All about Edward Hosea, Mwanyika

All about Edward Hosea, Mwanyika

Hivi Hosea ni mtumiaji wa Pombe? na kama ndiyo anapendelea kunywa pombe gani? anakunywa wakati gani wa siku? na je alisema maneno hayo kanywa? hata hivyo kama hakunywa siamini kuwa msukuma anaweza kumchunguza msukuma kwani wasukuma ni watu wanaukabila sana wa chinichini ukitaka kujua nenda Mwanza
 
Hothea thio mnywa pombe yeye ni mthabato safi(S.D.A) nadhani unajua wasabato walivyo na msimamo na dini yao. Tena ni muhumini mzuri wa kanisa la wasabato pale magomeni mwembe chai na anacheo kanisani.

Hivyo maneno hayo aliyathema akiwa na akili zake timamu.Kinachonishangaza uchunguzi wake utakamilika wakati mafisadi wote watakuwa wameshajiuzulu, kwanini anawapa adui muda wa kujipanga?
 
Hosea yupo katika dunia yake mwenyewe......na huko kwenye dunia yake nna wasi wasi anaamini kuwa yeye ni rais na anaweza kufanya anachotaka, na anaowaongoza wote mataahira
 
Huyu Hosea ninyi hamjui mimi namfahamu toka akiwa msaidizi wa jaji mkuu marehemu Francis Nyalali na baadaye alihamishiwa mtwara ambako alipelekwa na msajili lakini aliacha kazi sasa basi huyu mtu wakati akiwa msaididizi wa jaji hapo dar alikuwa anaomba rushwa waziwazi mimi nafikiri wasaidizi wa rais hawjamshari vizuri katika hili
 
Hivi kumbe huyu bwana bado hajafukuzwa kazi!!

POle Mkuu hii ndio AFIRIKA na Tanzania ndio nchi yenyewe ambayo kila kitu kina wezekana.

'mwizi kua polisi na polisi kua mwizi"
Miye for one nilisha jichokea,nimebaki naangalia tu!
 
Hivi Hosea ni mtumiaji wa Pombe? na kama ndiyo anapendelea kunywa pombe gani? anakunywa wakati gani wa siku? na je alisema maneno hayo kanywa? hata hivyo kama hakunywa siamini kuwa msukuma anaweza kumchunguza msukuma kwani wasukuma ni watu wanaukabila sana wa chinichini ukitaka kujua nenda Mwanza

Tafadhali ndugu, kuwa lump watu wote pamoja siyo vizuri.Ulifanya research gani? Una data gani ku support hichi ki sweeping statement? Nikienda Mwanza nikaangalie nini?

Unapoongea kuhusu reputation ya mtu au watu ni lazima uwe mwangalifu sana.Wsukuma wana "camaraderie" sana miongoni mwao na kwa kila mtu, lakini pia wanajua ku-change vizuri sana inapokuwa appropriate.

Kama una argument ya ukabila wa wasukuma ilete vingine, hiyop hapo juu ni collossal failure.
 
Sasa hii iliyo bolded tui-characterize kivipi?
 
Tafadhali ndugu, kuwa lump watu wote pamoja siyo vizuri.Ulifanya research gani? Una data gani ku support hichi ki sweeping statement? Nikienda Mwanza nikaangalie nini?

Unapoongea kuhusu reputation ya mtu au watu ni lazima uwe mwangalifu sana.Wsukuma wana "camaraderie" sana miongoni mwao na kwa kila mtu, lakini pia wanajua ku-change vizuri sana inapokuwa appropriate.

Kama una argument ya ukabila wa wasukuma ilete vingine, hiyop hapo juu ni collossal failure.

Bora Pundit ,you have said what is tru and real

Mambo ya ukabila tulishayapinga,na Rejea kauli aliyoitoa marahemu baba wa taifa mwaka 1985 kuhusiana na mambo ya kubaguana kwa ukabila..

suala la kuywa Pombe ni maisha binafsi ya mtu.
 
Huyu Hosea ninyi hamjui mimi namfahamu... akiwa msaidizi wa jaji hapo dar alikuwa anaomba rushwa waziwazi mimi nafikiri wasaidizi wa rais hawajamshauri vizuri katika hili

Hiyo sentensi hapo ni mfano wa treason!

Ina maanisha kiongozi yeyote yule mwenye washauri, kama vile Rais (Mkapa, Kikwete), Mawaziri (Lowassa, Karamagi), Attorneys General (Chenge, Mwanyika) hawazezi kuwa na kosa hata siku moja kwa sababu wao ni watu wa kutekeleza mambo wengine walio amua.

Ni mfano wa kitabuni wa jinsi Serikali inavyo 'peta' kwa sababu watu hawataki kujua nchi inaendeshwa vipi, na ni nini wajibu wa viongozo wao.

Ni uasi.
 
Nitashangaa sana nikiona Edward Hosea amefukuzwa kazi. Nasema nitashangaa kwa sababu tayari sisi Watanzania tulishaomba huyu Bwana atimuliwe kazi kwa kutokuwa na imani naye. Sasa mshangao wangu utakuwa ni kwa sababu ya kufukuzwa kwake sasa. Mara nyingi sana sisi kama Watanzania tumekuwa tukiyafanyia kazi maelekezo yanayotolewa na Wazungu au kwa msemo mwingine tuliamini kwamba kila jambo zuri linatoka kwa mzungu, si kweli jamani.
Uingereza imeitaka serikali ya Tanzania imwajibishe Edward Hosea kwa kutokuwa mkweli katika repoti yake juu ya suala la Richmond.
Sasa hapo ndipo nitakapo shangaa kama atatimuliwa. Lakini pia huenda nisishangae kama kipindi naanza kushangaa nikikumbuka kale kamsemo, "Watanzania Ndivyo Tulivyo" nitanyamaza kimya.
 
Kikwete sasa mfukuze Hosea

Tahariri
Tanzania Daima~Sauti ya Watu

MKUTANO wa Nane wa Taasisi ya Leon Sullivan uliokuwa ukifanyika Arusha umemalizika juzi (Ijumaa), huku ukiacha ujumbe mzito uliotolewa na Rais mstaafu wa Nigeria, Olesegun Obasanjo, kwa Watanzania.

Katika hotuba yake aliyoitoa katika mkutano huo, Obasanjo alisema nchi za Afrika zinakabiliwa na tatizo la rushwa na kuwataka viongozi wakuu wa nchi hizo kuwawajibisha viongozi wote walio chini yao wanaotuhumiwa kwa rushwa na ufisadi.

Sisi tumeuchukulia kwa uzito wa kipekee ujumbe wa Obasanjo, kutokana na vita inayoendelea sasa hapa nchini ya kupambana na ufisadi na rushwa, vita inayoongozwa na Rais Kikwete mwenyewe.

Kwa kutambua uzito wa ujumbe na vita ya rushwa tunayopigana sasa, tunapenda kumkumbusha Rais Kikwete kuwa kama alivyosema Obasanjo, ana kila sababu ya kuanza kuwachukulia hatua viongozi waliokwishatajwa kuhusika na kashfa za rushwa na ufisadi.

Kiongozi wa kwanza anayepaswa kuanza naye ili kuhakikisha mapambano ya sasa yanafanikiwa, ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Edward Hosea. Yeye ni miongoni mwa viongozi waliotuhumiwa kuisafisha kampuni ya kuzalisha umeme wa dharura ya Richmond dhidi ya tuhuma za kupata zabuni hiyo kwa njia zisizostahili.

Hosea ni mmoja wa viongozi wanaoongoza taasisi nyeti, aliyetajwa na katika ripoti ya Kamati Teule ya Bunge, iliyoundwa kuchunguza uhalali wa upatikanaji wa zabuni hiyo, inayoligharimu taifa hasara ya mamilioni ya shilingi kila siku, kuwa anapaswa kuachia ngazi kwa kulindanganya taifa katika ripoti yake ya uchunguzi wa upatikanaji wa zabuni hiyo.

Ripoti ya kamati hiyo inabainisha kuwa Hosea alitoa ripoti ya uongo kwa umma wa Watanzania, iliyokuwa ikieleza kutokuwapo kwa aina yoyote ya rushwa au ufisadi katika mchakato wa upatikaji wa zabuni hiyo kwa Kampuni ya Richmond.

Mbali ya Hosea, viongozi wengine waliotajwa kuhusika katika kashfa hiyo ambao wamekwishaachia nyadhifa zao, ni pamoja na aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa.

Wengine walioachia ngazi sambamba na Lowassa, ni aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Nazir Karamagi, na aliyekuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Ibrahim Msabaha.

Kuachia madaraka kwa viongozi hao kulionyesha dhana ya uwajibikaji ilivyoanza kushika kasi hapa nchini, baada ya kipindi kirefu cha viongozi kugoma kuwajibika, hata wanapobainika kufanya makosa ya wazi katika utendaji kazi wao.

Kwa hao waliokwisha kuachia madaraka, tunarudia kusema kuwa wamefanya jambo jema kwa sababu wametimiza wajibu wao na wamefungua milango kwa wengine kufuata nyayo zao, wakibainika kuwa katika mazingira kama hayo yaliyowakuta mawaziri hawa watatu.

Kinachotushangaza ni kitendo cha Hosea tunayeamini kuwa - licha ya kutajwa katika kashfa hii - ni mtu mwenye hekima na anayeheshimu misingi ya uongozi bora, kukataa kuachia ngazi.

Tunapenda kueleza msimamo wetu wazi kuhusu suala hili kuwa Rais Kikwete ana kila sababu ya kumfukuza kazi Hosea, kutokana na kashfa zilizoelekezwa kwake na Kamati Teule ya Bunge, ambazo ushahidi wa mazingira unaonyesha kuwa zina kila chembe ya ukweli.

Tunajua kwamba Hosea hakutarajia kukutana na hali hii, lakini tunamtaka azingatie kauli ya awali ya Rais Kikwete wakati akielezea mazingira yaliyolazimisha kung’atuka kwa Edward Lowassa, kuwa kilichotokea kwake (Lowassa) ni ‘ajali ya kisiasa’, na ya hivi karibuni ya Obasanjo ya kuwataka viongozi wakuu wa Afrika kuwawajibisha viongozi wanaotuhumiwa kwa rushwa na ufisadi.
 
Semeni nyie Kuku tukisema sie MABATA watasema tumeharisha na wengine watakamatwa na rumande kuwekwa. Ila twende mbele kurudi Nyuma, Hosea TAKUKURU ni kama JOKA LA KIBISA YAANI HALING'ATI ILA LINALAMBALAMBA. Hamna hata jambo ambalo nimelisikia kwenye Uongozi wake likawa lina manufaa kwa Taifa sana sana watasema wanalifanyia Kazi. Na wakilifanyia Kazi wao eti waandishi wa habari inabidi wakae pembeni, THIS IS HOLY SHIT.
 
Kasi ya Muungwana ni kubwa atawaacha jamaa kibao abaki yeye na utingo (Shein)
 
Tumeomba sana
ila wakati ukuta na ukiuchezea utajuta
 
Hosea tunasubiri umauzi wa Waziri mkuu, kwenye kushughulikia ripoti ya Mwakyembe, maana alisema ataifanyia kazi in 3 months sijui imebaki muda gani maana kamati ilitkaka na huyu naye afukuzwe kazi mara moja!
 
Huyu waziri mkuu nae naona ni wale wale tu toka alivyosema ataifanyia kazi mpaka leo hajafanya chochote ilitakiwa wakati wale wanazi wanaondoka na hawa watolewe lakini mpaka leo hosea yupo na dalili za kuondolewa wala hazipo sijui wanasubiri tuandamane? kama tume ilitumia mwezi mmoja na ushee kukamilisha uchunguzi iweje utekelezaji wake kuanza tu uchukue mwaka??
 
Bado Dak Kadhaa Tuu Bunge Lianze Tunaisubir Ufunguzi Wake Toka Kwa Pm.......na Siasa Zake Za Ahadi Kama Kawa.............
 
Hosea tunasubiri umauzi wa Waziri mkuu, kwenye kushughulikia ripoti ya Mwakyembe, maana alisema ataifanyia kazi in 3 months sijui imebaki muda gani maana kamati ilitkaka na huyu naye afukuzwe kazi mara moja!

Hii report itachukua miaka mingapi jamani? Wasije kusema wataifanyia kazi wakirudi awamu ya pili tuu? Maana JK muda wake unakwenda ukingoni, i hope 2010 JK anarudi kwao Bagamoyo.
 
Back
Top Bottom