WCW: Thamani na Nguvu ya Mwanamke

WCW: Thamani na Nguvu ya Mwanamke

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
10,199
Reaction score
20,351
It's another WCW (Women Crush Wednesday)

Tukiachana na chuki na matatizo ya wanawake katika jamii.. Mimi huwa na kuwa empathetic sana kwa hawa viumbe katika angle moja.

Hawa viumbe wako fragile sana, sijui huwa tuna battle nao kwa manufaa yapi sisi wanaume. Mwanamke kapewa jukumu gumu sana biologically nalo ni ku conceive na kuzaa.. Do you know how tough that is?

Hivi hebu wanaume tu jiulize how hard and terrible that situation is? Yaani hebu tu jiulize the uncertainty ambayo anakuwa nayo... Yaani anapelekewa moto, anashika ujauzito then abebe out of this world creature kikue ndani yake, do you know how challenging that is..?
a3fd3a3797cd368abb8c169e88345d1b.jpg


Na bado hapo hapo avumilie stress zako, akupikie, akubembeleze unapo kuwa na issue zako, a hakikishe mazingira ya home ni masafi?... Na ujauzito ukikaribia kutoka bado avumilie muksheri za mtoto aliyemo ndani kwa mateke? Hivi sis wanaume huwa tunawaonaje hawa viumbe? Na kuhakikishia wanyama wametuzidi... Sijawahi kuona jike linapigana na dume... Labda kama kadume ni kadogo hapo lazima kafukuzwe.

Ila honestly turudi kwenye mada... Wanaume hawa viumbe sawa huwa wanaweza kuwa toxic sana, ila they're so weak, soo fragile.. Tukianza kuwaona katika hiyo angle labda tutaacha kukwaruzana nao, and you know what happens? Mmoja akiacha kujibu mwingine ugomvi huisha automatically..

Dunia ya leo ime mdemonize mwanamke na yeye kakubali kwa maana kuna competition.. Ila ubaya Wanaoumia ni wao wanawake.. They lose their feminine qualities, wanakosa huduma kimaisha na kihisia.
0187765cd89c2032fe54330dc444bb0e.jpg

These people need to be reminded they matter, wanawake wasio na ego huenjoy sana maisha kwa sababu they become submissive kwa wenza wao... Na hapo ndo hupewa Matunzo kwao na kizazi waletacho duniani..

Imagine for a second, ingekuaje leo kama kizazi kilicho tuluea wangekua egocentric na wa binafsi kama cha leo?

Jamani, wanaume let's stop fighting with women, it's detrimental not just to them, but kizazi wakiletacho duniani. Wao ndo wana autonomy kubwa sana maana ile bond ya mama kwa mtoto ni kubwa zaidi.


Kwa wengine it's taken a loss tujue how important these people are.. If your mom is still available haijalishi ni mtu wa aina gani, the fact that she raised you. Kamfanye ajue how important she is.
a68f580dbf00999e3d75e6687fcab080.jpg


Men are what their mothers made them to be ~ Ralph Waldo Emerson

In peace and light

De Gunner.
 
Back
Top Bottom