Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.

Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji

Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Haki itatendeka
 
Weka ushahidi ulioshiba we kahaba.
 
Wanahabari Mawakili wetu wasomi kwa pamoja na chama cha wanahabari wafungue kesi juu ya PAUL MAKONDA KWA KUVAMIA STUDIO ZA CLOUDS FM NA SILAHA ZA MOTO NA WENZAKE NA KUPORA VITENDEA KAZI vya wanabari hao shtaka lipo wazi mashahidi zikiwemo CCTV camera zipo hakuna kuwaweka kiporo mpaka wajue madaraka ni DHAMANI

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Baada ya hyo show ya kuvamia nakumbuka jamaaa alijutiaaa sanaa alikimbilia S.A kwa cku kadhaa....
 
Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.

Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji

Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Makonda ni joka la mdimu.
 
Kuliko kuanza matusi ungeniambia tu kistaarabu. Lkn pia ungeniambia neno mitigation kwa kiswahili.
Hakuna haja ya mihemuko na kuchuma dhambi na kuharibu reputation yako kwa mijitusi.
Mwisho diffence ndio kitu gani?
Ustaarabu una reflect makuzi na aina ya wazazi.
Watoto wa Malaya hupenda sana matusi na kubeza.
Ningekufundisha kistaarabu usingeelewa ndio maana nimetumia maneno makali ili uwe na hasira ya kuelewa tofauti ya utetezi wa kawaida na mitigation ambayo ni nafasi unayopewa na mahakama baada ya kutiwa hatiani na huwa haibadilishi kutiwa hatiani bali inaweza kushawishi kidogo huruma ya mahakama kugunguza hukumu (kama kosa uliloshtakiwa nalo lina option za hukumu) maana umeongea kitu ambacho hakikuwa sehemu ya kesi lakini kinaishawishi mahakama kukuonea huruma, kama hali ugonjwa wako au wategemezi wako, idadi ya wategemezi uliyonayo, majukumu uliyonayo n.k hilo ni suala la kawaida kabisa na ndio lilivyo.

Hiyo ni haki muhimu sana kwa mtuhumiwa na muamuzi yoyote anatakiwa ampe mshtakiwa na pale mshitakiwa anashindwa kufanya hivyo ama kwa kupagawa na kutiwa hatiani, au kutokujua nini cha kuongea hakimu anatakiwa amuongoze hata kwa leading questions na hiyo ndio huitwa allocutus
 
Kweli Tanzania ni nchi ya amani!!Yaani kwa maumivu yale ya teka teka watu!Bado Makonda hajapigwa wala kujeruhiwa na kina MO,ROMA MKATOLIKI,WAHANGA WA KUTAJWA KWENYE MADAWA YA KULEVYA!!NA N.K???MI NILIDHANI HADI SASA MAKONDA ANGEKUA KABURINI!!!!
Hili swali nami huwa najiuliza sana. Hadi nahis jamaa hana wahanga wa kweli. Ifike mahali watu waache kutegemea watu kupata na kutoa haki. Wahanga wa makonda kama ni kweli bas wamemnyima haki makonda bila sababu za msingi. I LIKE MEXICO!
 
Ningekufundisha kistaarabu usingeelewa ndio maana nimetumia maneno makali ili uwe na hasira ya kuelewa tofauti ya utetezi wa kawaida na mitigation ambayo ni nafasi unayopewa na mahakama baada ya kutiwa hatiani na huwa haibadilishi kutiwa hatiani bali inaweza kushawishi kidogo huruma ya mahakama kugunguza hukumu (kama kosa uliloshtakiwa nalo lina option za hukumu) maana umeongea kitu ambacho hakikuwa sehemu ya kesi lakini kinaishawishi mahakama kukuonea huruma, kama hali ugonjwa wako au wategemezi wako, idadi ya wategemezi uliyonayo, majukumu uliyonayo n.k hilo ni suala la kawaida kabisa na ndio lilivyo.

Hiyo ni haki muhimu sana kwa mtuhumiwa na muamuzi yoyote anatakiwa ampe mshtakiwa na pale mshitakiwa anashindwa kufanya hivyo ama kwa kupagawa na kutiwa hatiani, au kutokujua nini cha kuongea hakimu anatakiwa amuongoze hata kwa leading questions na hiyo ndio huitwa allocutus
Now you are talking.
Ustaarabu Ni kitu Cha bure ninachoweza kupandisha kiuchumi, kijamii, kisiasa, nk
 
Makonda mchawi Sana... halaf anajifanya mchungaji. Yani mikono yake yote imejaa damu na dhulma halaf anajifanya mtu wa Mungu
 
Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.

Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji

Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Dooh!
Kuna ushahidi wa kukidhi mahakamani?
 
Unaushahidi ukiitwa mahakamani utatoa au chuki zako tu binafs
 
Wanahabari Mawakili wetu wasomi kwa pamoja na chama cha wanahabari wafungue kesi juu ya PAUL MAKONDA KWA KUVAMIA STUDIO ZA CLOUDS FM NA SILAHA ZA MOTO NA WENZAKE NA KUPORA VITENDEA KAZI vya wanabari hao shtaka lipo wazi mashahidi zikiwemo CCTV camera zipo hakuna kuwaweka kiporo mpaka wajue madaraka ni DHAMANI

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Yani nyie watu ni wapuiz Sana clauds wenyewe wako kimya nyie kina Nani?
 
Back
Top Bottom