Hata kama chanzo kingekuwaje, hakuna sababu ya kumpiga kihivo, assume mdogo wako wa damu kafanyiwa hivyo.
Mwalimu alitakiwa kujua chanzo cha mwanafunzi kutofanya lile jaribio alilotoa ili aweze kumsaidia.
Mimi pia nimewahi kuwa mwl. lkn sikumbuki kama niliadhibu mwanafunzi kwa kumchapa viboko, wanafunzi wangu waliniheshimu, walikuwa rafiki zangu niliwachikulia kama wadogo zangu.