kwa kuitiwa mwizi huku si kweli na watu kuua bila kumhoji wala kumsikiliza, siyo fair kabisa. Anyway ndiyo umma wetu huu.
Katika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote amekuwa akitafutwa kwa kutekeleza mauaji ya watu mbalimbali katika maeneo ya Longdong, Ungalimited na Sinoni
Acha matusiBro your a princess
We jamaa kuna siku nilikutana na wewe maeneo karibu na shule ya nakido nikakupatia namba zangu unichek naona ukanikaushia hujanitafuta tenaHii chalii naijua kwa Babu yake ni hapo one paru sokoni one alinifanya niwe nawahi home,Kuna siku jumapili jioni nakutana nae sombetini ananiambia nimchomeshe fegi nilikua sina coins ilibidi nimpe kaki bila kudai change
We unaonekana hujawahi kuibiwa siku ukiibiwa ndiyo utajuwa ubaya wa hawa watuKwanini hakuna Mob Justice kwa mafisadi wa fedha za Umma na extra judicial killings chini ya baraka za serikali ? rejea watu kuokotwa kwenye viroba, Ben Saa 8, Azori & E.t.c ... Wezi wa kuku na viTVndio wanauwawa wa Matrillion wanasindikizwa na Escort hotelini kupumzika na Michepuko.
Hatujatofautina wote tunauchungu ila kunasehemu tunaibiwa sana na wala hatuoni uchungu! wengi hatujui mali ya umma ni mali yetu bali tunaimini mali ya umma ni mali ya serikali.we unaonekana hujawahi kuibiwa siku ukiibiwa ndiyo utajuwa ubaya wa hawa watu
Acha uwongo jomba nakido napajua ila Mimi na wewe hatujawahi kuonana kama ni kweli niambie nafananaje🤣We jamaa kuna siku nilikutana na wewe maeneo karibu na shule ya nakido nikakupatia namba zangu unichek naona ukanikaushia hujanitafuta tena
Fidovato amelala saa 9 jioni wewe ni nani?Halafu huwezi kuamini mimi npo hapa Arusha town lakini huyu dg ckuwahi kumsikia but nimekuja kumckia baada ya kuuawa.... Nje ya Arusha watu wanadhan huyu dg ni popular sana arusha
Kwani kauawa na mob? Wananchi walimkamata na kumfikisha polisiPole kwa familia,ndugu na jamaa, may his soul R.I.P.
Mob justice ni mbaya, wangempeleka mbele ya vyombo vya sheria, haki itendeke, ukute alisingiziwa au kafananishwa.
Nilijua wananchi walijichukulia sheria mikononi kwa kumpiga hadi akapoteza maisha.Kwani kauawa na mob? Wananchi walimkamata na kumfikisha polisi
Bora fisadi kuliko kibaka wa aina hiiKwanini hakuna Mob Justice kwa mafisadi wa fedha za Umma na extra judicial killings chini ya baraka za serikali ? rejea watu kuokotwa kwenye viroba, Ben Saa 8, Azori & E.t.c ... Wezi wa kuku na viTVndio wanauwawa wa Matrillion wanasindikizwa na Escort hotelini kupumzika na Michepuko.