Aliyeshinda huu uraibu anijuze...

Aliyeshinda huu uraibu anijuze...

Wanasema "mara nyingi ukijikuta unaangukia kwenye dhambi hasa ya uzinzi/ulevi basi wewe umejiweka mbali na dini" ukijikurubisha kwenye mambo ya kidini utakuwa mbali na uzinzi.

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
si kweli wachungaji na mashekh kila leo wanafumaniwa na wapo karibu na dini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]uzungu umewaponza.

Nway kaeni chini na mkubaliane kwamba mnachofanya sio sawa na mkiache. Na kama yeye ndoa yake ilaharibika na akaumia sidhani kama atakuwa anataka kuharibu ndoa ya mdogo wake pia ili aumie, wanaume wapo wengi mwambie atafute mtu mwingine na si wewe shemeji yake.

NB: Kama ninyi ni waungwana mtaacha ila kama ni wazinzi endeleeni na mtakuja kuface the consequences sooner or later [emoji41]
Asante mkuu...nilishajitutumua kipindi cha nyuma...Hadi nikamtaftia mtu moja ya marafiki zangu.. lakini haikufanya kazi..
Huwa hatuwasiliani mara kwa mara...lakini nikukutana nae nashindwa kuishinda nafsi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaa nae mbali kabisa mkuu, utaharibu familia na kushusha heshima yake..mim bado nusu tu initokee kwa mdogo wake ila nimechomoka, ana kijungu flan cha shida ila Mungu ameniokoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Don't try this..hii kitu ni shida..unaanza kma utani..unakuja kustuka ushadumbukia parefu...inaumiza hii dhambi ni Kama madawa ya kulevya..unaumia ndani lakini umo tu..Leo unaapa ndio mwisho..siku isiyo na jina unarudia tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
si kweli wachungaji na mashekh kila leo wanafumaniwa na wapo karibu na dini.
Kuna wanao igiza imani na walio na imani ya kweli, hao wanaofanya hivyo ni wenye kuigiza, lakini wenye imani huwezi kuwakuta na hayo mambo abadan asilan.

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
Uzinzi unanguvu ya ajabu sana,nna 30 yrs Jana nilkuwa naomba game kwa mtoto wa Dada angu tunaeshare bibi ila babu tofauti shda n kwamba hiki ktoto knajiwekaga uchi uchi mbele yangu,kilinielewa kmeniahid leo tukutane mahar nile mzigo
 
Asante mkuu...nilishajitutumua kipindi cha nyuma...Hadi nikamtaftia mtu moja ya marafiki zangu.. lakini haikufanya kazi..
Huwa hatuwasiliani mara kwa mara...lakini nikukutana nae nashindwa kuishinda nafsi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuendekeza libeneke, kwahiyo unataka kusema unampenda sana huyo dada mtu kuliko mkeo na upo tayar kuharibu ndoa na familia kwa ajili ya tamaa zako za kimwili😏

Nakushauri Kila ukikutana nae uwe unafikiria madhara yanayoweza kutokea na uchukue hatua.
 
Utanilipa shilingi ngapi kwa ushauri?
 
Unachokifanya ni kibaya San ndgu,ni uchafu mkubwa.kwahyo tambua unalofanya umkosei zaidi mkeo wala ndugu za mkeo wala nani ako yoyte yule bali tambua hapo unayemkosea ni Mola wako aliyeharamisha zinaa ila haliyehalalisha ndoa.

Kuna ugumu sana ukishadumbukia ktk zinaa,na zinaa ni deni brother linalipwa so kikubwa nachopenda kukupa ni kwamba jaribu kwanza kutambua unalofanya linaonekana, lina rekodiwa.

Je, vipi kama umauti ukikukuta ukiwa ktk ilo tendo, utakuwa tayari kuondoka duniani ukiwa ndani ya hiyo zambi nzito.so njia ya kwanza ni kuwa na khofu na Allah(Mwenyezi Mungu) kwanza mana sie hatuna uhakika hata wa kumaliza dakika kumi zijazo kwahyo umauti ukishakuwa sana sana hata toba yako itakuwa yenye nguvu na hapo utakuwa na uwezo wa kushindana angalau na matamanio ya nafsi yako ambayo Mara nyingi uwa ya Shari sio ya kheri.hapo ibilisi kapakazia kweli kweli kiasi kwamba zinaa sasa hivi kuikwepa ni jambo zito,khofu mioyoni haipo kabsa.

So mmi nimegusia zaidi ktk imani yngu ya Islam japo ilo jina laweza kukushangaza, ila mmi ni muislam.

So toba ni wakati woote usiache kuomba msamaha kwa Mola wako hiyo itakusaidia kushindana na ibilisi na kuwa na khofu zaidi ya umauti.yawezekana ukaondoka ktk hali yoyote ile,na mbaya kuondoka ukiwa ndani ya uchafu.
Bila kuwa na khofu ya Mola wako ni mtihani kushindana na nafsi yako brother.

Sie wote ni wafanya zambi,ila mbora wa anayefanya zambi ni anayetubu.kwahyo mlango wa toba upo wazi mda wote endapo bado yuhai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza huyo Shem ako anachura?

Km ipo tuma details zake kwa baharia mwandamizi hapa.

Maana kinachowasumbua nyie ni genye. Huyo Shem akipata kipara safii cha kumkuna. Automatic atakuacha na utakuwa umeishinda vita kwa staili hiyo..
 
Ah mzee hongera umekula mtu na dada yake, safi sana mkuu. Wala usikose amani moyoni mwako wee endelea kula raha tuu wamewekwa hapa duniani tuwatumie kama maburudani
 
Back
Top Bottom