Aliyesababisha Tido Mhando aondolewe TBC akamatwe na kuhojiwa

Na muda mrefu sana siangaliagi hii chanel.
Tido ndio aliiwezea, Mshana na huyu wa sasa hakuna kitu.

Tujaribu kuwa wakweli wakati mwingine, Dk. Ryoba ameitendea haki TBC - jamaa ni mbunifu sana, wanao sema TBC ya leo haina mvuto hao wana lao jambo - enzi za Mshana TBC ilikuwa nyoronyoro kabisa mpaka wasikilizaji/tazamaji wa tukabaki tunajiuliza maswali Mengi - hivi huyu Tido alifanyiwa hujuma ili kumu-promote wa chini yake ambaye kusema kweli proved incompetent kabisa, aliteuliwa kisiasa tu lakini ubunifu alikuwa hana kabisa - wana siasa wengine ufikiri kuendesha vipindi vya TV vyenye tija ni lelemama - uteuzi wa Dk. Ryoba ndio ulifufua/nyanyuwa rating ya TBC to this day.

Ombi langu hizi adithi za "MAZUNGUMZO BAADA YA HABARI" kifutiliwe mbali kimekwisha pitwa na wakati, na wasikilizaji/watazamaji wengi wanakereka kuendelea kusikia vipindi vya mipasho vya enzi za Nyerere - siku hizi watanzania wengi wamekwisha elimika - walio kuwa na uwezo mkubwa wa kupangilia maneno na mvuto kwenye comments za mazungumzo baada ya habari walikuwa ni akina Paul Sozigwa na David Wakati, msemaji wa siku hizi uwezo/ubunifu huo hana kabisa analazimisha tu.
 
Tujaribu kuwa wakweli wakati mwingine, Dk. Ryoba ameitendea haki TBC - jamaa ni mbunifu sana, wanao sema TBC ya hivi sasa haina mvuto hao wana lao jambo - enzi za Mshana TBC ilikuwa nyoronyoro kabisa mpaka wasikilizaji/tazamaji wa tukabaki tunajiuliza maswali Mengi - hivi huyu Tido alifanyiwa hujuma ili kumu-promote wa chini yake ambaye kusema kweli proved incompetent kabisa aliyeuliwa kisiasa tu lakini ubunifu alikuwa hana kabisa - wana siasa wengine ufikiri kuendesha vipindi vya TV vyenye tija ni lelemama - uteuzi wa Dk. Ryoba ndio ulifufua/nyanyuwa rating ya TBC to this day.

Ombi langu hizi adithi za "MAZUNGUMZO BAADA YA HABARI" kifutiliwe mbali kimekwisha pitwa na wakati, na wasikilizaji/watazamaji wengi wanakereka kuendelea kusikia vipindi vya mipasho vya enzi za Nyerere - siku hizi watanzania wengi wamekwisha elimika - walio kuwa na uwezo mkubwa wa kupangilia maneno na mvuto walikuwa ni akina Paul Sozigwa na David Wakati, msemaji wa siku hizi uwezo/ubunifu huo hana kabisa analazimisha tu.
Ryoba amebuni nini wakati muongozo wa vipindi vya TBC unatoka ccm ?

Note : Wananchi wengi wameachana na TBC kutokana na upuuzi wa kuwa tawi la ccm , kuonyesha kila ujinga wanaotumwa kama Tunatekeleza huku wananchi wakiujua ukweli wote imedhalilisha sana TBC
 
CEO wa sasa ni Daktari ktk fani ya mambo hayo ya utangazaji nk.Ukiangalia station zoote za tv za serikali hazina tofauti na hii ya kwetu..KBC...UBC..NTV..nk..nk..
Daktari wa kwenye makaratasi na siyo kwa uwezo wa kuendesha media house... TBC imepitwa mpaka na Azam iliyoanza juzi?? Sitoshangaa nikisikia imepitwa na Wasafi TV kwa kuwa na waangaliaji wengi.
 
Sasa huyu mwenye PHD,ameishindwa kuifanya TBC kuwa bora,Kama vituo vya wenzetu,linganisha hii TBC na kituo Cha south Africa,SABC,hii ya kwetu hakuna chochote kinachoongelewa,imekuwa Kama kituo Cha propaganda Cha ccm,imekuwa Kama Russia today,ya urusi,
Kabisa mkuu....
 
Daktari wa kwenye makaratasi na siyo kwa uwezo wa kuendesha media house... TBC imepitwa mpaka na Azam iliyoanza juzi?? Sitoshangaa nikisikia imepitwa na Wasafi TV kwa kuwa na waangaliaji wengi.

Kila mtanzania mwenye akili timamu anajua kwamba chuki zenu dhidi ya TBC zinakuwa driven na chuki binafsi kwa kuwa TBC ni chombo cha Serikali hivyo hata kifanye vizuri vipi mtakiponda tu, just to get even na Serikali inayo ongozwa na JPM pamoja na Chama tawala - misimamo yenu yakijinga inasikitisha sana, chuki zenu za kisiasa zina tricle down mpaka kwenye major projects za Taifa,mfano: Project ya SGR, Ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme Nchini, Wachina kutandaza reli kutoka Mwanza mpaka Isaka - jaribu kufatilia comments zenu kwenye media hii, zimejaa kebehi,dharau mkimuomba Lucifer wenu Project zote zikwame - sijui hilo likitokea mtafahidika nini?? Binadamu gani hatakii mema Taifa lake, kisa kuendekeza uwedawazimu wa Partisan.
 
Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno.

Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa, si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
TbCcM
 
Kabisa, yaani Tido angekuwepo mpaka leo tungekuwa mbali sana TBC...
KWA kweli tbc inahitaji mkurugenzi mwenye exposure aliyefanya kazi kwenye mashirika makubwa na mzoefu wa habari za utangazaji
 
Deep state,haikumtaka Tido,Tido si mwanasiasa,ni mwanataaluma,sio Kama huyu ceo wa TBC wa sasa hv,huyu ni yesman,hana jipya,
Nchii haina Deep state.

Sasa hivi deep state nu JIWE ndio maana anatamba kuwa watu fulani hawawezi kuwa marais
 
Kila mtanzania mwenye akili timamu anajua kwamba chuki zenu dhidi ya TBC zinakuwa driven na chuki binafsi kwa kuwa TBC ni chombo cha Serikali hivyo hata kifanye vizuri vipi mtakiponda tu, just to get even na Serikali inayo ongozwa na JPM pamoja na Chama tawala - misimamo yenu yakijinga inasikitisha sana, chuki zenu za kisiasa zina tricle down mpaka kwenye major projects za Taifa,mfano: Project ya SGR, Ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme Nchini, Wachina kutandaza reli kutoka Mwanza mpaka Isaka - jaribu kufatilia comments zenu kwenye media hii, zimejaa kebehi,dharau mkimuomba Lucifer wenu Project zote zikwame - sijui hilo likitokea mtafahidika nini?? Binadamu gani hatakii mema Taifa lake, kisa kuendekeza uwedawazimu wa Partisan.
bila shaka unaumwa ugonjwa mbaya sana !
 
Back
Top Bottom