Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,599
....Usijali banaaa Rubani, ningependa kukusaidia kurusha ndege siku ya Christmas lakini bahati mbaya ujuzi huo sina nitaangusha ndege ya watu bure na kutia hasara ya mabilioni ....MERRY Christmas & Happy New Year
BAK,
Kuna watu wana vipaji vya ajabu na wamejaliwa sana.......Amazing, amazing...cute cute.....!!!!
Ndo maana inaniuma sana kukuta kajukuu ka mtu kama haka kanachezewa chezewa na watu wa dizaini ya Bishanga...
Ngoja niende zangu mie nikawahi kumwona bibi na wajukuu wengine....
Nawakia nyote siku kuu njema,
Babu DC!!