GunzInTheAir
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 301
- 21
ulikuwa unakimbizwa wakati unaandika ?du kumbe na wewe ni mjinga kiasi hiki,jana alikuepo kiwiziwiz akitegemea atapata malupulupu ya kifisadi,ya kule ccm kila kikao wanaongeza saiz za suruali zao,amegundu hakuna ujinga huo karudi kwao,huu ndo muda muafaka wa kumjaji baada ya mambo kumshinda,hata wewe njo ujiunge lakini theory ya Darwan itajidhiilisha weak species zitajiondo zenyewe kwenye system.