Aliyesoma uchumi hata kwa ngazi ya Astashahada atakubaliana na Mimi kuwa Magufuli aliua uchumi wa Tanzania

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,169
Reaction score
48,681
Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa.

Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana.

Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%.

Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea uimara wa sekta binafsi. Kipindi cha Magufuli a.k.a kipindi cha viwanda hewa sekta binafsi zilipigwa pini kila kona.

Wazabuni wa mashirika ya umma kila walipodai pesa zao za zabuni waliambiwa tunahakiki malipo.
Kampuni zilifungwa sana, benki nazo ziliminywa vibaya mno.

Ujenzi wa makazi ya watu binafsi ulisimama kwasababu ya hali ngumu, biashara za kati na ndogo hazikuzuka mpya.

Wachuuzi almaarufu wamachinga ndio waliongezeka .

Wakati wa Magufuli ndipo biashara ya uchawa na kununua wanasiasa ndipo ilisitawi .

Haya wachawi nasubiri matusi yenu.

Wakati wa Magufuli hatukujua kuwa tupo kwenye ujamaa au ubepari, mambo yalikuwa shaghalabaghala na watu wakampigia makofi.
Kweli Afrika kazi tunayo
 
Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa.
Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana. Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%.
Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea uimara wa sekta binafsi. Kipindi cha Magufuli a.k.a kipindi cha viwanda hewa sekta binafsi zilipigwa pini kila kona. Wazabuni wa mashirika ya umma kila walipodai pesa zao za zabuni waliambiwa tunahakiki malipo.
Kampuni zilifungwa sana, benki nazo ziliminywa vibaya mno.
Ujenzi wa makazi ya watu binafsi ulisimama kwasababu ya hali ngumu, biashara za kati na ndogo hazikuzuka mpya.
Wachuuzi almaarufu wamachinga ndio waliongezeka .
Wakati wa Magufuli ndipo biashara ya uchawa na kununua wanasiasa ndipo ilisitawi .
Hili ni kweli kabisa
 
Sawa. Tumekuelewa. Hongera sana!
 
Kuna jamaa alisema.....nanukuuu ..Watu wa upinde wamekua wengi sana na wamekua na uhuru sana hata kwenye mambo ya kiume wanaleta umama..Naanza kuamini sasa .Hivi ukiwa na umeme wa bei chee na wa uhakika unaua uchumi????
 
Kwanini unatangulia kuwaita watu wasiokubaliana na hoja zako kuwa wana mtindio wa ubongo......???

Hili ni jukwaa huru na watu wenye akili timamu wanabishana kwa hoja na majadiliano yenye tija na yenye kujenga.......

Kuwaita watu wasiokubaliana na andiko kuwa wana mtindio wa ubongo kunakuonyesha jinsi gani wewe ndio mwenye mtindio wa ubongo na unahitaji tiba ya haraka......

Unaweza kuwa na hoja yenye mashiko lakini ubongo wako bado haujakomaa kuleta mjadala na kukabiliana na hoja kinzani
 
Kuna watu wao ni unchangeable, tayari Magufuli walishamuona shujaa wao. Hawa watu ambao fikra zao hazitaki kubadilika ndio wana mtindio wa ubongo
 
Back
Top Bottom