Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

alieachishwa chuo kama ni mwanao utaripokeaje,kumbula kijana alibakiza mda mchache amalize chuo asaidie jamii yake,, hilo suala lingebakia shuleni wangelimaliza kwa taratibu zinzofaa kwa kuangalia pande zote
Wewe unaongelea kitu gani hapa? Kama huelewi kwa nini usikae kimya? au na wewe ulikua kwenye kamati ya upigaji ?
 
KILICHOTOKEA NI MADHARA ya kusomesha mtto shule ya bure
Ntajitahid Mwanangu huko kwenye ELIMU BUREE hasiende
Spnd ujnga mm[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Uzungu umetujaa saaaana. Akina Scorpion watakuwa wengi siku za usoni.
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Inaonekana kabsa were akili zako hazikutoshi, maranying pgapga ya namna hyo husababsha kifo, ulitaka mpaka wauwe ndo uone jinai? au ww unaugua kichaa
 
Wacha kutupotezea wakati,kama wewe pia tabia ni kupiga wanafunzi ovyo ,bila kufuata taratibu za adhabu mashuleni,jirekebishe.
Yule aliyechukuwa video,apewe cheo kama ni Mwalimu na kama mwanafunzi apewe elimu zaidi na cheo,amesaidia sana kuonyesha maovu yanayofanywa na baadhi ya walimu(sio waalimu wote).
Naamini aliyechukua video kitendo kile kilimuuma hadi akashindwa kukaa nacho pasipo kuchukua hatua... angesemea ofisini wangefunika na madhulumu haya yasingejulikana....
Kahabarisha umma- kuwa hali sii shwari...
Nakuunga mkono 'Kikwajuni one'
 
Kwanza inshu yenyewe n ya sku nying na hakukutokea madhara yoyote,ndo maana hata mwl.mkuu hakujua
 
Mtoa uzi una undugu na wapo wapigaji mbona unahasira na mchukua video bila yeye ushahidi ungetoka wapi
 
Huyo aliyerekodi hiyo video ameitendea jamii huduma ya muhimu sana.

Anastahili pongezi, si adhabu.

Huyo ni hana ethnic za utumishi, hebu tujiulize hivi ni Kazi gani isiyo kuwa na changamoto? Mfano polisi kama wangekuwa wanarekodi na realese clips zao siingekuwa ni hatari? Majeshi Mbalimbali kama hawana kiapo cha uutii nahisi wengi wangefukuzwa kazi. Kwa kitendo cha kurekodi na kuachia clip hiyo, huyo mwalimu aogopwe kama ukoma hafai kuishi na jamii ya kufanya naye kazi. Bodi ya shule imchukulie hatua kali sana
 
busara kubwa kujibu post kwa hekma kama hilo haliwezekani basi tumechelewa sana ktk maadili ya jf
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
'Common sense' Na zenyewe zilikuwa likizo?...kama mwanao hajawahi kutana na ukatili wa maisha ya shule utajaribu kuu 'dilute' ukatili huo kama unavyojaribu kufanya
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
mkuu usijaribu kutetea upuuzi kam a huo wa hao waalimu wa mafunzo eti " hawajafundishwa kuhandle kesi hizo na kipengele hawajafikia" , kitu cha kwanza kufundishwa kabla hawajaenda kufundishwa ni saikolojia , sema tu WALIMU wa vitendo wanapokuwa wengi katka xkul moja hupewa ofisi, yao hivyo sifa zinakuwa nyingii Sana na masihara mengi kama bungeni , na lazima waadabishwe vilivyoo
 
Hivi una akili timamu kweli wewe?
Wewe ni binadamu wa kawaida kweli?
Mjinga mkubwa kabisa wewe kuwahi kutokea ktk sayari ya dunia.
Acha kutumia hisia mkuu! Nakwambia aliyerekodi ile video yuko kundi moja na hao waliopiga.
Tena inawezekana yeye ndiyo anapata shida zaidi.
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
They are doing what those people deserve.. Mwanafunzi si kila siku atakuwa mwanafunzi siku moja utamkuta ni MTU WA kukusaidia jambo LA msingi sana ila kwa historia ya shule kumbe ulimfanyia kitu kibaya
 
Back
Top Bottom