Jamani wana jf naomba niwaambie kwamba sijawahi kumwona mwanamke aliye mrembo halafu mfupi,kwani hata wale wanaoshiriki mashindano ya mamisi wanawake wafupi sijawahi kuwaona,aliyewahi kumwona mwanamke mfupi halafu mrembo ajitokeze anipe ushuhuda,
Umekula mchana ?!

Hata yule mcheza shoo wa pepe kalle ni mrembo pia.
Short chasis mpango mzima!!! Sijawahi ona gari ya mashindano semi trailer
teh teh teh sina mpango wa kuchangia mimi hizi mada za kingese mkuu! watoto bhana