Kutozuia kosa ni kosa kisheria. She took reasonable means.Nikitambua fika kuwa lengo la huyo mwalimu halikuwa hili lililotokea..ni vizuri akapewa zawadi kwakufichua huu uovu..
Wanaume suruali mko wengi sana.Nadhan wewe ni miongon mwa wahuni hao waliofanya shambulio baya kabisa hili
Haya wamerekodi nyingine wanafunzi wakivuta bangi na viroba-- tuwapongeze pia wameitendea jamii huduma ya muhimu sanaHuyo aliyerekodi hiyo video ameitendea jamii huduma ya muhimu sana.
Anastahili pongezi, si adhabu.
Unampa Roho ya kujipendekeza, hii ni roho ya hatari sana maana huzaa unafikiWalimu endeleeni kurekodi wenzenu waovu wasiojua uchungu wa mwana.
Huyo mwalimu apewe cheo awanyooshe wengine akimaliza mafunzo, sio lazima afundishe darasani kuchafuka na chaki.
Mwalimu wa wapi usiyejua ugaidi angalia ile video alipigwa na mwl.mmoja tena walimu ndo majuzi walikuwa JKT semester moja wakaenda PT tumia akili ndg angalia mwingiliano wa mafunzo hayo ujue hekima,busara na uwezo wa kuhimili mihemko uwepo pale mtu hajakosewaAliyepiga picha ya kuuawa kwa Mwangosi afungwe? Maana hakusaidia? Cha muhimu ashikwe awe shahidi NAMBA moja, aeleze Mubashara nini kilitokea. Mimi ni Mwalimu pia lakini walichokifanya WALIMU wenzangu hao ni Ugaidi, wachukuliwe hatua stahiki.
Utakuwa huna mtoto wewe, hujui uchungu wa Mtoto.hao wagumba wenyewe wanasikia uchungu sembuse wewe.basi tufanye huna Mtoto haya ukute Mdogo wako kapata kipigo kile ungefurahiHuyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.
Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.
Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...
Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).
Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Mkuu, kwa hiyo mlivyotaka kumuua yule mtoto mlikuwa kwenye MAFUNZO YA VITENDO au mafunzo ya kukusudia kuua? Kwanza unaandika hii post ukiwa wapi maana vyuoni mmetoweka?Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.
Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.
Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...
Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).
Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Si kweli,Huyo aliyerekodi hiyo video ameitendea jamii huduma ya muhimu sana.
Anastahili pongezi, si adhabu.