All JF members... Happy Holidays...

....Usijali banaaa Rubani, ningependa kukusaidia kurusha ndege siku ya Christmas :):):) lakini bahati mbaya ujuzi huo sina nitaangusha ndege ya watu bure na kutia hasara ya mabilioni :):)....MERRY Christmas & Happy New Year



BAK,

Kuna watu wana vipaji vya ajabu na wamejaliwa sana.......Amazing, amazing...cute cute.....!!!!

Ndo maana inaniuma sana kukuta kajukuu ka mtu kama haka kanachezewa chezewa na watu wa dizaini ya Bishanga...

Ngoja niende zangu mie nikawahi kumwona bibi na wajukuu wengine....


Nawakia nyote siku kuu njema,

Babu DC!!
 
AfroDenzi!!

You honestly fascinate me with THE ART, CREATIVITY and GRAPHIC of your Works! I wish could have a daughter WITH THIS TALENTS!

BUT an-way!

For the time being let me wish you ... MARRY CHRISTMAS AND A HAPPY NEW YEAR!


Waoo I'm Speechless..
Thank you so much AJ.

To be compliantly honest with you , This is very , very simple and easy ...
takes about two minutes that's all..

my dear I would love to wish you & you're family a very special Xmass and all the blessings for New year ..

0001.gif
 
Asante Afro!
Naomba unifundishe kuchora ivo
Kila siku na-admire kimya kimya
leo naku-PM

Karibu Dada Mkuu,

Kwa leo asiyeshangaa basi hata ukimfikisha ferry hataona kitu...

Naona umenasa kwenye mtego wa AD......

Jifunzeni mje kumpa burudani babu!!
 
AD asante sana Mungu aendelee kukubariki
nakutakia pamoja na familia yako heri ya sikukuu
pamoja na members wote wa JF
M/Mungu aendelee kutujalia upendo, furaha na amani kwa mwaka 2012

Hii ni kweli???

Mbona sina taarifa kwamba siku hizi AD ameshavuta mchuma????!!!!

Babu DC (1947)!!
 
Thank AD
Uwe na wakati mwema pia na msimu mwema wa sikukuu
Na memmbers wote wa JF muwe na msimu mwema wa sikukuu.
Nawatakieni kila la kheri

KAbisa mkuuu..
Tunashukuru sana kwa baraka zako..
ubarikiwe zaidi na zaidi.. Looking forward to see you in New years lol

0119.gif
............................
 
AD,

Unajua si vizuri kumtoa babu machozi na umri huu!!

Bahati yangu Babu mwenzangu keshakimbilia migombani kuwahi roll call...Hata sijui wazee wa kuamua hii kesi ningewatoa wapi....

Nitaomba ukipata muda unitegenethee kapambo kamoja nimwoneshe bibi, ...thawa kajukuu???

Speechless,.......

Babu DC (1947)!!!

Sijui niseme nashukuru hayupo hapa
au niseme nashukuru hajui nilichosema..
hahahahah either way na simama na nilichosema..


Kama wewe ni babu bora wa 2011 basi bibi na yeye nampa
zawadi yake kwa kweli.. kama tujuavyo bibi is always Best of the best..
 
Kana ni program anipe at any cost
Kama ni utundu basi anigawie
nimechoka kuvumilia, ananirusha sana
ananikalisha kwenye tuthpick kila siku

LooH! Si unaona anavyozidi kushukaaa

... hapa kuna ka program etc.. hope atatusikia na kumaliza kiu yetu ujuzi! Lol
 
Asee....
Thanx AD....wewe ni wa ukweli....
Happy holidays to u!

 
....Usijali banaaa Rubani, ningependa kukusaidia kurusha ndege siku ya Christmas :):):) lakini bahati mbaya ujuzi huo sina nitaangusha ndege ya watu bure na kutia hasara ya mabilioni :):)....MERRY Christmas & Happy New Year


hahahahahah
Captain unajua kunichekesha kwa kweli..
sasa jamani we si ndo una ujuzi kuliko mimi lolz..
Nway haina neno we enjoy hii Xmass New year nakuachia jahazi hahah..
sante sana BAK


BAK,

Kuna watu wana vipaji vya ajabu na wamejaliwa sana.......Amazing, amazing...cute cute.....!!!!

Ndo maana inaniuma sana kukuta kajukuu ka mtu kama haka kanachezewa chezewa na watu wa dizaini ya Bishanga...

Ngoja niende zangu mie nikawahi kumwona bibi na wajukuu wengine....


Nawakia nyote siku kuu njema,

Babu DC!!

hahahahahahah
Jamni babu kwa hiyo
Bishanga akileta mahari yangu
nyumbani hautapokea?


AD asante sana Mungu aendelee kukubariki
nakutakia pamoja na familia yako heri ya sikukuu
pamoja na members wote wa JF
M/Mungu aendelee kutujalia upendo, furaha na amani kwa mwaka 2012


Asante sana My dear ..
Ntakutafuta basi kabla ya Xmass tuongee kidogo..
kwa sasa nakutakia kila jema kwa Xmass hii na kila baraka
itokayo kwa mwenyeenzi Mungu .. My dear mwaka huu ulikuwa
mwaka wa furaha na karaha .. na sintokaa nikusahau maisha yangu yote
kwa kujitolea kwa nguvu zako zote kumsaidia Abbasi.. uzidishiwe mara elfu zaidi..
sina hata la kusema my dear .. Mungu awe nawe mpaka uwaonee vituukuu wa vituukuu
ubarikiwe sana kwa vizazi vyote.. One of the kind.. I respect you so much...


Hii ni kweli???

Mbona sina taarifa kwamba siku hizi AD ameshavuta mchuma????!!!!

Babu DC (1947)!!

hahahahahah siingilii ng'ooo..


Babu DC familia ni mchuma saidia mimi hapo

nawaacheni Babu DC na BW...

Kwani siku hizi neno mchuma mnalitumiaje??

Enzi zetu ukiambiwa.."kamata mchuma....."....Maana yake ilikuwa pana na nzito!!

Ila naamini kajukuu kameelewa na katampa babu feedback!!

Babu DC (1947)!!

Babu una maneno kwa kweli..
hahahah lol
 
0275.gif
Ni muda ule wa mwaka tena, muda ambao watu husafiri safari za mbali kwa ajili ya kukutana na wapendanao sana sana familia. muda ambao wengi huchukua likizo au mapumziko kutoka kwenye shughuli / makazi yao . muda ambao wengi wanachukua nafasi na kutafakari cha kufanya na walichofanya. Ningependa kumtakia kila mmoja wenu likizo njema na baraka zote za msimu huu. Kwa wale wenzangu na mie ambao bado tutakuwa makazini Poleni sana. Ndivyo ilivyo.
0009.gif
0040.gif
Asante saaaaaaana Dada yangu. Happy Hollidays to you. Enjoy ur New Year. May God Bless uuuuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom