Sharbel
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,076
- 2,242
Good evening wakurungwa.
Ni muda sasa umepita tokea mzozo wa kataa ndoa, nadhani wale wanaokubaliana na ndoa hawakuwa na hoja zaidi ni hisia tu.
Nikikumbuka moja ya hoja yao kuu ni kwamba wanaoa ili uzeeni watunzwe na wake zao yaani wapikiwe, wafuliwe, waogeshwe n.k
Lakini tuliwapinga sana juu ya hoja hiyo lakini bila kupoteza muda ngoja niende kwenye ushuhuda wangu moja kwa moja.
Leo nikiwa hospital X nimeshuhudia Mume kamsindikiza Mke wake hospitali, kiufupi Mke hajiwezi hata kidogo, kachoka mbaya yuko hoi.
Hivyo Mume kachukua majukumu ya kumlea mke wake, na ugonjwa wa yule mwanamke ni wa kudumu.
Mwisho, kusudi la kuandika uzi sio kushangaa Mme kuuguza Ke, bali kutoa ushuhuda wa wale kubali ndoa kuwa hoja yao ni dhaifu sana, na hivyo hakuna guarantee ya kusema kwamba uzeeni, mume atapata shida.