Aliyekuwa katibu wa CHADEMA Mara ajiunga CCM

Mkuu endelea kufikiri outside the box.Kama nilivyosema you aint seen nuthin yet!Alivyokuwa CDM hakubwabwaja alikota tu ndio anabwabwaja, maneno ya mzama maji.Na huko CDM mtajikuta wengi tu wanaondoka wakabwabwaje huko kwa "magamba" wakati vichwa vyenu vimo ndani ya mchanga.
mbona Sumaye Fredrick analojibu la porojo zako. Alisema ukitaka mambo yako(binafsi) yakunyokee jiunge na Magamba.Kuwa mpinzani ni kujitoa muhanga ! Sijambo jepesi.Ugali wa siku moja ukikutoa akili basi jua ccm ni nyumbani kwako. Ukiwa mtu makini utaelewa.Upinzani wa harakati unagharama sana. Kupoteza ajira, biashara n.k.Kama huna dhamira ya kweli utajisalimisha tu.Watu duni kifikra daima wanaipenda ccm.
 
Ohh, the prodigal sons are coming back.

Coming back where? ccm is officially a collection of armed splinter groups embroiled in deadly civil war! So this prodigal son of yours must first figure out which splinter group he belongs to before deciding the colour of his AK-47! And if he thinks he will be shooting CDM then he is in for a real shock! -civil war!
 
umeshasahau kwamba jana tu alikuwa mwanachama hai wa chadema. Mbona hukusema haya ? bw3ge kweli wee
na leo ndio tumethibitisha jamaa ni kilaza wakustahili kuwa ccm ! Huko atakutana na wenzie kina Tambwe, wataongea lugha moja.
 
wajinga kama hao chadema hawakai,umesaau yule watalime aliye mlithi wangwe,close minded people hatuwez kuwavumia,kwanza wana mchango hasi-negative impact kwenye chama,ni logic ndogo tu ya hesabu bora zero kuliko negative.zero plus 1 is equal to 1 but neg 1 plus 1 is equal to zero.imeondoka negative imeacha positive kibao-makamanda wenye upeo wa mambo,mwacheni kilaza aende ccm saiz yake.
 
Kama anakubali alipotea basi atambue kuwa sio mwisho wake kupotea . as alng as anapumua sio ajabu tukisikia few years to come akisema tena alikosea njia kurudi CCM . Ni mambo ya kawaida kwa wanasiasa.
 
Anachekesha sana huyu mjamaa kama ni kweli. Na kama ni kweli naamini sasa ccm wana mfumo mpya wa kupata wanachama kwa njia ya kuwaloga
 
na leo ndio tumethibitisha jamaa ni kilaza wakustahili kuwa ccm ! Huko atakutana na wenzie kina Tambwe, wataongea lugha moja.
mmethibitisha baada ya yeye kuondoka kwa hiari yake ? hahaaaa, unavyosema mmethibitisha utadhani mmemfukuza hahaaa
 
mbona Sumaye Fredrick analojibu la porojo zako. Alisema ukitaka mambo yako(binafsi) yakunyokee jiunge na Magamba.Kuwa mpinzani ni kujitoa muhanga ! Sijambo jepesi.Ugali wa siku moja ukikutoa akili basi jua ccm ni nyumbani kwako. Ukiwa mtu makini utaelewa.Upinzani wa harakati unagharama sana. Kupoteza ajira, biashara n.k.Kama huna dhamira ya kweli utajisalimisha tu.Watu duni kifikra daima wanaipenda ccm.
Hongera mkuu kwa kujikita ndani ya CDM, chama kikuu cha upinzani.
Kama ni kuandamana andamana kwa sana tu
Kama ni kuvinjari na FFU basi we ndo mwenyewe
Matusi na kutotumia akili sana ni kwako wewe kwa kwenda mbele
Mwisho wa siku utaishia kuwa korokoroni wa ofisi ya CDM, maana CDM hiyo ina wenyewe
Sisi wa Chama tawala tunawaachia kazi ya kututolea mafisadi ndani ya chama chetu, so far mmefanya kazi nzuri.
Siye wa magamba tumekaa mikono kifuani wakati you do the donkey work for us
I will never leave CCM mkuu wakati wewe upo
Sasa mjanja nani?
 
Coming back where? ccm is officially a collection of armed splinter groups embroiled in deadly civil war! So this prodigal son of yours must first figure out which splinter group he belongs to before deciding the colour of his AK-47! And if he thinks he will be shooting CDM then he is in for a real shock! -civil war!

Home, where they belong, sweet home CCM. So, you are reloading and aiming at CCM!! Thats why I said in my prior post that CDM is inciting violence. They have nothing good to offer.
 
Anachekesha sana huyu mjamaa kama ni kweli. Na kama ni kweli naamini sasa ccm wana mfumo mpya wa kupata wanachama kwa njia ya kuwaloga
hahaah amakweli ! Huwezi kuwa timamu ukawa mwanaccm, chama ambacho Mwenyekiti amekiri kina wezi, mafisadi na wauaji !
 
Namshauri akamuulize Shitambala kule Mbeya yaliyomkuta na amefanikiwa kiasi gani. Inawezekana hawajui CCM, wanmtumia kama condom, na baada ya shida yao kuisha anatupiliwa mbali na hana faida tena.
 
Home, where they belong, sweet home CCM. So, you are reloading and aiming at CCM!! Thats why I said in my prior post that CDM is inciting violence. They have nothing good to offer.
hakika hawana chakuoffer kwa individual , ila wanakuahidi ustawi wa jamii nzima, sio tumbo la mjinga mmoja. . .
 
jana alikuwa chadema, hukumuita kilaza. leo kajiunga ccm ndio amekuwa kilaza. kilaza wewe
du kumbe na wewe ni mjinga kiasi hiki,jana alikuepo kiwiziwiz akitegemea atapata malupulupu ya kifisadi,ya kule ccm kila kikao wanaongeza saiz za suruali zao,amegundu hakuna ujinga huo karudi kwao,huu ndo muda muafaka wa kumjaji baada ya mambo kumshinda,hata wewe njo ujiunge lakini theory ya Darwan itajidhiilisha weak species zitajiondo zenyewe kwenye system.
 
Namshauri akamuulize Shitambala kule Mbeya yaliyomkuta na amefanikiwa kiasi gani. Inawezekana hawajui CCM, wanmtumia kama condom, na baada ya shida yao kuisha anatupiliwa mbali na hana faida tena.
na chadema wangemtumiaje ? kama changu*doa, kila hamu ikiongezeka wanamtumia eeh
 
Back
Top Bottom