Aliyesababisha Tido Mhando aondolewe TBC akamatwe na kuhojiwa

Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno.

Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa, si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
Acha kujenelalizi wengi bado tunavutiwa na kuipenda TBC
 
Tunajua mleta mada una hasira zako dhidi ya TBC ila ukweli unabaki kwamba tbc ndio tv station ya kitaifa.
Kipi ambacho Tido mhando alikiacha kama legacy yake pale.
 
Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno.

Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa, si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
Kupoteza mvuto imejitakia yenyewe,ila huyo alionawasingewezana akaamua kusepa,hapo hakuna hata mchawi,ingekuwa hivyo huyo msababishi angekuwa na shitaka la uhujumu uchumi.
 
Huyu kafeli kabisa,angejitathmini aone kinachopaswa kufanyika.
Kupiga blablaa kwenye midahalo au kuandika makala za kufikirika na kuendesha kituo cha habari on the ground ni sawa na mbingu na ardhi... RIP Ruge na Reginald Mengi, hawa ndiyo walikuwa magwiji wa kuendesha Media hapa bongo!! Mzee wa watu Tido wakamchomoa toka BBC ili aje kuisuka TBC (JK aliwashawishi wazawa wengi tuu warudi home ili taaluma zao zisaidie kujenga home), akaanza vizuri sana mpaka TBC ikaanza kurudi kwenye mstari, lahaulaa kale kazee kasambaa kakaanza kumsagia kunguni homeboy wake mpaka akanuka... But as they say, Malipo ni hapa hapa duniani, naye akaponea chupuchupu kutimuliwa kama yule jasusi....
 
Mungu huwanyoosha waovu hapa hapa duniani.
Tido yupo anapambaa siku zinaenda,mzee yule kabatizwa kwa moto,unamchoma vilivyo
 
Hakuna wa kufukuza hapo!
Nani kakwambia TBC haina mvuto ?Sisi kama SISI tuneridhika sana na utendaji wao wa kazi na tuweza kusema kwa uhakika kazi yao ni nzuri sana.
 
Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno.

Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa, si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
Labda wewe tu ndio huiangalii tbc. Halafu tido mhando aliondolewa tbc kwa shutuma za ufisadi kwa kuingiza tbc mkataba na startimes usiyokua na maslahi yoyote kwa tbc.
 
Hakuna wa kufukuza hapo!
Nani kakwambia TBC haina mvuto ?Sisi kama SISI tuneridhika sana na utendaji wao wa kazi na tuweza kusema kwa uhakika kazi yao ni nzuri sana.
Wengine hata hamwatakii mema ila mnajionyesha mko pamoja nawao.
 
Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno.

Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa, si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
TBCCCM mda mwingi ni kuisifu CCM tu ndiyo maa watanzania hawapendi
 
Yusuph Makamba and some CCM members,walifanya fitina sana kwa huyu mzee hadi kufutwa kazi TBC,pia walimpa kesi ya matumizi mabaya ya ofisi,sijui kesi hii iliisha vipi!
Ile kesi aliachiwa huru. Na mahakama. Hakukutwa na hatia yalikuwa majungu tuu.
 
Back
Top Bottom