Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

Sisi watanzania bwana! Zimepigwa deal kibao hapa kama Lugumi,escrow,Richmond,EPA n.k, lakini ni kama tunachekelea tu. Ishu ya hao walimu na mwanafunzi huko mbeya ndo watu mishipa imekakakamaa hadi roho zinataka kuwatoka. Ninaamini nguvu kama hii tungekuwa tunawekeza kusimamisha makoromeo,vidole na mishipa mingine ktk kulilia hayo maovu ya wakubwa wetu tungefika mbali sana!
 
Jamii ipi ilihali mkuu wake hana taarifa! Kwanini asingeanzia hapo?
Kwahiyo we ulitaka yaishie huko huko tuu kwa amani, yaani ile issue waipotezee tu kishkaji? Aisee mkuu hauko serious hata kidogo, walau umejiuliza mwanafunzi you hali gani? Vipi kama angekuwa mwanao? Kama watu wengine wamejiskia vibaya kwa tukio lile ispokuwa wewe, unafikiri mzazi wa mwanafunzi amejiskiaje? Daah, naomba nisiendelee nisije tukana bure.
 
Aliyepiga picha ya kuuawa kwa Mwangosi afungwe? Maana hakusaidia? Cha muhimu ashikwe awe shahidi NAMBA moja, aeleze Mubashara nini kilitokea. Mimi ni Mwalimu pia lakini walichokifanya WALIMU wenzangu hao ni Ugaidi, wachukuliwe hatua stahiki.
Ushahidi upi? Atoe ushahidi wa video? Duh, kaazi kweli
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.

Bwana yule
 
Nna wasiwasi na uwezo wako WA kufikili kijana

Hivi ujinga km ule ungevumilika vipi au nawe ni wale wale

Mimi ni mwalim by profession ila ule ulikuwa in unyama zahiri shairi

Hakuna adhabu ya namna ile
Kwa mwanafunzi

n vyema ungehusisha ubongo kabla ya kuandika post hii

Km mkuu WA shule hana taarifa basi huyu mkuu ni jipu
Haiwezekani kwa mkuu aliye active na kazi akakosa taarifa ndan ya shule yake kwa zaidi ya Siku sita
 
dogo-aliyepigwa-mbeya-jpg.414027

Tembosa una tatizo gani.
umeshawahi kupata mtoto?
km Ualimu hauuwezi kwanini ww na huyo Msigwa msiende kuchunga ng'ombe ana mbuzi muwapopoe mle nyama?
Hiyu mtoto anatakiwa afanyiwe vipimo vya kichwa,kuna uwezekano ameumia sana kichwani.Mimi sio mtaalamu wa tiba,wataalamu wa tiba watuelezee vizuri hali hii.
 
Aliyepiga picha ya kuuawa kwa Mwangosi afungwe? Maana hakusaidia? Cha muhimu ashikwe awe shahidi NAMBA moja, aeleze Mubashara nini kilitokea. Mimi ni Mwalimu pia lakini walichokifanya WALIMU wenzangu hao ni Ugaidi, wachukuliwe hatua stahiki.
Nadhani hamjamwelewa mleta mada anachosisitiza ni mchukua video kifuata utaratibu ambao pengine ungemshirikisha mkuu wa shule na wahusika kuchukuliwa hatua kwa utaratibu stahiki.
Kinachoendelea sasa ni kila mmoja kugeuka hakimu bila kujua ilikuwaje upande wa pili.
 
Ni kweli watanzania wengi sana hafikirii kabisa mambo kwa pande mbili.
 
Nilijua Tuu This Day Will Come[emoji4][emoji4][emoji4]... Movie Za Kibongo Zinatabirika
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Huna tofauti na mtu anayesema traffic akipokea rushwa asiwe recorded kwakuwa tu ma traffic wana maslahi mabovu
Aliye record amefanya jambo jema kabisa kwakuwa itakuwa fundisho kwa waalimu wengine wa mafunzo wenye tabia kama hizo; Ukumbe wale ni vijana wenye nguvu kabisa na kwakile kipigo wangeweza kumuua kabisa....unadhani ukienda mahakamani ukaieleza mahakama umeua kwa sababu ya hasira mahakama itakuelewa...haya tuseme labda wasingekuwa recorded halafu God forbid wakaua au wakamtia kilema mtoto wa watu unadhani waalimu hao wangekuwa na hali gani....hata kama toto ni tukutu kiasi gani kile kipigo walichompatia hakivumiliki na hakikubariki kwa taaluma ya kiualimu....camera zinasaidia sana ndo hizi hizi hutusaidia kujua hata wafanyakazi wa ndani wanaotesa watoto wazazi wa watoto wakiwa hawapo...Moja ya sifa ya kiualimu ni kuweza kuzuia hisia/hasira ili uweze kufundisha vizuri na ku treat wanafunzi fairly
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.

1. Kama umefuatilia vizuri kwenye hiyo Video Clip kuna sauti " ya kuwazuia au kuwashauri Walimu Wanafunzi" kuacha kumpiga Mwanafunzi. Kwangu hiyo ni hatua inayojitosheleza katika mazingira ya Walimu wenye hasira za dizaini ile

2. Pili kuhusu ku record na ku share hiyo Video ni ushujaa wa kipekee ambao anastahili " Tuzo ya Mwalimu Shujaa" kwa kutafuta njia mbadala ya kupinga vitendo viouvu vya Walimu wenzie

3. Tatu, kuhusu uamuzi wa Waziri kuwafukuza Chuo Walimu Wanafunzi bila kuwapa haki ya Kuwasikiliza kuna baadhi ya makosa kama " Kupiga au Kupigana" huwa ni summary dismissal hayana hiyo fursa ya kusikilizwa.

4. Nne, hatua alizo chukua Waziri binafsi naziunga Mkono kwasababu nikiwa Mzazi nimeguswa sana na ukatili na unyama aliofanyiwa huyo Mtoto. Aidha tukumbuke kuwa hata baadhi ya Watumishi wa kada nyingine kama " Polisi' wakifanya makosa kwanza hufukuzwa Kazi kisha hupelekwa Mahakamani kupata Haki zao stahiki ambayo kwangu hata hawa Walimu bado wanatakiwa kufikishwa mbele ya Pilato.

5. Tano, bila kujali athari hasi za uamuzi wa Waziri binafsi nina amini uamuzi huo kuanzia ulipotolewa utakuwa umeleta athari chanya kiasi kwamba kila Mwalimu mwenye mihemuko na hasira za sebuleni itabidi awe anafikiri mara mbili mbili kabla ya kugeuza mtoto ambae kimsingi ni Mwajiri wake kuwa ngoma ya mazoezi.
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Mijitu mingine ina laana mfano wewe uliyeandika huu uzi.. yaani unashadadia aliyerekodi nayeye achukuliwe hatua kwa kuuweka hadharani tukio hilo!
 
This is off record please. Kiukweli dogo kabla ya pale, alikataa kuchapwa wala kuchuchumaa pamoja na kwamba wenzie wamechapwa ambao wote hawakufanya zoezi darasani alipohojiwa akamjibu vibaya mwal katika kumshika wamchape akampa ngumi ya mdomo mwalimu. Ilibidi Wamchukue wampeleke ofisini lakini mwl aliyepigwa ngumi awali alirudi darasani kutuliza wanafunzi wengine. Alipoona wametulia alianza kurudi ofisini kumbe yule dogo pale ofisini alipoona walimu wamebaki wawili tu akawapa dozi ya ngumi wakamshindwa. Akaanza kutoka nje ya ofisi anakimbia yule mwalimu alikuwa darasani akamuona na kumuwahi ukapigwa mkono kidogo akammudu na kumrudisha ofisini kwa walimu wengine hapo ndio kila mmoja akajikuta anahitaji kumaliza hasira zake. Walimu kadhaa wakiwa wanaugulia maumivu.

Unajua kwa huyu dogo yeye aliridhia kichapo alichopewa na walimu ndo maana siku11 toka tukio limetokea wala hajaripoti. Hata home hakwenda kusema kwakuwa anakesi tatu nzito na aliwahi kumjibu hovyo baba yake mbele ya walimu alipokuwa ameenda kutetea asifukuzwe. Achilia mbali hayo ameshavunja tv ya dingi yake home wiki mbili zilizopita. Wiki hili amekamatwa na walimu akivuta bangi shuleni na wenzake. Baba yake anasema simtaki huyu nyumbani kwangu. Hivyo tusiangalie mtu alipojikwaa tuangalie pia source ya kujikwaa. Tunapotoa maamuzi tuangalie mambo kwa ujumla wake.
Pamoja na yote uliyoeleza adhabu ndiyo ile?
 
Walimu endeleeni kurekodi wenzenu waovu wasiojua uchungu wa mwana.

Huyo mwalimu apewe cheo awanyooshe wengine akimaliza mafunzo, sio lazima afundishe darasani kuchafuka na chaki.
Siku hz hatutumii chaki tunatumia power point projector
 
alieachishwa chuo kama ni mwanao utaripokeaje,kumbula kijana alibakiza mda mchache amalize chuo asaidie jamii yake,, hilo suala lingebakia shuleni wangelimaliza kwa taratibu zinzofaa kwa kuangalia pande zote

Kwa hiyo amalize chuo akaendelee na unyama wake huko Shuleni atakapopangwa siyo?
Akili mbovu isiyo na kifani.
 
Ila jina halijulikani kirahisi alitekeleza majukumu yake vyema hongera wanawake tunaweza tukiwezeshwa
 
Back
Top Bottom