Aliyesababisha Tido Mhando aondolewe TBC akamatwe na kuhojiwa

Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno .

Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa , si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
Aibu kubwa kwa Ayoub Rioba
 
Tatizo siyo To-do kuondolewa Bali Ni nanni amfunge paka kengele
1607054580300.jpg
 
Nakumbuka Mchakato majimboni 2010
Leo Azam bila elf 20 huoni soka na bado wananchi wanalipa , TBC bure kabisa lakini wananchi hawataki kuitazama ! Azam inaheshimika na ina network dunia nzima , inaweza kufanya kazi na shirika lolote duniani , lakini hakuna anayeijua TBC hata hapo Zanzibar tu !
 
Niliona jana wakati wa kusaini mkataba huko chato mdada yuko anatafuna bbg sijui hata nini kilinituma kuangalia hii tv
 
Back
Top Bottom