Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,231
- 18,399
Atakuwa ameshapata taarifa kupitia notification ya waziri! Wewe. Ulitaka afanyiwe sherehe ya kutambulishwa kosa lake?Jamii ipi ilihali mkuu wake hana taarifa! Kwanini asingeanzia hapo?
Atakuwa ameshapata taarifa kupitia notification ya waziri! Wewe. Ulitaka afanyiwe sherehe ya kutambulishwa kosa lake?Jamii ipi ilihali mkuu wake hana taarifa! Kwanini asingeanzia hapo?
una haki ya uhuru wa kujieleza ila ulichoeleza kinaonesha furaha yako kwa uovu na ukandamizaji wa haki za watoto/vijana! sasa kama walikuwa hawajui acha sheria ikawaambie kwamba walikuwa wanajua wanachokifanya...IGNORANCE AFFORDS NO EXCUSE!!!Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.
Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.
Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...
Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).
Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
naongelea kama mwalimu mkuuWanafunzi wana mafao?
Unajuaje hana taarifa Si ilisikia kuna kulindana hii ndio fundisho kwa walimu tungekuwa hatujuiJamii ipi ilihali mkuu wake hana taarifa! Kwanini asingeanzia hapo?
Mods huu nao ni uzi?
Humu kuna watu wako faster kama roketi.Sindano
Mods huu nao ni uzi?
Hivi ukipiga mtoto kama mwizi ndo anafaulu? Huoni kama ndo unamharibu zaidi? Nina wasi wasi kama wewe ni mwalimu. Walimu wanafundishwa saikolojia ya ufundishaji na kuna kanuni wanazopaswa kufuata wakitoa adhabu. Ungekuwa mwalimu ungekuwa unajua vitu basics kama hivyoSisi kama waalimu tunasema tutaacha kuwapiga watoto wenu lakini matokeo yakitoka watoto wenu wamefeli msitulaumu manake ndicho mnachokitaka, uyo madam aliyerekodi ni mwehuuu na juhaaaa la mwisho, itakua labda uyo madam alkua anawataka washkaj kmapenz ila jamaa wakawa hawana time naye kutukana na ubaya wake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hili si jibu,ni jawabu mubasharaaaaSindano
Kosa jingine...mkuu usijaribu kutetea upuuzi kam a huo wa hao waalimu wa mafunzo eti " hawajafundishwa kuhandle kesi hizo na kipengele hawajafikia" , kitu cha kwanza kufundishwa kabla hawajaenda kufundishwa ni saikolojia , sema tu WALIMU wa vitendo wanapokuwa wengi katka xkul moja hupewa ofisi, yao hivyo sifa zinakuwa nyingii Sana na masihara mengi kama bungeni , na lazima waadabishwe vilivyoo
Wewe unadhani wanafunzi wa shule binafsi wanapigwa kama ng'ombe ndiyo maana wananidhamu?NI UJINGA TU.
Ukisikiliza tukio la Mwanafunzi kupigwa na walimu jinsi linavyojadiliwa utadhani hiyo ni dhambi kubwa Duniani.Kuna matukio mengi ya walimu kudhalilishwa na wanafunzi lakini jamii inaziba maskio.
Tusipokuwa makini itafikia mahali walimu wa shule za serikali wataacha wanafunzi wafanye wanavyotaka. Sina muda wa kutetea hoja yangu ila naomba watanzania mjiulize maswali haya:
1. Je,ni lini ulisikia mwanafunzi wa shule BINAFSI amepiga mwalimu au kufungia mwalimu chooni?
2. Je,kati ya shule za Serikali na BINAFSI ni zipi zinatoa adhabu kali kwa wanafunzi?
3. Je,ni lini ulimuona mzazi mwenye mtoto shule BINAFSI anaenda shuleni kulalamika kuwa mtoto wake ameadhibiwa/Ameonewa?
4. Je, ulishajiuliza ni kwanini wanafunzi wa shule BINAFSI wana nidhamu kuliko wanafunzi wa shule za serikali?
5. Je, ulishajiuliza ni kwanini viongozi wote wanapeleka watoto wao shule za BINAFSI?
6. Je,Unadhani walimu wakiweka fimbo chini kwa kizazi hiki tunajenga taifa gani?
NB: KAMA UNADHANI MWANAFUNZI KUMKABA KOO MWALIMU NI SAWA,JIULIZE PIA WEWE KAMA BABA MTOTO WAKO AKIKUKABA KOO MBELE YA WADOGO ZAKE UTASEMA NI HAKI YAKE?
Mkuu, huo ubaya usingedumu siku zote hapo Ticha na dogo wangekalishwa na kupatanishwa na amani yao ingerejea na bado wangeweza kuwa watu wakusaidia vizuri tu.They are doing what those people deserve.. Mwanafunzi si kila siku atakuwa mwanafunzi siku moja utamkuta ni MTU WA kukusaidia jambo LA msingi sana ila kwa historia ya shule kumbe ulimfanyia kitu kibaya
Hata usemeje mkuu, mwanafunzi ni mwanafunzi tu...una haki ya uhuru wa kujieleza ila ulichoeleza kinaonesha furaha yako kwa uovu na ukandamizaji wa haki za watoto/vijana! sasa kama walikuwa hawajui acha sheria ikawaambie kwamba walikuwa wanajua wanachokifanya...IGNORANCE AFFORDS NO EXCUSE!!!
Hivi mtu kama yule aliyekuwa anashika shingo anaiweka sawa kisha anaachia kofi lenye ujazo hakujua alichokuwa anakifanya???? ambao si walimu na hawafundishwi handling ya mambo hayo nao wasemeje?? kama wamekurupuka subiri tuone nani aliyekurupuka kati yao maana nilisikia wanatafutwa na polisi...
Kupiga mtu ni jinai hata nje ya ualimu na uanafunzi. Kinachowatia hatiani ni kupiga na si kuadhibu mwanafunzi. Hata kama angepiga kibaka na akarekodiwa bado sheria ingeweza kumbana tu. Maana nje ya ualimu nenda kwenye vyombo vya usalama na ndani ya ualimu ni viboko na si vibao vya uso. Hapa Ndalichako hana hatia kwa uamuzi wake maana sheria hairuhusu hayo.Huyu mtu ni nani?