kijazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania Hekaheka za boda boda daraja la kijazi

    Wazee mida ya jioni (Jana), nilikua napita kwa mguu pale kijazi interchange aise vurugu za bodaboda sio mchezo. Yaani waendeshaji na abiria ni kama wamenunua tiketi ya kifo! Hakuna rules yaani pikipiki kama mia Kila mtu anaenda upande wake taa zilivyoruhuaiwa! Huku watu wa miguu vivyo hivyo...
  2. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Huyu aliyefua na kuanika nguo, je hapa ni daraja la Kijazi Ubungo?

    uy
  3. Trubarg

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vibanda Holela Ubungo/Kijazi interchange

    Ni ajabu kuona zile juhudi zilizofanyika kusafisha jiji miaka ya nyuma zinapuuziwa kutokana na watendaji kutokufanya majukumu yako ipasavyo. Nachojiuliza hivi vibanda vinavyochipukia kama uyoga chini na pembezoni mwa daraja na Songas hamvioni. Au mnasubiria mpaka maduka yawe makubwa ndo mje...
  4. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Hii picha za Hayati Magufuli msibani kwa Kijazi ilizungumza mengi sana

    Jua lilikuwa limefichwa na mawingu mazito siku ile ya mazishi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. John Kijazi. Uwanja wa mazishi ulikuwa kimya, ukitawaliwa na sauti za ndege wachache waliokuwa wakiranda angani, kana kwamba nao walihisi huzuni ya siku hiyo. Viongozi na wananchi walikusanyika, wakivalia...
  5. Execute

    JamiiForums Tanzania Lile eneo chini ya Flyover ya Kijazi lililowekewa fensi waweke vibanda vya machinga

    Nimepita pale ubungo na kuona fursa kwa halmashauri. Chini ya flyover ya kijazi kuna eneo safi sana limewekewa fensi. Fanyeni kujenga daraja kama la manzese ili raia waweze kuingia pale ndani ya fensi kwa usalama na kununua bidhaa za machinga. Kwahivyo pale kwenye ile nafasi wekeni vibanda...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dkt. Agnes Kijazi astaafu Ukurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA)

    Unapoitaja Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA jina linalokujia kwa haraka ni DK Ages Kijazi Mtaalam wa tasnia ya utabiri wa Hali ya Hewa kwa miongo kadhaa sasa. Licha ya ubobevu wake wa masuala ya Hali ya Hewa, DK Kijazi ambaye pia ni Makamu wa tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani...
  7. Championship

    JamiiForums Tanzania Aibu, Ghana ilijenga Pokuase flyover kwa dola 94M wakati Tanzania imejenga daraja la Kijazi kwa dola 100M. Wote walitumia mikopo. Fananisha picha

    Hii hapa Pakuase flyover. Na hili hapa daraja la Kijazi Nadhani wote tunaweza kuelewa tatizo letu lilipo.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Ya Mtaa Tupieni Jicho Kundi kubwa la watoto wanaoishi Daraja La Kijazi

    Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Aliyeset taa za Ubungo kwa Mfugale kutokea Mwenge kwenda Kimara amechemka sana

    Hizi taa mwanzoni zilikuwa zinaruhusu sekunde angalau kuanzia sitini. Kwa sasa wameamua kuweka sekunde ishirini. Hii kwa kweli imerudisha foleni ya zamani. Sasa hivi foleni inaanzia njia ya kwenda UDSM. Huyu aliyeset hizi taa ana makusudi gani?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Amb. Kijazi Interchange, Mchina arudi kufanya usafi na ulinzi? Tz tumeshindwa?

    Kuna usemi wa Kijaluo kwamba "Solution to One Problem Carries the Seeds for the Next Problem" yaani "ufumbuzi wa tatizo moja hubeba mbegu za kuotesha tatizo jingine, tafsiri isiyo rasmi" Daraja-kavu la Amb. Kijazi Interchange katika Manispaa ya Ubungo jiji Dar es Salaam ambalo mwanzoni...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mfugale fly over, Daraja la juu la Kijazi, Magufuli Bus Terminal, Soko la Chifu Kingalu na Soko la Ndugai miradi iliyotukuka

    Ni miradi iliyofunguliwa na hayati Magufuli. Ni miradi yenye kumbukumbu nzuri katika kurahisisha shughuli za jamii kwa maeneo husika. Ni miradi itakayokumbukwa kwa muda mrefu. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  12. Nduka Original

    JamiiForums Tanzania Dkt. Allan Kijazi, Katibu Mkuu Maliasili na Utalii na DG TANAPA - Confusion

    Dkt. Allan Kijazi ni Director General wa Tanzania National Parks na wakati huo huo ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na utalii. Kabla ya hapo alikuwa Naibu Katibu Mkuu na Mh. Samia Suluhu akam-promote kuwa Katibu Mkuu akichukua nafasi ya Aloyce Nzuki. Kwanza mimi nampongeza kwa uteuzi ila...
  13. Informer

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

    Rais Magufuli ametangaza kwa masikitiko kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John William Kijazi ambaye amefariki leo Februari 17 saa tatu usiku, Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma akipatiwa matibabu. Balozi John Kijazi enzi za uhai wake WASIFU WA BALOZI JOHN KIJAZI > Wasifu wa Katibu...
Back
Top Bottom