All about Edward Hosea, Mwanyika

All about Edward Hosea, Mwanyika

Lakini hebu tuwe serious. Tatizo la kuomba ngono ni kubwa kiasi gani? Effect yake ni kubwa kiasi gani kwa jamii au nchi? hata kama mambo yanakushinda lakini kuacha kuzungumzia the real monster na kuanza vya ngono mimi naona ni kupungukiwa na sense fulani ya majaukumu ulioyopewa.Jamaa hajui wajibu wake na anategemewa kutoa results gani. Kifaa cha kuzuia /kumonitor "watoa rushwa na wapokeaji wa Rushwa ya ngono" too low an idea.

Hamna tofauti na yule alianza mapamabano na machangudoa DSM akaacha kupambana na kipindupindu katika mitaa ya Bongo. Crazy?

Hivi je akiwakakamata wahusika yaani mwanamke na mwanaume ambao walitaka kuhongana atawashitaki kwa kosa lipi? Evidence? Kwani wao ni wajinga, si watasema tu wao ni wapenzi na mchezo umekwisha? kwani nani atakubali kushatkiwa kwa jambo hilo? Bwana Hosea ajue tu kwamba njia rahisi ni kuwe na mlalamikaji yaani mwanaume anayelalamika kuwa kuna mwanamke anatakata kumpa uroda ili ampe say kazi,au mwanamke alalamikae kuwa kuna mwanaume ameamwomba uroda ili ampe huduma yoyote ambayo anahisi ni haki yake. .Lakini kama ni yeye anataka kuwafumania remotely na kuwashitaki mimi naona ni kitu cha kufikirika, meaningless and upuuzi mtupu. Do'nt even dare use our money for such a flimpsy craziest ,unthinkable gimic. Deal with the real problem which is killing us. ...mbafu.
 
Ama kweli Tanzania tuna watu wanaotudhania sisi "hamnazo". Sasa kama hicho kifaa kipo (kinaitwa recorder au kamera) kwanini kisitumike kuwawekea mtego wanaotaka rushwa ya aina yoyote ile? Kwanini wachague ya "ngono" au wanataka kuona visivyoonwa hadharani na kusikia visivyonong'onezwa mbele za watu?

Mkuu Mwanakijiji
Mwanzo wakati nasoma hii taarifa nilidhani ni joke kumbe ni taarifa muhimu kwa vyombo vya habari, I do not think the guy is serious. Kwanza lazima tujue kwamba rushwa ya ngono is not alarming hadi wakanunua hizo divice kwa ajili hiyo. Wanaacha kupambana na mafisadi waliomaliza uchumi wa nchi na ambao wamekuwa wakituhadaa kwamba Tanzania ninchi masikini wakati hali si hiyo Tanzania ni nchi tajiri sana huu umasikini ni slogan za kutufanya tutulie tu kama vifanga walipoambia na mama yao mtanyonya kesho. Dr. Edward Hosea naanza kutokuwa na imani naye kwa asilimia 100%

Dr EH kweli umeita waandishi wa habari ukakaa vizuri tu kichwani mwako ukiwa unawaza kwamba leo unatoa taarifa muhimu sana kwa Watanzania kwamba huo ndiyo mkakati muhimu sana kwa maslahi ya taifa, pua zikawa zinafunuka kwamba hizo ni point muhimu. Hivi wewe mwenyewe hapo yule binti wa Temeke uliyemhamisha toka Mbeya hiyo nayo ni nini? Ngono kwa wenzako wewe hapo wima wima. Juzi juzi ulipata Ph.D tulidhani suala hilo ungesitisha kwanza maana kuwa na elimu kama hiyo lazima uchuje sana mambo yako, ikiwa ni pamoja na stail ya kucheka, huwezi kubwatuka kwa!!!kwa!!!kwa!!!kwa!!!kwa!!!kwa!!!kwa!!!!!!!!!!! mtu mwenye Ph. D
 
Kuku ni kuku, jogoo kuku, koo kuku, tembe kuku, na mbuzi ni mbuzi, jike mbuzi, beberu - mbuzi, na rushwa ni rushwa tu.
 
Taarifa zilizopatika hivi punde mjini Dodoma,ingawa bado hazijathibitishwa rasmi, zinaeleza kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya kuzuia na kupambambana na Rushwa,Bw.Hosea pichani juu amejiuzulu,aidha taarifa hizo zinaeleza kuwa Mkurugenzi huyu alijiuzulu jana usiku na kwamba anasubiri ridhaa ya Rais.Mpaka sasa Bw Hosea anakuwa mtu wa nne kujiuzulu kufuatia sakata zima la Richmond.

Source: http://www.michuzijr.blogspot.com/
 
Mwanasheria Mkuu yeye haitaji kujiuzuru tena kwa vile balaza la mawaziri limevunjwa. Hivyo automatically yuko nje unless JK amrudishe tena. Nafikiri sijakosema wajameni!!!

Kuhusu Hosea I am sure PCCB watu wansherekea vibaya mno. Nimewasiliana na mshikaji wangu pale jamaa alikuwa hapendwi kabisa. Sasa ngoma ni nzito, sijui JK atampa nani mzigo ule, Kihiyo au mama?? Au atatafuta mtu kutoka nje ya PCCB. Nafikiri mtu wa nje atakuwa poa kwa vile ile taasisi ishashuka hadhi sana hivyo inahitaji mtu wa kuishape!!! I thgink what is going on there is ANTCORRUPTION CORRUPTION!!!
 
Nenda Hosea nenda baba ila nakukumbusha uturudishie na ile Phd yetu ya juzi maana nayo umeichafua na kukidhalilisha vilivyo chuo chetu kitukufu cha UDSM.
 
Aende tu tena isiishie hapo, amedhalilisha chombo muhimu kama PCCB. Achunguzwe, mali zote alizonazo kazitoa wapi?

PCCB ipangwe upya kabisa na kuajiri vijana wapya ambao watachapa kazi.

Baada ya yaliyompata Hosea hakuna atakayekuwa tayari kumwaga unga wake kwa kumbeba mkubwa.
 
wana JF, ebu angalieni hii document ambayo iko posted kwenye YOUNGAFRICAN blogspot http://www.youngafrican.com/yaforum/topic.asp?TOPIC_ID=13641&#203384


We the Asian Community now living in Canada, have been making a follow up of what is happening in our beloved mother country,
Tanzania. Problems facing our country range from being political, social and economical, but the underlaying cause of all these
problems is CORRUPTION.

We have discovered that it's corruption that is "eating" Tanzania and all efforts being made by the Prevention and Control of
Corruption Bureau (PCCB) has failed. In our opinion, the fight against Corruption will only be successful if the right person is
appointed to head the Bureau.

Here we have a person going by the name of Edward Hosea, the current Director General of PCCB. Mr Hosea is the right handman of
Martern Lumbanga the former Chief Secretary. All Lumbanga's property is taken care of by Mr Hosea, whom in the eyes of those
who appointed him consider him as being "Clean." This is the opposite, and he might be the dirtiest man than most Tanzanians tend to
believe!

Since one Jitesh Ladwa a highly indebted businessman circulated an email message all over the world on what has become to be
known, the "BoT Scam" Mr Hosea has turned to be a nuisance to businessmen and investors in Tanzania. Being a close friend to Mr
Ladwa, Hosea has been contracted by Ladwa to make sure that all those mentioned in those email messages are taken to task including
prosecution. The trick, of which we know, is to make sure the current BoT Governor Mr Daudi Ballali and some Asian businessmen
are taken to court and a new Governor is appointed. The complete deal would see Hosea getting paid Tsh 1 billion!
Hosea has initiated a dirty campaign full of threats whereby he moves from one bank to the other requesting banks' authorities to
furnish him with bank statements of some of the businessmen. These businessmen are summoned and given a condition of giving
huge money to him or face corruption charges. Surprisingly, these bank statements, believed to be top secret are exposed in different
areas in Dar es Salaam including bars and hotels. Some of the bank statements have been spotted at places like pubs and bars!
Hosea, who's said to be a devoted Christian who goes to church every Saturday, has sent his wife Sarafina and children Magembe
and Shoma to the US on forged documents. His wife is being paid about $9,500 per month. (All documents with regard to this scandal
are available). It's no secret that Hosea also owns a house in the US. This is the man who is supposed to be in the forefront fighting
corruption.

Recently, Hosea received a lot of money from Barrick Gold as an inducement to interfere a Court Case. It's Barrick who have built
him a multibillion house at Mbezi Beach. The house is in three plots where you meet eight (eight??) dogs on guard and bills settled by
PCCB. It's the same Hosea who is fully involved in Prof Mahalu's case, and that's why there are two conflicting reports on Mahalu's
investigation report. One prepared by Hosea himself and the other by PCCB.
Hosea, who's at the payroll of Mohamed Enterprises Ltd has caused Tanzanians to suffer a lot following his failure to investigate a
multibillion fertilizer scandal involving the company. The outcome was the decision by the Japanese government to cancel a fertilizer
grant to Tanzania.

The same Hosea is sitting on another big scandal involving the same company. Recently, Mohammed Enterprises imported hundreds
of tones of sugar which was declared that it was meant for the Democratic Republic of Congo (DRC). But TRA discovered later that
the huge consignment of sugar was for the Tanzanian local market. TRA decided to impound the sugar, and reports have it that the
matter "was recently settled" by some government officials, PCCB team and TRA officials after the importer, Mohammed Enterprises
Ltd agreed to give away Tsh 500 million. The matter was reported to almost all media houses, but the story is not coming out because
editors and reporters were "paid" millions so that they can contain the scandal. Recent news have it that already the matter had been
solved "amicably" whereby Hosea and some TRA officials have been paid millions to cover the would be Tanzania's biggest scandal
for 2007!

Memories are still fresh in most Tanzanians especially the media fraternity when Hosea, engineered the arrest and prosecution of the
editor of Family Mirror, one Zephania Musendo on arranged and calculated plan aimed at silencing him from publishing stories on
Hosea's unethical behaviour. The Family Mirror was carrying stories of complaints from many people whom after being charged by
the then Prevention of Corruption Bureau (PCB) were forced by Hosea to hire his law firm. The then PCB Director General (rtd) Brig
General Kamazima had warned Hosea that having a law firm that was giving service to those charged by the PCB was unethical
because of conflict of interest, but as of now most of those charged by PCB are forced to use the services of Hosea's Law firm! We
were also victims of this arrangement.

What's interesting in Hosea's bid to fight corruption is the style he applies. Although he's conducting investigations on the BoT
scandal, we have never heard of many Asians being interrogated. Hosea's victims are only black Tanzanians and they are the ones he
wants to sacrifice, Tanzanians watch out believe from me Planted Black Tanzania on the BoT scam will be the ones to be implicated.
Why?

Jitesh Ladwa, a close friend of Hosea and the author of ALL emails in relation to the so-called BOT Scam was in the past a major
beneficiary of the EPA Account. On March 7th, 2005, he applied for a Deed of Assignment and Indian Ocean Hotels Expansion
Project. He wrote to the Bank of Tanzania saying that he had purchased Commercial Debt of Itochu Corporation of Japanese Yen
1,078,439,516 from Itochu Corporation formerly known as C. Itoch and Company Ltd.

According to the "executed" Deed of Assignment of Commercial Debt said to have been signed by Hiroyuki Sogabe on behalf of
Itochu Corporation and Jitesh Ladwa on behalf of Indian Ocean Hotels Ltd its (Itochu's) address is Africa Re Centre, 6th Floor,
Hospital Road, Upper Hill, P.O. Box 30288, Nairobi, Kenya. The Deed was executed on December 7th, 2004.

Mr Jitesh told the Bank of Tanzania that he intended to utilize the funds for the expansion of the controversial Indian Ocean Hotels
with new convention Centre, suites, serviced apartments and rental area in an effort to bring conference tourism in Tanzania. His
application was rejected by the BoT via the bank's letter dated Sept 1st, 2005. The bank said it was unable to process his request at the
moment.

The main reason why Ladwa's application was rejected was the fact that the Deed of Assignment was forged. It was discovered that
some of the JPY did not exist and some had been applied by other companies. Also the Deed's signature by one Hiroyuki Sogabe was
forged. This is the cause of Jitesh's war with the BoT management and his fellow Asian businessmen. Jitesh who is close to the
Finance Minister, Zakia Meghji, has caused a lot of damage to Tanzania. He has tarnished the name of our country through almost all
media houses such as Times and Africa Confidential and all local newspapers using some corrupt local and foreign senior reporters
and editors who frequent his offices at Golden Tulip Hotels.

The same Jitesh Ladwa started attacking our fellow Asians, including Jeethu Patel because Jeethu had turned down his request for
money. Instead, he compromised with Tanzania's KING maker, Rostam Aziz who gave some of his cut to Jitesh and that's why
although Rostam received the EPA funds he's not mentioned anywhere in Jitesh's emails. In fact, in Tanzania we have two
governments, one under Jakaya Kikwete and the other under Rostam Aziz. Rostam Azizi's government seems to be more powerful
than Kikwete's because his government (comprising of corrupt businessmen) has the money which is badly needed by CCM.
What we see here is that Jitesh is trying to scandalize the government and the BoT because he is highly indebted by many financial
institutions ie: IFC-----($6 million), EuroAfrican Bank (Tsh 1 billion) and Barclays Bank ($2 million). All the hotels, Golden Tulip
and Karibu Hotels are mortgaged. Surprisingly enough, Jitesh is using his friend Hosea to threaten the banks.

Tanzanians must watch out;
*
The secret agenda why Asians are fighting for political posts is to get information from the government and how they can
influence such decisions.
*
Ordinary Tanzanian may ask why in the EPA there was NO black Tanzanian
*
The next move is to make sure the year 2010, some Asian heavy weights entering the parliament i.e Yusuph Manji. Their
number and of course their financial muscle, would make them powerful in the House, and eventually have the first Asian
Speaker of the National Assembly.
*
What's needed is to make sure the government is deliberately empowering black Tanzanians otherwise poverty would
continue haunting them and we will continue seeing the Sabodo's enjoying the money they swindled.
*
The so called BoT scam was carefully created in order to fool the public, but in fact this was an Asian business conflict
affair.
*
Let the government form a probe committee to investigate the accumulated wealth of Mr Hosea, it would be discovered
that he is "the most corrupt Tanzanian." Some of us are not in Canada because we love this country, but ran away from
Hosea's threats.

One would ask, why all National Housing Corporation (NHC) joint projects go to Asians OR Why all concessions in the
Serengeti go to Indians and Arabs? Did the Corruption boss, Hosea, took trouble to investigate?

And now the big scam:

The mother of all scams is in the making. This is the decision by the Tanzanian government to privatize half of the Serengeti
National Park in what they call Concession for 99 years. The plan under the cover of the Tanzania National Parks Authority
(TANAPA) includes all players in the major scandals in Tanzania. At the centre of the project, "The Serengeti National Park
Privatisation Project," is Mr Paul Jones who has been commissioned to conduct a 'study'. We are informed that TANAPA is
footing all travel, food and accommodation expenses for Mr Jones. Under the project, we have learnt that the US millionaire Mr
Tudor James would construct a Presidential Lodge in the Serengeti. What a shame?

Hosea knows all this; and that corruption is involved in the whole deal, but he has not taken or initiated any investigation against
TANAPA's management and its Directors because the engineers of this project had promised him a big cut once the project is
endorsed.

In simple language, Tudor James owns TANAPA. Through lobbying by TANAPA's Board of Directors, while in New York
recently, Kikwete met the Serengeti 'investor," Tudor James. With this friendship, (Tudor and Kikwete) it's now evident that
Serengeti will be SOLD to an American tycoon!

http://www.youngafrican.com/yaforum/topic.asp?TOPIC_ID=13641&#203384
 
Kuhusu Hosea kujiuzulu taarifa hizi bado sio rasmi hadi sasa ni fununu tuu.

Hosea bado yupo ofisini hadi wakati huu na anaendelea na kazi zake .

Kuhusu mwanasheria mkuu wa serikali kujiuzulu ,hilo nalo bado na pia hapa ikumbukwe kuwa kuna tekinikalities kwanim kwa mujibu wa kanuni na sheria huyu anapaswa kuliomba bunge kumchagua PM hivyo labda ajiuzulu baada ya PM mpya .

Pia kwa mujibu wa kanuni za bunge ni kuwa haliwezi kuendelea kama hakuna mwanasheria mkuu wa serikali ,hivyo ukiziangalia hizi inaonyesha kabisa kuwa huyu anaweza kujiuzulu baada ya bunge hili kumaliza kikao chake wiki ijayo.

Tetesi za PM huku ni kuwa ni Membe.......
 
Angalieni KLH News itakavyobreak hizi habari za Waziri Mkuu mpya.. we will bring the news first, beating even the BBC or CNN. Watch this out friend we are setting the standard!!
 
Huyu Jambazi Hosea bora aondoke tu na inabidi afikishwe mahakamani na majambazi wenzie kwa kuliongopea bunge na wananchi wa Tanzania. Eti alifanya Research ya PhD yake kuhusu rushwa ya Tanzania, pumbavu kabisa.
 
Angalieni KLH News itakavyobreak hizi habari za Waziri Mkuu mpya.. we will bring the news first, beating even the BBC or CNN. Watch this out friend we are setting the standard!!

Leta mambo Mkjj.....

Saliva will break his neck to have this calibre......
 
Mtanzania,

Mwanakijiji anaitangaza HKL News hapa JF- well huwa tunaenda pia kule sema JF wengi ndo tulipopazoea zaidi!

Ingewezekana kuunganisha nguvu pamoja isije kuwa kama kuna competition!
 
Na bado RICHMOND lazima itafune wote waliogusa kwa namna moja au nyingine-- iwe ufunguo wa maisha bora kwa watanzania ila sio kila mtanzania.
 
Back
Top Bottom