Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Haaaaassssss Jaribu kufanya vitu vingine vyenye msaada kwa maisha yako. Au tafuta sababu za kweli na sio hisia zikuongoze. Mnajaza server ya JF bila sababu.
Utakuwa ni wewe pekee usiyejuwa ukweli wa kundi la WASIOJULIKANA kuwa likikuwa chini ya Makonda. Labda unaweza kuwa ulikuwa hujitambui, nakusamehe
 
Wanahabari Mawakili wetu wasomi kwa pamoja na chama cha wanahabari wafungue kesi juu ya PAUL MAKONDA KWA KUVAMIA STUDIO ZA CLOUDS FM NA SILAHA ZA MOTO NA WENZAKE NA KUPORA VITENDEA KAZI vya wanabari hao shtaka lipo wazi mashahidi zikiwemo CCTV camera zipo hakuna kuwaweka kiporo mpaka wajue madaraka ni DHAMANI

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
IMG-20211115-WA0003.jpg
 
Wakuu Kwema!

Kuomba msamaha ni ushujaa, msamaha ni neno la kijeshi katika mapambano.
Unapomkosea mtu akawa na uchungu na wewe basi jua kuwa ipo siku yako, Kama sio wewe basi moja ya kizazi chako.

Upepo unavuma, wenye macho haya tuliyaona miaka mitatu minne iliyopita, tuliandika na kuonya hasa Wale waliojitia Wana nguvu ambazo kimsingi hawana,
Nilishawahi kuandika na Leo narudia, ukipewa Cheo chochote iwe ni Urais,Uwaziri, u-IGP au Cheo chochote kile usije ukadhani wewe ni Mkubwa, huna ukubwa wowote, huna lolote,
Siku zote mkubwa ni yule atendaye haki, apendaye maagizo ya Mungu, mwenye upendo, asiye na fitna na hila, asiyeua wala kumwaga damu za watu wasio na hatia.

Vile unavyotumia nguvu kuonea watu, na kuwatesa watu hasa wasio na hatia ndivyo hivyo hivyo Mungu atatumia nguvu kukuonea na kukutesa.
Vile watoto wa watu ulivyowaua na kuwaangamiza wanavyoteseka, ndivyo hivyo hivyo watoto wako na kizazi chako kitakavyo Tessa na MUNGU.

Kila siku nasema Mungu ni mwaminifu, ana Haki. Huwezi Tesa watu alafu ati uishi Kwa Raha, haijawahi tokea na kamwe haitatokea. Ni suala la muda tuu.

Mungu hajakupa Cheo ili utese watu, Ili uwadhulumu watu, ili uwavuruge watu wake.


Kaka yangu, Kama utanisikia naomba uzingatia haya, tafuta uliowakosea Kama wapo, uwaombe Radhi, Watafute Kwa muda wako,
Usiende kuomba Mungu msamaha, huko unaenda kupoteza muda wako, Mungu haombwagi Msamaha,

Upepo unavuma, bendera uelekeo unaenda mashariki.

Kaka yangu ni Bora Mungu akulipe wewe kwani wewe ndiye uliyekosea kuliko kukuacha wewe na kuhamishia kipigo kwenye kizazi chako.

Baba alichelewa kujihami, alikurupuka kukiwa kumekucha, akakesha akiomba, akataja majina matamu ya Mungu Mkuu lakini hiyo haikumsaidia. Na nadiriki kusema, watoto walioachwa na Baba, mke na wajukuu wanapaswa waombe toba ya kweli kwani vita ya Mungu haimalizwi na kaburi. Vita ya Mungu haimalizwi na mauti, vita vya kibinadamu ndio halimalizwa na kifo.

Kaka yangu.
Bado hujachelewa. Tafuta uliowakosea uwaombe Radhi kuanzia mwakani 2022 mpaka 2025 utakuwa katika vita mbaya na Mungu Mkuu.

Nimekuambia mapema ili ujihami Kwa kuomba Msamaha Kwa uliowakosea ili Mungu aghairi.
Vinginevyo Mungu atakuwa mwaminifu kwako Kwa 100% kukutesa Kama ulivyofanya.

Mimi mdogo wako;

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Morogoro


Kaka yangu Kaka Yang
 
Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.

Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji

Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Said Kubenea kaamua kutoka na namba 5.Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
 
Hayo makosa BaShite yanatosha kumfunga maisha,lakini wakusanye ushahidi uliojitosheleza na aseme aliyekuwa anamtuma.
 
Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.

Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji

Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Makonda anaishi kwenye space na hao aliowadhulumu ambao ni watu wenye akili timamu na wanaochukizwa na maovu aliyofanya ni suala la muda tu kila mtu atatafuta haki yake.
 
Hayo makosa BaShite yanatosha kumfunga maisha,lakini wakusanye ushahidi uliojitosheleza na aseme aliyekuwa anamtuma.
Kama singa singa na magaidi wa kizanzibar wameachiwa basi ujue hakuna kosa kubwa tz maana hata sabaya angeua watu 1000 awezi kufikia uchafu wa singasinga
 
Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.

Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji

Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Makonda anajua siri zote za nchi ataenda kuzitapika maana alikuwa anarecord yote walikuwa wanaongea na mzee
 
Makonda ndiye mhalifu pekee aliyetajwa na Serikali ya US kuwa alikuwa akiwanyima watu haki ya kuishi.

Nakubaliana na mleta mada, ukilinganisha uovu wa Makonda na Sabaya, Sabaya ataonekana ni malaika.

Haki itendeke. Sabaya ni jambazi la kutumia silaha, Makonda aliwanyima watu haki ya kuishi (aliondoa uhai wa watu)
Bado Happi, Mrisho Gambo, Mnyeti na Jerry Muro
 
Unaamini Sabaya na Makonda hakuna mema waliyoytenda so hawastahili kukumbukwa? Au mtu ukimchukia wewe basi wote tunapaswa kumchukia?
Acha uhuni!
Hakuna mema wamefanya hawa kenge wawili. Ni uuaji, kujeruhi, kupora Mali na kwa Sabaya kubaka. La kubaka halimhusu Makonda maana yeye hana uwezo wa kiume
 
Back
Top Bottom