Habari ya fitina haihusiani na hili jambo jamani. Wala huyo masai sio alotoa ushahidi wa kumfunga ustadh. Ushahidi tu wa cm unajitosheleza. Na kama pikipiki, sim card vilivyotumika vyote vina jina lake huo pia ushahidi wa masai? Tu sitetee ujinga. Leo wamefanya kwa huyu kesho itakua kwa nani? Hivi wakiua watu wa 5 kama hawa hata ar siitayumba jamani? Matajiri ulaya ni lulu ya nchi coz wanachagia pato la nchi bongo tunawaua
Nakumbuka kulikuwepo na maaskari kama watatu hv nao walijifanya wanawafuatilia mambo fulani huko nao maafa ikawafika huko huko.
Ray Kishimbua anaongoza kwa kuwazika wanaapolo.
Na leo ana nini?
Amefilisika ile mbaya! Mara ya mwisho kuna jamaa aliniambia alimuona barabara ya Uhuru Roard akitembea kwa miguu huku anakula Muwa! Damu ya watu usicheze nayo mazee!Nakumbuka kulikuwepo na maaskari kama watatu hv nao walijifanya wanawafuatilia mambo fulani huko nao maafa ikawafika huko huko.
Ray Kishimbua anaongoza kwa kuwazika wanaapolo.
Na leo ana nini?
Umekaa kiudini udini wewe.....
Wnangu wasijeolewa huko, huo mkoa una laana ya damu za watu! puuuuuuuuu!mmh! ni nani huyo? maana Arusha mtu akitaka kulipiza kisasi anakutoa uhai.
tupe link mkuu wakati mwingine kutafuta ni kazi sana kuipa hasa ikiwa imeingia ukurasa wa nyuma au kuhamishwa jukwaa.kwenye ile post ya mauaji yake..kuna mtu alikua anapost vitu muhimu sana..naanza kuamini zile post zake...
....mabilionea wezi !:embarrassed1:
Watu waliomuua mfanyabiashara wa madini Erasto wamekamatwa. Watu hao ni mfanyabiashara mwenzake ambaye anaitwa Sharifu na watu wengine watatu. Inasemekana huyu sharifu ndiye aliyeratibu mauaji hayo kwa kusajili laini mbili za simu ambazo zilitumika kumuweka marehemu kwenye mtego wa kumuua. Alimrubuni mmasai mmoja ambaye ndie aliyesajili laini hizo kwa kitambulisho chake. Baada ya wana usalama kufuatlia mawasiliano ndipo yule masai alipokamatwa na baada ya mahojiano alijieleza kuwa sharifu alimwomba amsajilie lain kwa kitambulisho chake kwani yeye hakuwa na kitambulisho. Sharifu alinunua pikipiki mbili ambazo zilitumika kutekeleza mauaji. Sababu kubwa ya mauji haya ni ugomvi wa kugombania wachimbaji wadogo ambao mara nyingi huzama kwenye mgodi wa Tanzanite one na kuiba madini na hatimae kumuuzia Erasto na Sharif. Source- mtaani Mererani.
Mauaji yalipangwa hospital ya mrara babati alipokuwa chusa amelazwa kwa kisingizio cha mgonjwa kwepa kukaa magereza.chusa alikuwa na kesi ya mauaji ya mchimbaji wa tanzanite one ambaye alikuwa ni rafiki wa eresto msuya,njama hizo zilipangwa na sharifu,chusa na kaburu walikuwa wakiongea kwa sauti bila kificho,alisikika kaburu akisema akitushinda tumwagie tindikali.Kaburu ndio aliyekuwa anamshughulikia chusa katika kesi hiyo ya mauaji na amefanikiwa kumtoa ndani wiki 3 kwa kutumia mgongo wa manumba na dci
hizi habari zilikuwepo kabla au baada?na vijana wa chusa wanasema wazi kabisa kwamba boss haumwi lakini katoa kitu kidogo ili asikae magereza,hao vijana wa chusa wanaropoka sana huku mjini, na kabla ya tukio mmoja wao aliropoka pia, tubakie na haya majina ya JF tu mana chusa ni jirani yangu kwenye bangaloo lake fulani hapa mjini, ni kama bro kwangu, hao vijana tunakunywa nao "chai" mjini! erasto alitoka mjini akijua kabisa anaenda kufanya biashara na watu fulani anaofanyaga nao biashara siku zote na sehemu ile,(pale ni mahali wanapofanyiaga biashara zao) nani kichaa atoke na pesa zote akafanye biashara porini kwa watu asiowajua?
Huyo mtu anayeitwa Banjoo yaani ni chalii mdogo na kwasura yake ukimuangali hutaweza kuamini kama huyo dogo ana mambo makubwa na yakutisha na toka atokage jela kwenye ile kesi ya kina Nyari huyu dogo hana rafiki anayetembea naye sanasana mara zote utamkuta yuko peke yake!
wnangu wasijeolewa huko, huo mkoa una laana ya damu za watu! Puuuuuuuuu!
wanaendelea kuwakamata........... Jamaa moja mfanyabiashara wa madini mwenye carwash karibu na corner nairobi naye amekamatwa
Umekaa kiudini udini wewe.....
Fanya utu wako uwe zaidi ya siasa, siasa isiwe zaidi ya utu wako!