Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,598
- 126,222
Kwa nini usimshirikishe huyo mzinzi mwenzio ili muunganishe nguvu ya kuacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Me naona mnaangaika na mtu alienogewa na papuchi ya shemeji ake...Acha kuendekeza libeneke, kwahiyo unataka kusema unampenda sana huyo dada mtu kuliko mkeo na upo tayar kuharibu ndoa na familia kwa ajili ya tamaa zako za kimwili😏
Nakushauri Kila ukikutana nae uwe unafikiria madhara yanayoweza kutokea na uchukue hatua.
We mwenyewe kiswahili chako cha ugoko. Afu ni kiswahili cha nchi ipi? Thread ni kiswahili cha wapi?Kwani umeshindwa kuandika kwa Kiswahili tu?
Halafu huu utaratibu wa kuchanganya lugha(kiswahili na kiingereza) naona unashamiri sana umu jukwaani hasa kwenye thread za Wanawake
Sasa wew dume zima unachanganya lugha tukuelewaje? Afu kingereza chenyewe cha Ugoko. Shwainiiiiiii zako
Namba 4 ndio silaha ya hali ya juu zaidi. Yqani unaweza kuangalia hata pua yake tu ukaifananisha na ya idd amin na ukajikuta unapoteza hisia juu yake.Unachokisema ndio ukweli mwenyewe.
Uzinzi ni kama sumaku yenye nguvu, ikikamata ujue umekwisha. Unaweza kufukurukuta lakini bado ukashindwa.
Kuna njia chache za kufanya na kwa uhakika utafanikiwa.
1. Endelea kuwa na dhamira ya kujutia na kuchukia hicho kilichotokea.
2. Jitahidi kuwa mbali kimazingira na huyo dada. Mfano kwepa mkoa aliopo huyo dada.
3. Tafuta sababu ya kumchukia huyo dada.
4. Jitahidi kuwa karibu na mke wako mara nyingi uwezapo.
5. Kata kabisa mawasiliano na huyo dada. Mfano, futa namba zake au mblock kabisa asikupate.
Tafuta mtumishi wa Mungu unayemuamini aweze kukusaidia tofauti na hapo ni ngumu kutoka baadhi ya dhambi zinakosa nguvu mpaka uungame kwa mtu mfano uzinziWakuu mi nimeoa takriban mwaka wa 7 sasa plus miaka ya uchumba na mahusiano it's almost miaka kumi nipo na ndoa yangu.
Sasa mwaka juzi nilihamia mkoani kwa uhamisho wa kikazi na kuhamia mkoa X . Huku nilikutana na balaa la kujikuta nimeingia kwenye dhambi ya uzinzi na dada was mke wangu, kutokana na mazingira yalikuwepo wakati huo.
Akili zimerudi I know what am doing is wrong ila ndio hivyo I keep falling back in that sin. Nimeomba, nimeungama na nimefunga for days
but the issue nitaresist for months lakini it will just happen a day nitashindwa kabsa then I will find myself am back on the bed.
It killing me inside, I hate it but it keep on coming.
Kama kuna mtu alishatumbukia kwenye hii mess na akatoka please share with me and I will be glad.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa mkuu acha tu..same womb lakini vitu tofauti kbsaaa..Me naona mnaangaika na mtu alienogewa na papuchi ya shemeji ake...
Yan kanogewa mpaka hajielewi...hahaha
Na hapa anaomba ushauri Ila hana maamuzi...
Mtoa mada kwani shemeji kuweka Nn umo ndani ya papuchi akupe ukaweke kwa mkeo