Aliyeshinda huu uraibu anijuze...

Aliyeshinda huu uraibu anijuze...

I am writing my reply... Dawa ya moto ni moto ,,,sasa ili usolve hii case huko mkoan ulipo tafuta kimchepuko kingine kitoto 20-30 yrs kikukeep busy mda ote utamsahau huyo dada wa mke wako nawewe utakuwa free hata mke akigagundua hako kamchepuko sio mbaya

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
Write your reply...MBONA STORY YAKO HAIJAJITOSHELEZA TUPE UONDO TUJUE TUNAKUSHAURI VIPI

KWANZA ULIKUTANA NAE HUKO ULIPOENDA AU ULIMTUMIA NAULI ( HAPA TUTAJUA TUNA DEAL NA METHOD ZA COMMUNICATION)


ULIMTONGOZA AU ALIKUTONGOZA NA ANAKUPENDA ? AU NI UNAPIGA UNAMPA MSHIKO ( TUNADEAL NA INNER SELF)


JE SHEMEJI YAKO ANAJUTIA ANACHOFANYA AU NDO ANAIPENDA NDO YE ANALAZIMISHA MECHI ?(INDIVIDUAL SOLUTION)


EMBU JIBU HAYO TUJUE TUNAKUSHAURI VIPI
 
It happens one day alintembelea baada ya Mimi kwenda kumsaidia ucku aliuguliwa na watoto ghafla ucku..so I went to her house and took her to the hospital.. that night.

So after two weeks akawa amepita mtaani kwetu akaniuliza kma nipo anisalim coz since that day hatukuwa tumeonana kbsa

Alipofika nikafanya ukarimu wetu wa ki Africa wa mgeni unatumia kinywa gani.

Mgeni akaomba st Ane I served her na Mimi nikawa nakunywa alter wine.

Then tukawa tu tunapiga tu normal story until nilipomuuliza kuhusu distance relationship experience coz mi ndo ilikuwa mara ya Kwanza kukaa mbali na familia pamoja na mke wangu.
For the story nliyoskia mme wake alikuwa anafanyia kazi mkoa mwingine na huu tuliopo..so I wanted to hear the experience.

She told me her marriage ilivyosambaratika na kuwa na mgogoro mikubwa coz of distance. In the middle of the story she became so emotional and she bursted into tears aseee. kile kilio naona alikihafadhi mda mrefu kifuani kwenye..na hakikuta tena she kept crying...nilimbembeleza Sana asee it riched a stage where I went and hug her tukawa tumekaa kwa sofa amelaza kichwa chake kifuani kwangu..and she kept on crying..and I felt her.

I felt her pain I felt her argon I hugged tightly..we stayed that way for half until I kissed her to the fore head and she kissed my lips..and she told me it has been three years..hajamjua mwanaume..and the mistake started there..

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo hilo
 
Mimi nilishasema, mwanamke nitakayemuoa kwanza awe anaiweza shuhhuli kitandani ili angalau aninusuru na kuchepuka kipuuzi. Sioi kusifiwa sijui ana tabia njema, hawezi kutombener.

Inategemeana na wewe sasa kama shughuli pia unaiweza au ndio zile za kiblazameni
 
Ila wanawake ni viumbe wa ajabu sana,kweli unaweza kumfanyia mdogo wako hivyo. Hapo unawezakuta alichokitaka huyo mdada wawe sawa na mdogo wake,kwa sababu kama ni swala la nyege sidhani kama huyo mume wa mdogo wake ni mwanaume pekee huko aliko. Ushauri wangu kwako mkuu shida siyo wewe ni huyo mwanamke anatumia kila njia aisambaratishe ndoa yako. Na anaweza kuwa wa kwanza kumwambia mkeo mnayoyafanya, kuwa makini sana.
 
duh.....ktk vitu ambavyo sikuwahi kufiiria kabisa ni kumkula shemeji yangu haswaa...toka ntoke na my wife... ni upumbafu mbaya sana.......tatizo ni wewe mwenyewe.....yaani wewe ndie tatizo......ukidhamiaria kumuacha utaweza.....ila kumbuka.....huyo ndie atakuharibia ndoana yako....hii kitu ni mbaya sana....siku ukimkuta mwanao wa kiume anamkula mwanao wa kike usishangae broo.......these day shetani hana kazi kabisa.....yuko beach anaangalia vichupi na GANJA mkononi.....
 
duh.....ktk vitu ambavyo sikuwahi kufiiria kabisa ni kumkula shemeji yangu haswaa...toka ntoke na my wife... ni upumbafu mbaya sana.......tatizo ni wewe mwenyewe.....yaani wewe ndie tatizo......ukidhamiaria kumuacha utaweza.....ila kumbuka.....huyo ndie atakuharibia ndoana yako....hii kitu ni mbaya sana....siku ukimkuta mwanao wa kiume anamkula mwanao wa kike usishangae broo.......these day shetani hana kazi kabisa.....yuko beach anaangalia vichupi na GANJA mkononi.....
Watu wanakula mama mkwe unashangaa shemeji???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu natumaini mnaendelea poa na majukum. Niende moja kwa moja kwa kwa yale yanayonisibu.

Wakuu mi nimeoa takriban mwaka wa 7 sasa plus miaka ya uchumba na mahusiano it's almost miaka kumi nipo na ndoa yangu.

Sasa mwaka juzi nilihamia mkoani kwa uhamisho wa kikazi na kuhamia mkoa X . Huku nilikutana na balaa la kujikuta nimeingia kwenye dhambi ya uzinzi na dada was mke wangu, kutokana na mazingira yalikuwepo wakati huo.

Akili zimerudi I know what am doing is wrong ila ndio hivyo I keep falling back in that sin. Nimeomba, nimeungama na nimefunga for days
but the issue nitaresist for months lakini it will just happen a day nitashindwa kabsa then I will find myself am back on the bed.

It killing me inside, I hate it but it keep on coming.
Kama kuna mtu alishatumbukia kwenye hii mess na akatoka please share with me and I will be glad.


Sent using Jamii Forums mobile app
Barabara inakona mbili tu, kushoto au kuli, and so, your the master of your own destiny
 
Mr hebu andika Kibantu tu achana na hiki Kigalatia maana dah.
Nlitaka kusema.
Nkaona labda ntakuwa nna roho mbaya mtu yuko kwenye matatizo halafu naanza kumkosoa!
Nkasema labda anaona anajieleza kwa urahisi kwa ki malkia!
Basi nkapita dhaangu!
 
bond inayokaa kwenye vikojoleo bana wee isikie tu.
mimi kuna mke wa rafiki yangu toka nitoke,naona kabisa huyu lawama zipo nje nje.
lakini kila nikifikiria majuto baa a ya hapo,najikuta nimeghairi.

tatizo huwa linaanza hapa.unatamani,unafanya,ukijuta kwa masikitiko na kutubu kisha ukakinai ukaacha,na kila ukimuona mhusika unachukia na kujuta.hapo umepona.

kimbembe ni pale unafanya halafu unatubu lakini kawaida tu,na bado unawaka tamaa ukimuona,mzee hapo kitakachokuja kuwasambaratisha ni FUMANIZI.na kuumbuka juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema "mara nyingi ukijikuta unaangukia kwenye dhambi hasa ya uzinzi/ulevi basi wewe umejiweka mbali na dini" ukijikurubisha kwenye mambo ya kidini utakuwa mbali na uzinzi.

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
I agree with you
 
Kwani umeshindwa kuandika kwa Kiswahili tu?
Halafu huu utaratibu wa kuchanganya lugha(kiswahili na kiingereza) naona unashamiri sana umu jukwaani hasa kwenye thread za Wanawake
Sasa wew dume zima unachanganya lugha tukuelewaje? Afu kingereza chenyewe cha Ugoko. Shwainiiiiiii zako
Wewe hapo thread ndio nin!
 
Back
Top Bottom