Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

Muanzisha thread inawezekana walim wapigaji mmoja ni ndugu yake.how can you say kwamba aadhibiwe wakati tumesikia hata sauti yake ikiwasihi wenzake waache kumpiga huhi mtoto.pia ukizingatia kwamba yy ni mwanamke.umeona wapi ktkt ngumi wanawake wanaingilia katikati na kuamulia.kamba nyingine za kuchoshana tu
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Huna mtoto hata wa kusingiziwa ndio maana umetiririka mataputapu...

Ulaaniwe!!!
Tena ushindwe na ulegee!!![emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Walimu endeleeni kurekodi wenzenu waovu wasiojua uchungu wa mwana.

Huyo mwalimu apewe cheo awanyooshe wengine akimaliza mafunzo, sio lazima afundishe darasani kuchafuka na chaki.
Ajira ataipa wap akati amesoma hkl labda akajiunge n.a. Shilawadu
 
Aliyepiga picha ya kuuawa kwa Mwangosi afungwe? Maana hakusaidia? Cha muhimu ashikwe awe shahidi NAMBA moja, aeleze Mubashara nini kilitokea. Mimi ni Mwalimu pia lakini walichokifanya WALIMU wenzangu hao ni Ugaidi, wachukuliwe hatua stahiki.
Naona mwalimu mmeongezeka JF baada ya tukio hili
 
1. Kama umefuatilia vizuri kwenye hiyo Video Clip kuna sauti " ya kuwazuia au kuwashauri Walimu Wanafunzi" kuacha kumpiga Mwanafunzi. Kwangu hiyo ni hatua inayojitosheleza katika mazingira ya Walimu wenye hasira za dizaini ile

2. Pili kuhusu ku record na ku share hiyo Video ni ushujaa wa kipekee ambao anastahili " Tuzo ya Mwalimu Shujaa" kwa kutafuta njia mbadala ya kupinga vitendo viouvu vya Walimu wenzie

3. Tatu, kuhusu uamuzi wa Waziri kuwafukuza Chuo Walimu Wanafunzi bila kuwapa haki ya Kuwasikiliza kuna baadhi ya makosa kama " Kupiga au Kupigana" huwa ni summary dismissal hayana hiyo fursa ya kusikilizwa.

4. Nne, hatua alizo chukua Waziri binafsi naziunga Mkono kwasababu nikiwa Mzazi nimeguswa sana na ukatili na unyama aliofanyiwa huyo Mtoto. Aidha tukumbuke kuwa hata baadhi ya Watumishi wa kada nyingine kama " Polisi' wakifanya makosa kwanza hufukuzwa Kazi kisha hupelekwa Mahakamani kupata Haki zao stahiki ambayo kwangu hata hawa Walimu bado wanatakiwa kufikishwa mbele ya Pilato.

5. Tano, bila kujali athari hasi za uamuzi wa Waziri binafsi nina amini uamuzi huo kuanzia ulipotolewa utakuwa umeleta athari chanya kiasi kwamba kila Mwalimu mwenye mihemuko na hasira za sebuleni itabidi awe anafikiri mara mbili mbili kabla ya kugeuza mtoto ambae kimsingi ni Mwajiri wake kuwa ngoma ya mazoezi.
Povu lote la nini mkuu!!
 
Muanzisha thread inawezekana walim wapigaji mmoja ni ndugu yake.how can you say kwamba aadhibiwe wakati tumesikia hata sauti yake ikiwasihi wenzake waache kumpiga huhi mtoto.pia ukizingatia kwamba yy ni mwanamke.umeona wapi ktkt ngumi wanawake wanaingilia katikati na kuamulia.kamba nyingine za kuchoshana tu
Haya, yeye amefanya vyema aendelee na chuo wenzie si wapo nyumbani au polisi sasa...na dogo aliyepigwa aendelee na shule aje apate division one!!
Mijitu mingine sijui mpoje...
Hamfikirii kabisa impact ya hii mambo kwa wahusika wote.
 
Muanzisha thread inawezekana walim wapigaji mmoja ni ndugu yake.how can you say kwamba aadhibiwe wakati tumesikia hata sauti yake ikiwasihi wenzake waache kumpiga huhi mtoto.pia ukizingatia kwamba yy ni mwanamke.umeona wapi ktkt ngumi wanawake wanaingilia katikati na kuamulia.kamba nyingine za kuchoshana tu
Akili za mleta mada naona mtoto wake akibakwa atapokea hela toka kwa mbakaji ili yaishe.
 
Nimekosa tu nyazifa kubwa serikalini huyu mwl alierekod ningemtunuku cheyo kikubwa kwani hawa walimu hawana maadili kabisa. Mimi pia mwl lakin nimegazabika sana na sitak hata kurudia kuitazama hiyo video.
PONGEZI KWA MAMULAKA HUSKA KWA HATUA WANAZOZICHUA ILA NATAMAN KUONA HAO WATU WAKIWA MIKONONI MWA POLIS.
 
Mimi ningempa adhabu huyu mwalimu, kwasababu alivyorekod akuripoti hii video imevuja tu hakuitoa kwa kupenda so aliridhika,pili angeenda kumtetea yule mtoto akaacha simu ikirekodi kwa maana ningekua mm lazima ningeenda pale kumtetea mtoto so sikuona zaid yake alikua akiwasii tu kwa maneno sio vitendo kiukweli mm wote waliokwepo pale wangepata adhabu kila mtu kutokana na uzito waalichofanya.

Sent from mTalk
 
wanawake ni wabaya sana. anaweza kukupoteza mda wowote,, REJEA DELILA na HAWA
 
alieachishwa chuo kama ni mwanao utaripokeaje,kumbula kijana alibakiza mda mchache amalize chuo asaidie jamii yake,, hilo suala lingebakia shuleni wangelimaliza kwa taratibu zinzofaa kwa kuangalia pande zote
Jitambulishe tu ili tujue ( declare interest ), kwa uhuni ule wewe unaunga mkono - wewe ni wale wale mnaowashambulia watoto wetu. Kelele yote aliyotoa yule Mwalimu wa kike kuwasihi wamwache bado wakaendelea kumtwanga angefanya nini zaidi kama ni yeye aliyepost ile video kwenye mtandao. Ninatamani ningemjua hata nikamzawadia neno la pongezi.
Wale hawakosi kuwa ni walevi wa madawa au pombe. Tuliozaa imetuuma na hasa imapokumbuka Una mtoto yuko shule za mbali. Utakuja kuzaa na wewe ujue uchungu wa mwana.
 
Ona ulivyotahira! Kwani wao hawajazaliwa..?
 
Ni hii sheria inatukataza ila ningekuporomoshea Jitusi hilooo,Jinga kabisa mleta mada,Siku ukiwa na watoto ndio utajua dhamani ya mwana .Yaani unaficha watoto wetu kutwangwa namna hii ,Huna adabu kabisa
 
Back
Top Bottom