GHOST RYDER
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 1,025
- 475
Katibu wa CHADEMA wa Mara Nyanza Sibitari amerejesha kadi rasmi jioni hii katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na aliyekuwa mbunge wa Musoma Mjini Vedasto Manyinyi. Sibitari aliyeongozana na vijana wengine 126 na bendera na Kadi za CHADEMA anadai kuwa kajiengua CHADEMA kwa sababu zifuatazo:
More UP DATE to follow
- CHADEMA Kuendeshwa kama Taasisi na si chama
- Kushamiri kwa makundi ndani ya Chama hicho
- Mgogoro ulioanza toka nyakati za uteuzi wa viti maalumu hadi Ubunge
More UP DATE to follow