Naamini wapo ila tatizo ni waandishi wenye maswali ya sampuli ile na Media za kurusha vipindi vya kivile!. Media za siku hizi ni mwendo wa kusifu, sifa na mapambio.
P
Nilimuuliza unasemekana wewe ni tajiri, akasema " Sisi hapa Tanzania hakuna tajiri kwa maana halisi ya matajiri, sisi sote ni masikini tu bali tumepishana viwango vya umasikini, mtu akiwa na tunyumba tuwili tutatu na tugari tuwili tutatu, na tuhela ya kubadili mboga kwa Tanzania anaonekana tajiri.Yes.
Iddi Simba was a good speaker.
Always enjoyed listening to him.
Je huyu ni mume wa Sofia Simba?
3. Pride Tz ilikuwa awali ya serikali. Ilivyoangukia mikono yake sijajua. Miaka ya hivi karibuni pesa ya mtaji wanajua ilipoenda billions. Nahisi serikali ilianza kufuatiilia mifuko ya kuwezesha wananchi. Wenye smartness kichwani wakaona mhhhhhh bora ifilisike. Wala pesa wanazo mbinu sana.Kila roho itaonja mauti.
Ila nimekumbuka yafuatayo:
1. Uganda Wakati wa Utawala wa Idd Amin
2. Mikataba ya UDA
3. N.K
Hahaha. Watu mna historia hatari. Huyu kuna wakati alionekana si raia bali mvamizi. Hili sakata lilikuwa balaa sana. Hapo ndiyo alianza kukaa kimya hakusikika tena kwa sauti bali kichinichini akifanya yake.Simba akiwa waziri wa biashara na viwanda ndie aliua NASACO
Rip Mzee Idd. NASACO hawatakusahau, ila sasa kuna TASAC