Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

alieachishwa chuo kama ni mwanao utaripokeaje,kumbula kijana alibakiza mda mchache amalize chuo asaidie jamii yake,, hilo suala lingebakia shuleni wangelimaliza kwa taratibu zinzofaa kwa kuangalia pande zote

Kabisa wabaki waishie kuua watoto wa watu baadae? Hawafai kuwa walimu. Na wafungwe
 
Hilo ni fundisho kwenu walimu, na pia amewaokoa na jela kwa upigaji huo mngekuja kuua mtu siku mkanyee debe
 
Wewe utakua aina ya wagawa kipigo sio bure ulitaka afanye nini wakati alikuwa akiwaambia wamuache wakaéndelea kumskopioni
 
Mleta Mada Ni ndugu Na walimu wanafunzi ..Mrekodi Video Anapaswa kupongezwaa tena sana.Sasa yule Dada angeweza wapi kuwazuia..Na huenda Ndo Zao.Akaona Safari Mbwai Na iwe mbwai tu
 
Scorpion mtoboa macho watu walilalamika kwa nini waliokuepo eneo la tukio walimwacha afanye uhalifu ule ila kwa huyu mwalimu aliyerekodi hakuna hata mmoja anayemlaumu kutoenda kuamulizia yule mwanafunzi anayepigwa badala yake ndio kwanza anapongezwa.
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Wewe inaonekana ni ndugu yake na mmoja wa watesaji. Hivi asingechukua video hiyo umma wakiwemo viongozi wakubwa wa Serikali wangejuaje? Mbona kuna unyama mwingi tu unafanyika mitaani na jamii kubwa haitaarifiwi. Taarifa zinaishia chini kwa chini. Au wahusika wakifuatiliwa hukana kwa kuwa hakuna ushahidi wa picha, na mashahidi huogopa kutoa ushahidi lkn picha/,video huongea bila kuogopa. Kwa hali ilivyokuwa asingeweza kuzima hasira za watesaji, hivyo kwake yeye kuchukua video na kuirusha ndo silaha yenye nguvu zaidi aliyokuwa ndani ya uwezo wake.

Hivyo aliyerekodi tukio hilo anastahili kupandishwa cheo. Amefanya kitu cha kijasiri, amefanya kazi ya waandishi wa habari, amefanya kitu cha kizalendo. MUNGU amlinde amwongezee siku za kuishi asaidie jamii zaidi.
 
alieachishwa chuo kama ni mwanao utaripokeaje,kumbula kijana alibakiza mda mchache amalize chuo asaidie jamii yake,, hilo suala lingebakia shuleni wangelimaliza kwa taratibu zinzofaa kwa kuangalia pande zote
We mchawii nini..Mbona unatetea sana Hiloio limefukuzwa chuoooo
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Kutaka aliyerekodi kuchukuliwa hatua wakati yeye hakuhusika na tendo la kumpiga huyo mwanafunzi na video yake imerahisisha ushahidi.(hizo ni code za kigangasta za no snitching na unafanya huyo mwalimu aonekane kama snitch)
 
HATA AJARI IKITOKEA WATANZANIA HUISHIA KUPIGA PICHA TUKIO BADALA YA KUWAOKOA MAJERUHI NDIVYO HIVYO HIVYO KWA HUYO MWALIMU WA KIKE ALIYERECODI HAKU AKISEMA INATOSHA AMEKOMA SASA SAHZ AJIANGALIE SANA TAYARI YUKO KWENYE RISK
Nyoooo..keshahamishwaaa polee.Kawaumbua Na bado
 
Ametajwa kuwa naye ni mwalimu aliyeko field akitokea Chuo Kikuu cha Iringa.

Ni huyo binti anayesikika kwenye clip akilalama,"Sir,Mwalimu utamuumiza".
Lakini nipo upande wenu msinishambulie.Ivi inawezekana MTU akachukua Video huku anahamaki Na video iwe imetulia kiwango chake Mi Naona aliyekuwa anakemea Na mchukua video are 2 different people
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Aliyerekodi video anatakiwa apewe tuzo. Kafanya kazi nzuri.
 
Vipi kama ungeletewa video ya shemeji yetu yupo na Mme mwenzio ?

Ungemuadhibu shemeji yetu au mleta video.?
 
Kabisa wabaki waishie kuua watoto wa watu baadae? Hawafai kuwa walimu. Na wafungwe
Hawa tena ndiyo wangekuwa walimu bora kabisa baada ya mafunzo, kwani wangepewq adhabu kulingana na kosa ingekuwaje? Ninaamini kabisa njia sahihi yakulitibia hili ilikuwa ni upatanisho na mafundisho zaidi.
 
Mleta Mada Ni ndugu Na walimu wanafunzi ..Mrekodi Video Anapaswa kupongezwaa tena sana.Sasa yule Dada angeweza wapi kuwazuia..Na huenda Ndo Zao.Akaona Safari Mbwai Na iwe mbwai tu
Na yeye si ni mwalimu? Kwanini asingezuia from the beginning? Kama nia yake ilikuwa nzuri ni kwanini asingerusha tukio tokea mwanzo?
Kwa taarifa yako nafsi ya unafiki itakuwa inamtesa huko aliko zaidi ya unavyoweza kufikiri.
 
Kutaka aliyerekodi kuchukuliwa hatua wakati yeye hakuhusika na tendo la kumpiga huyo mwanafunzi na video yake imerahisisha ushahidi.(hizo ni code za kigangasta za no snitching na unafanya huyo mwalimu aonekane kama snitch)
Tena ni bonge la snitch!!

Sijui ni kwanini hatutaki kupima, madhara ya haya mambo kwa pande zote.
Yaani kwa, wapigaji, mpigwa na wanaowazunguka kama mchukua video.
 
Lakini nipo upande wenu msinishambulie.Ivi inawezekana MTU akachukua Video huku anahamaki Na video iwe imetulia kiwango chake Mi Naona aliyekuwa anakemea Na mchukua video are 2 different people

Unaweza kuwa sahihi pia lakini kama alikuwa amekaa na simu akaishika vyema au kuiegesha mezani video ingetulia tu.

Na wala sidhani kama alihamaki kama alivyotaka kutuaminisha,huyo ni mnafiki tu.
 
Back
Top Bottom