Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

HATA AJARI IKITOKEA WATANZANIA HUISHIA KUPIGA PICHA TUKIO BADALA YA KUWAOKOA MAJERUHI NDIVYO HIVYO HIVYO KWA HUYO MWALIMU WA KIKE ALIYERECODI HAKU AKISEMA INATOSHA AMEKOMA SASA SAHZ AJIANGALIE SANA TAYARI YUKO KWENYE RISK
 
Ametajwa kuwa naye ni mwalimu aliyeko field akitokea Chuo Kikuu cha Iringa.

Ni huyo binti anayesikika kwenye clip akilalama,"Sir,Mwalimu utamuumiza".
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Wewe ni mojawapo wa wale wahalifu waliomshambulia mtoto asiyekuwa na hatia. Mod tunaomba ufute huu uzi.
 
Ila hata polisi wanapiga nahatua hazchukuliwi kama kwa huyo dogo. But siungi mkonyo uonevu kwa dogo
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Ningekuwa waziri mh. Ndalichako ningemteua kuwa mkurugenzi, idara ya habari, maelezo
 
Ni raia mwema asiyependa kuona sheria ikivunjwa.
 
Angekuwa amerekodi mwanao akiuwawa na walimu leo hii usingeandika upuuzi..
 
Wewe id yako inaonesha kuwa ni mojawapo wa waliomshambulia mtoto. Cc: RPC Mbeya.
 
Sasa hivi watu hawataki ujinga, hata matrafiki wala rushwa wanarekodiwa tu ili jamii ione upumbavu wao. Ukijaribu kufikisha matatizo kwenye ofisi husika hatua hazichukuliwi na zaidi sana unaweza kutishiwa maisha. Huyo mtu aliyerekodi ni muungwana na inabidi apewe ofa ya simu ya kisasa zaidi ya iPhone au samsung galaxy s6+.
 
hivi jawatz mnataka nn na mnapenda nn,,,,, video ilivyo toka kila mtu aliwalaani hao waalimu leo wamepata adhabu mnaanza laaamu hivi watz tunapenda nn na hatutaki nn??[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Kosa lake ni lipi Mkuu? Kurekodi unyama aliokuwa anafanyiwa binadamu mwenzie!? Ungekuwepo hapo mahali ungeangalia pembeni na kuruhusu huo unyama dhidi ya huyo mwanafunzi uendelee au nawe ungeshiriki katika kutoa kichapo!?

Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!

Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe
.
 
Hivi na umri wote huo ulionao, bado unajua jinai ni kuuwa pekeyake?
 
Whistle blowers duniani cku zote hulindwa kwa nguvu zote.

Ikibidi AU, UN/Obama-US kama sisi tutashindwa. Mambo ya kufisha mouvu mpaka lini, jamii inakufa polepole. Watu wanatobolewa machu wengine wanabondwa vishwa. Flush culprin* zeteachers , Msigw* and zescopions down the drain!

A thinking from blown top?
 
Jamii ipi ilihali mkuu wake hana taarifa! Kwanini asingeanzia hapo?
Wewe ni mmojawaoeee. Kosa lazima liadhibiwe. Lakini kuna kanununi na utaratibu. Je, kuna adhabu ya mwanafunzi kupigwa makofi. HAPANA.
Yule mtoto angepata adhabu nyingine tena nzito kuliko, lkn kwa kufuata utaratibu.
Wasitumie hisia zao kuadhibu watoto ni mbaya sana. Je, yule mtoto angekutwa na umauti pale pale ingekuwaje?
 
Back
Top Bottom