Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 30,010
It happens one day alintembelea baada ya Mimi kwenda kumsaidia ucku aliuguliwa na watoto ghafla ucku..so I went to her house and took her to the hospital.. that night.Kwani mlianzaje anzaje, alikutongoza au?
Asante mkuuKwani umeshindwa kuandika kwa Kiswahili tu?
Halafu huu utaratibu wa kuchanganya lugha(kiswahili na kiingereza) naona unashamiri sana umu jukwaani hasa kwenye thread za Wanawake
Sasa wew dume zima unachanganya lugha tukuelewaje? Afu kingereza chenyewe cha Ugoko. Shwainiiiiiii zako
It will be my last day on Earth.. though huwa mpka mda mwingine nataka kumwambia
Ukisoma hapo utagundua kuwa tayari umeshajiseti mwenyewe akilini mwako kurudia hicho kitendo. Hujaamua kuacha ndio maana unasema "lakini it will just happen...."......Lakini it will just happen a day nitashindwa kabsaaaa then I will find myself am back on the bed....
Hii kitu asijaribu kuthubutu.Mweleze mkeo litaisha automatic
I have tried this before...nlikata means of communication kwa miezi Kama minne ila ilitokea tukakutana kwenye sherehe za mwisho wa mwaka nikaishia kuharibu Mambo aseeJitahidi kukaa nae mbali,I mean to block all means of communication with her,wakati ukifanya hivyo tafuta demu mkali upunguze mawazo,
Fanya hivyo mkuu usije zaa nae itakuwa so
Sent using Jamii Forums mobile app
Mr hebu andika Kibantu tu achana na hiki Kigalatia maana dah.It happens one day alintembelea baada ya Mimi kwenda kumsaidia ucku aliuguliwa na watoto ghafla ucku..so I went to her house and took her to the hospital.. that night.
So after two weeks akawa amepita mtaani kwetu akaniuliza kma nipo anisalim coz since that day hatukuwa tumeonana kbsa
Alipofika nikafanya ukarimu wetu wa ki Africa wa mgeni unatumia kinywa gani..
Mgeni akaomba st Ane I served her na Mimi nikawa nakunywa alter wine..
Then tukawa tu tunapiga tu normal story until nilipomuuliza kuhusu distance relationship experience coz mi ndo ilikuwa mara ya Kwanza kukaa mbali na familia pamoja na mke wangu.
For the story nliyoskia mme wake alikuwa anafanyia kazi mkoa mwingine na huu tuliopo..so I wanted to hear the experience.
She told me her marriage ilivyosambaratika na kuwa na mgogoro mikubwa coz of distance... In the middle of the story she became so emotional and she bursted into tears aseee..kile kilio naona alikihafadhi mda mrefu kifuani kwenye..na hakikuta tena she kept crying...nilimbembeleza Sana asee it riched a stage where I went and hug her tukawa tumekaa kwa sofa amelaza kichwa chake kifuani kwangu..and she kept on crying..and I felt her.. I felt her pain I felt her argon I hugged tightly..we stayed that way for half until I kissed her to the fore head and she kissed my lips..and she told me it has been three years..hajamjua mwanaume..and the mistake started there..
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Sana mkuuUnachokisema ndio ukweli mwenyewe.
Uzinzi ni kama sumaku yenye nguvu, ikikamata ujue umekwisha. Unaweza kufukurukuta lakini bado ukashindwa.
Kuna njia chache za kufanya na kwa uhakika utafanikiwa.
1. Endelea kuwa na dhamira ya kujutia na kuchukia hicho kilichotokea.
2. Jitahidi kuwa mbali kimazingira na huyo dada. Mfano kwepa mkoa aliopo huyo dada.
3. Tafuta sababu ya kumchukia huyo dada.
4. Jitahidi kuwa karibu na mke wako mara nyingi uwezapo.
5. Kata kabisa mawasiliano na huyo dada. Mfano, futa namba zake au mblock kabisa asikupate.
😂😂😂uzungu umewaponza.It happens one day alintembelea baada ya Mimi kwenda kumsaidia ucku aliuguliwa na watoto ghafla ucku..so I went to her house and took her to the hospital.. that night.
So after two weeks akawa amepita mtaani kwetu akaniuliza kma nipo anisalim coz since that day hatukuwa tumeonana kbsa
Alipofika nikafanya ukarimu wetu wa ki Africa wa mgeni unatumia kinywa gani..
Mgeni akaomba st Ane I served her na Mimi nikawa nakunywa alter wine..
Then tukawa tu tunapiga tu normal story until nilipomuuliza kuhusu distance relationship experience coz mi ndo ilikuwa mara ya Kwanza kukaa mbali na familia pamoja na mke wangu.
For the story nliyoskia mme wake alikuwa anafanyia kazi mkoa mwingine na huu tuliopo..so I wanted to hear the experience.
She told me her marriage ilivyosambaratika na kuwa na mgogoro mikubwa coz of distance... In the middle of the story she became so emotional and she bursted into tears aseee..kile kilio naona alikihafadhi mda mrefu kifuani kwenye..na hakikuta tena she kept crying...nilimbembeleza Sana asee it riched a stage where I went and hug her tukawa tumekaa kwa sofa amelaza kichwa chake kifuani kwangu..and she kept on crying..and I felt her.. I felt her pain I felt her argon I hugged tightly..we stayed that way for half until I kissed her to the fore head and she kissed my lips..and she told me it has been three years..hajamjua mwanaume..and the mistake started there..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikudhani kama ningecheka namna hii siku ya leo, nimecheka halafu nikacheka halafu nikacheeeeka,It happens one day alintembelea baada ya Mimi kwenda kumsaidia ucku aliuguliwa na watoto ghafla ucku..so I went to her house and took her to the hospital.. that night.