Aliyekuwa katibu wa CHADEMA Mara ajiunga CCM

Aliyekuwa katibu wa CHADEMA Mara ajiunga CCM

Ni haki yake ya kikatiba kuhama chama. Lakini nadhani kumpokea kwa mbwembwe mtu mtata kama huyo inaonyesha mzee Mkono anazeeka vibaya.
 
Huyu mbona kachelewa kuondoka kwenye chama chetu!!! Bora ameenda kwa ndugu zake watakaokuwa wanaelewana naye. Sababu zenyewe alizotoa anaonekana kabisa huyu kahongwa na hakuwa na msaada wowote CHADEMA. By the way CHADEMA kesho tunakongamano la wanavyuo hapa Dodoma ukumbi wa Polisi Jamii. Karibuni watz wenzangu.
 
Wanamageuzi mimi nafikiri ilipaswa kuwa taarifa halafu ikomee hapo maana cdm haiwezi kuporomoka kwa katibu au mwenyekiti kukihama chama

Nani hakumbuki kwamba Aman Kabouru alikuwa katibu mkuu wa cdm na alirejea magamba na chama kikasonga mbele kwa mafanikio zaidi? Kuwa katibu wa chama wa mkoa au wilaya na kurejea kwa mafisadi kuna athari gani unaitarajia au ni faraja maana kwenye sanduku la kura hao wangetuangusha tu, bora kuwatambua mapema na kuzidi kujirekebisha na kupanga mikakati mipya.

Magamba wapo tayari kumwaga pesa ili mradi kujaribu kubadili mwelekeo wa upepo ambao kwa hakika hautabadili mwelekeo mpaka umesambaratisha kila kitu
 
Katibu wa CHADEMA wa Mara Nyanza Sibitari amerejesha kadi rasmi jioni hii katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na aliyekuwa mbunge wa Musoma Mjini Vedasto Manyinyi. Sibitari aliyeongozana na vijana wengine 126 na bendera na Kadi za CHADEMA anadai kuwa kajiengua CHADEMA kwa sababu zifuatazo:
  • CHADEMA Kuendeshwa kama Taasisi na si chama
  • Kushamiri kwa makundi ndani ya Chama hicho
  • Mgogoro ulioanza toka nyakati za uteuzi wa viti maalumu hadi Ubunge
Anadai alipotea na sasa karudi nyumbani More UP DATE to follow
Wakati Makamba akitoa hela kwa vijana wazunguke katika vitongoji vya mji wa mara uku wamevaa nguo za ccm na bendera so sinto shangaa kwa huyu limbukeni ila ni njaa zimemsumbua
 
Elimu kwa mtu huyu ni ghari sana ameamua kujaribu ujinga kila la heri..........
Huu ni muda mwafaka kama kuna wajinga wengine wamebaki CDM wa ondoke ili nafasi zijazwe mapema na watu wenye akili.........
 
How many like him are still in Chadema?

You need to analyse this from many views.

He has gone with 126 members

It is high time for Chadema need to plant seed of ideology. If people do not have ideology this will continue to happen
 
Ifike wakati Cdm, wajipange kutengeneza viongozi, mimi kwa akili yangu hii nitalipeleka wazo langu makao makuu Chadema jinsi ya kuwapata Makatibu wa wilaya na mkoa, kwa sasa CDM Wana lasilimali watu wa kutosha, jambo la kufanya na kukisaidia chama ni wale wote wenye elimu za kutosha kama akina Ben, na wengine wengi wapewe nafasi wa ukatibu na waweze kukipeleka chama mbele. Inasikitisha sana mchezo huu Ccm wanaoufanya hakika hautakuwa na faida yoyote kwao. Walimlaghai shitambala na sasa huyu tahira, najua tutayaona mengi. Ila kwa sasa chadema imeshakuwa imala.
 
Mwittta, muraaa!!
Kwa mtaji wa post kama hii , muraa mumekwishaa!
Kyadema inakimbiwa kwa kuwa kyadema ina wenyewe!
Wewe Muraa jitayarishe ile idara ya ulinzi ya kyadema.
Ndugu yangu Mwita,zaidi ya huyo Ben, muraa wengine wengi wa kyadema ni wasukuma mikokoteni.
 
Jamani Kuuliza sio Ujinga!! Hivi David Mathayo Madawati yake amesharudishiwa? Kweli Magamba wana ujasiri wa Kifisadi, Yaani wanatumia hela za mfuko wa maendeleo ya Jimbo kununua madawati leo wameshindwa ubunge wanataka warudishiwe? Du siku tutakapoweka Magamba pembeni tutegemee hata ikulu watasema ni mali yao na wana hati miliki.
Huyu muheshimiwa anaonyesha madawati alitoa kama Rushwa sasa ameshindwa anaanza kuyadai!! Taka-huru Mko wapi kumkamata huyu Muheshimiwa
 
nilisema watarudi wengi tu na bado maana nape hajawatembelea msoma.nyanza kazungumza ukweli tatizo la chama chetu cdm ni kuongozwa kama mali ya mtu na muda mwingine kuendeshwa kama kundi la watu fulani hivi kutoka kaskazini.hili litatufanya tuendelee kuhama chama hiki na tunamuomba nape aje huku kwetu ili atukabidhi kadi za ccm.tumechoka basi tu.
pole! ungelikuwa umesoma michango iliyotangulia ucngaliandika haya uloandika.....
huyu ni msaliti wa jimbo la musoma vijijini...intelijensia ya chama imefanya kazi yake na alikutwa na hatia ...chama kilimsimamisha/kilimfuta ukatibu wa mkoa, kikamsimamisha/kikamfuta uanachama ila mwenzie alisimamishwa uongozi akaachiwa uanachama. alichokifanya leo ni kiini macho tu kujifanya anarudisha kadi ambayo kimsingi ilikuwa blacklisted kwenye list ya wanachama. kwa kuwa amezoea hila akaona awahi kwa magamba ili aendelee kuhujumu wananchi...walikuwa wengi na intelijensia itawaengua woooote mmoja baada ya mwingine....i.e. kapwani wa iringa(ismani) tayari,shitambala mbeya vijijini na leo huyu.....wakwende tu ila watasutwa nafsi zao mpaka mauti labda watubu Mungu awasamehe..!
mbona wachakachuaji tunawaona wanavyotapatapa madarakani,sembuse hawa vibaraka wao!!!/
 
How many like him are still in Chadema?

You need to analyse this from many views.

He has gone with 126 members

It is high time for Chadema need to plant seed of ideology. If people do not have ideology this will continue to happen

ongea na wanaCDM walioko Mara ili upate upande wa pili wa habari hii..huyu mtu alishafukuwa, akafutwa na uanachama....mnaofikiri amehama mnamfanikishia malengo yake ya kuwa hadaa wanaMagamba kuwa amerudish kadi...hiyo kadi ilishakuwa deleted,yeye alibaki na karatasi tu
 
Wakubwa mbona kichwa cha habari chajieleza FIKA, ALIEYEKUWA KATIBU SI KAT IBU KWA SASA WASIWASI WA NINI?, KAMA MTU ANAUMIA KUWA CDM SASA NI TAASISI BASI UELEWA WAKE UNATIA SHAKA. MAANA ANGEJUA KITU KUWA TAASISI WANAOINGIA NI WALE WANAOSTAHILI, WANAUCHUNGU NA NCHI, KIONGOZI ANASTAHILI SI ALIYEPITA KWA TAKRIMA,
KILICHONIFURAHISHA NI JINA LAKE NYANZA SIBITALI NAVYO JUA NI ZIWA HOSPITALI, SASA HILI ZIWA BINI HOSPITALI ,NADHANI IMEJAA MAGONJWA MAHUTUTI AMBAO WANAHITAJI MUUJIZA WA KUPONA KAMA MAFISADI, WALA RUSHWA, WANAMTANDAO, WASIO NA UZALENDO, WANAFIKI ETC
 
Kama kweli amepotea basi ndio huyu maana tunataka wote wale wanafiki warudi CCM na tubaki na watu wa kweli tena warudi haraka sana huko
 
Katibu wa CHADEMA wa Mara Nyanza Sibitari amerejesha kadi rasmi jioni hii katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na aliyekuwa mbunge wa Musoma Mjini Vedasto Manyinyi. Sibitari aliyeongozana na vijana wengine 126 na bendera na Kadi za CHADEMA anadai kuwa kajiengua CHADEMA kwa sababu zifuatazo:
  • CHADEMA Kuendeshwa kama Taasisi na si chama
  • Kushamiri kwa makundi ndani ya Chama hicho
  • Mgogoro ulioanza toka nyakati za uteuzi wa viti maalumu hadi Ubunge
Anadai alipotea na sasa karudi nyumbani More UP DATE to follow
Acha kupotosha wanajf kwa mawazo yako mafupi kama kuku, huyo unayemuongelea aligombea nafasi ya ukatibu cdm mwaka 2008 akakosa, sasa iweje leo umuite kuwa ni katibu wa chadema?
 
Acha kupotosha wanajf kwa mawazo yako mafupi kama kuku, huyo unayemuongelea aligombea nafasi ya ukatibu cdm mwaka 2008 akakosa, sasa iweje leo umuite kuwa ni katibu wa chadema?

Unaweza kuhisi unajua kumbe unaungua jua. You know nothing about CDM acha kukurupuka, ZIP UP
 
Unaweza kuhisi unajua kumbe unaungua jua. You know nothing about CDM acha kukurupuka, ZIP UP

CDM ni chama cha makamanda kweli kweli lazima tukifahamu vilivyo, hizo propaganda zenu mlizotumwa mzilete humu hazina vicha wala miguu ni uongo mtupu........ mnastahili kulaaniwa mpaka siku unaingia kaburini kwa kuongea uongo kwenye harakati za mwisho za ukombozi za taifa hili< ulicho andika hapo na rudia kusema tena na tena ni uongo na haustahili kuzingatiwa na watu makini waJF
 
Katibu wa CHADEMA wa Mara Nyanza Sibitari amerejesha kadi rasmi jioni hii katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na aliyekuwa mbunge wa Musoma Mjini Vedasto Manyinyi.Sibitari aliyeongozana na vijana wengine 126 na bendera na Kadi za CHADEMA anadai kuwa kajiengua CHADEMA kwa sababu zifuatazo:
  • CHADEMA Kuendeshwa kama Taasisi na si chama
  • Kushamiri kwa makundi ndani ya Chama hicho
  • Mgogoro ulioanza toka nyakati za uteuzi wa viti maalumu hadi Ubunge
Anadai alipotea na sasa karudi nyumbani

More UP DATE to follow
Hana lolote amashindwa kuiba ndio maana kakimbia, amsaidie fisadi Veda kudai madawati LOOSES hana hata hekima ya KUKU of all people anarudisha kadi yake kwa Veda, This gus is so stupid I wonder how he got to be cdm regional official, any way is good that he is now gone.
 
Back
Top Bottom