TANZIA Aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika serikali ya awamu ya tatu, Iddi Mohamed Simba afariki dunia

Kuna jamii ya reptiles na baadhi ya samaki wakiwemo kambale, wakati wa ukame wanageuka breathpetarian, living kwa kuvuta tuu hewa na miili yao inasimamisha all metabolism to up to 36 months, mvua zikirudi ndio wanakuja tena kuendelea na maisha ya kawaida, hii inaitwa adaptations

hebu nitajie mnyama mmoja ambae mvua zikikata anasimamisha metabolism miaka mitatu!
 
hebu nitajie mnyama mmoja ambae mvua zikikata anasimamisha metabolism miaka mitatu!
Mamba anaishi up to miaka 3 bila chakula.

Samaki kambale maji yakikauka anajichimbia kwenye tope na kuacha mdomo wazi kupata hewa, anakaa hadi miaka 4 hadi lile tope linakuwa kama jiwe na yeye anakuwa kama amekufa!, mvua zikija tope linalainika, anaibuka matopeni. Na funga kazi ni vile vimjusi fulani viko kama nyoka ila viji miguu vidogo vinaishi kwenye pembezoni vya mito vinaitwa proteus anguinus, kufuatia mito kuhama njia na kukauka, hivi vimijusi vinapiga hadi 10years, vyenyewe habivuti hata hewa, vinajichimbia ardhini na kujigeiza inactive hadi mto urudi kwenye njia hiyo na it can take up to ten years!.

NB: Hizi research zimefanywa na Wazungu na kuonyeshwa kupitia Channel ya The National Geographic TV, lakini sisi Waafrica tungeweza kufanya research zetu na viumbe kama kunguni, au hata wanga, kuna vibibi more than 100 years, haviwezi kufanya chochote wala kupika, lakini vipo vina survive, vinakula nini?, no one knows lakini vipo very old, huko vijijini na usually nyumba zao kunakuwa na paka wengi kama yule bibi paka wa Magomeni Makanya.
P
 
Naamini wapo ila tatizo ni waandishi wenye maswali ya sampuli ile na Media za kurusha vipindi vya kivile!. Media za siku hizi ni mwendo wa kusifu, sifa na mapambio.
P
Kuna upungufu mkubwa sana wa waandishi wa habari na media nguli Tanzania kwa sasa. Yawezekana tuko katika kipindi cha mpito kuna mbegu zimepandwa zitachipua. Ila ni vizuri mkazilea vizuri nyinyi mlio katika kipindi cha mpito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom